Ulafi na uroho wa vyakula ni tabia ya asili?

Ulafi na uroho wa vyakula ni tabia ya asili?

Nafikiri hili linaanzia kwenye malezi. Kulea watoto katika misingi ya kuwapa kipaumbele wengine, wengine kwanza wapate yaani kuna watu yuko radhi yeye akose wengine washibe.
Kuna watoto ukimletea zawadi atatoka nayo nje ashee na wengine yuko radhi yeye apate kidogo mno huku akiona wenzie wako na furaha. Huyu hata akikua mambo kama hayo anakuwa kashazoea.
 
Tatizo linaanzia kwa mzazi hawezi kubali hayo
 
Mkuu haujakumbana na wachoyo wewe.

Mleta mada kamaliza, uchoyo hauna cha utajiri ama cha ziada ya chakula ghalani.

Uchoyo ni silka ya mtu na hauwezi kutibika wala kurekebishwa.
Sure
 
Hasa hawa wenzetu. Omba sana uwe na mke mwenye roho ya kipekee. Huyu ndiye mlezi mkuu. Ana nafasi kubwa ya kujenga tabia kwa watoto.
Ubinafsi haujengi, roho nzuri hazina aikupunguzii chochote.
Wanawake na chakula ni hatari sana!!!
 
Ila kila MTU anapenda kutoa kitu chake moyo wake ukitaka,usijenge tabia itakayomlazimisha akupe ,mtagombana
 
Ukitaka kupima nidhamu ya mtu anzia kwenye chakula,they say.

Nilisikia mtu akisema mtu akiwa na ndambi kubwa ni ishara ya kukosa self discipline na ana possibility kubwa ya kuwa mbinafsi na mla rushwa.
 
Hao wenye matumbo makubwa huwa wanapenda kubugia bugia mno!
 
Mimi nilikuwa hivyo. Ila nimeamua ku establish self discipline ili nipungue uzito. Sasa naweza kufunga siku 4 bila kula kabisa na sili kabisa vyakula vya wanga. Nimepungua kg25 so far, 2.5 months.

Hakuna kuzaliwa wala kurithi, ni nidhamu mbovu.
 
Back
Top Bottom