Ukweni Pamoto Jamani, yamenikuta

 
Nimeishia hapo kwa mchumba Chamdeko β€˜bin’ Kipepeo, taikon wa fasihi anayetumia bin kwa binti mchumba ni taikuni kweli kweli.... usichoke kujifunza utakuwa mtunzi mahiri.

πŸ™πŸ½πŸ™πŸ½πŸ™πŸ½πŸ™πŸ½
Hayo ni makosa tuu ya kiuandishi.
Ila nashukuru
 
Amakweli! Sio kwa kupatikana huko hamu ya kuoa bado unayo kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…