Ukwepaji kodi wa Bhakressa!

damu za watu wa mtwara bado zinakulilia msaliti.... unapataje usingizi??

Tuliza mshono

Niondolee kidomo domo

Mambo ya Mtwara ni yetu sisi wewe yanakuhusu nini??

Mademu wa siku hizi ndivyo mlivyoo Yani Mtu akiwa na kias cha mboga tuh hata hamkatai

Hali ngumuu,,,usawa unakaba,,
 

we bila shaka ni gasho
 
Tuliza mshono

Niondolee kidomo domo

Mambo ya Mtwara ni yetu sisi wewe yanakuhusu nini??

Mademu wa siku hizi ndivyo mlivyoo Yani Mtu akiwa na kias cha mboga tuh hata hamkatai

Hali ngumuu,,,usawa unakaba,,

nilikua nakukumbushia tu, mshono umeshapona, polisi walinibutua kwelikweli

Vipi lakini, ile pesa uliyohongwa si imeshakata??

Usaliti kaziii
 
Utakuwa umetumwa na Reginald Mengi wewe. Huu ni wivu wa kike

Wa kiume ukoje? jadili hoja sio watu, mleta mada anadai kuna mtu anakwepa kodi,then atupe evidence kusupport anachokisema sio vinginevyo. La utakuwa umbeya tu huu
 
Nafikiri tuwe tunafanya utafiti kwanza kuja na takwimu kuliko kukurupuka. Labda kama mtoa hoja angesema yeye ni mchokozaji ili wenye taarifa kamili wazitoe. Vinginevyo ni kuchafuana tu ambapo hakuna tija yoyote
 
Ngedere

Nipe sura yako nimtishie mwanangu..!!

Wewe unadhani unavyonunulika wewe kirahisi unadhani kila mtu njaa kali kama wewe siyo.

Wanga mnapenda sana kuyapigia RAMLI MAISHA YA WATU

WE UNANIJUA MIMI HADI UFIKIE HATUA YA KUCHAWIA MAISHA YANGU??

ETI NIMENUNULIKA,,STUPID,,KUNUNULIKA NA NANI SASA NA KWA BIASHARA GANI?

ETI USALITI,,USALITI WA KUMSALITI NANI??

nilikua nakukumbushia tu, mshono umeshapona, polisi walinibutua kwelikweli

Vipi lakini, ile pesa uliyohongwa si imeshakata??

Usaliti kaziii
 
issue ni kwamba analipa kodi kiasi gani? kwa nn hatujui wanalipa kodi kiasi gani? kwa mm sio bakhresa tu bali wafanyabiashara wote wazawa wanalipa kodi kiasi gani? urafiki wa rais na wafanyabiashara ndio unazorotesha makusanyo ya kodi nchi hii.

Kwa hiyo wewe unataka Rais na wafanyabiashara wawe maadui?
 
Huwezi kuandika tuhuma bila ushahidi....
 

usaliti kazi sana.... :tape2:
 
Mleta Uzi tunasubili uthibitisho wa huo ukwepaji kodi mkuu!,mbona umepotea tena?..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…