microsoft g
Member
- Dec 30, 2023
- 22
- 62
Huyo Mungu unaemwamini sana kuna jambo anakuepushia ila wewe moyo mashine unakomaa ukubalike.(ila kwao wana imani za kishirikina)
hapana mimi sijakomaa nikubalike ni mwanaume mwenyewe anatamka kua hayupo tayari kuniacha na hawezi chaguliwa mke wa kuoa kwakua amefanya maendeleo mengi sana nikiwa nae na nimefanyika baraka sana kwakeHuyo Mungu unaemwamini sana kuna jambo anakuepushia ila wewe moyo mashine unakomaa ukubalike.
Huyo mwanaume nae kuna ujumbe anaufikisha kwako kwa anayokwambia.
Mteke baba mkwe, watanyamaza.Habari wana jf,
Mimi ni binti wa miaka 26 na nipo kwenye mahusiano na Tunatarajia ndoa ila Ukweni wanaweka pingamizi sana na sijawahi fanya chochote kibaya na wala sina mazoe na wakwe zangu ila chakushangaza mama mkwe Anamuuliza Kijana wake "Hivi Bado upo na yule mwanamke tu kwani amekupa nini? Si umwache mbona wanawake wapo wengi umekaa nae muda mrefu hivyo itakua amekupa Dawa huyo"
Na ukweli nikwamba mimi sijui mambo ya Dawa wala ushirikina
Namwamini sana MUNGU Na hata kumpata huyu mwanaume nilifunga kwa maombi nikaongea na MUNGU anijalie mwenza wa maisha na sio kupoteza muda
Ila nashangaa kwao kumekuwa na pingamizi sana
(ila kwao wana imani za kishirikina)
Mara wanasema najipendekeza kwao mara nimemloga mwanao, sasa nashindwa kuelewa ana tatizo gani hasa hawa wakwe zangu, ila nikikutana ma mama mkwe anafurahi nampa zawadi na yeye ananipa zawadi na tena mara nginyi ni yeye ananipigia simu niende tukapange siku za weekend's ila akiwa na mwanae ndo anamwambia hayo maneno na mwanae anakuja nieleza.
Kuwa makini ni ngumu kuamini maneno yake 100%, binadamu sisi ni waajabu sana. Waswahili wanakuambia akufukuzae hakwambii toka na ndicho unachofanyiwa.hapana mimi sijakomaa nikubalike ni mwanaume mwenyewe anatamka kua hayupo tayari kuniacha na hawezi chaguliwa mke wa kuoa kwakua amefanya maendeleo mengi sana nikiwa nae na nimefanyika baraka sana kwake
Kwanini hamjaoana ila mnaishi kama wanandoa siku ikishindika Si atakuwa amekutia doa?Habari wana jf,
Mimi ni binti wa miaka 26 na nipo kwenye mahusiano na Tunatarajia ndoa ila Ukweni wanaweka pingamizi sana na sijawahi fanya chochote kibaya na wala sina mazoe na wakwe zangu ila chakushangaza mama mkwe Anamuuliza Kijana wake "Hivi Bado upo na yule mwanamke tu kwani amekupa nini? Si umwache mbona wanawake wapo wengi umekaa nae muda mrefu hivyo itakua amekupa Dawa huyo"
Na ukweli nikwamba mimi sijui mambo ya Dawa wala ushirikina
Namwamini sana MUNGU Na hata kumpata huyu mwanaume nilifunga kwa maombi nikaongea na MUNGU anijalie mwenza wa maisha na sio kupoteza muda
Ila nashangaa kwao kumekuwa na pingamizi sana
(ila kwao wana imani za kishirikina)
Mara wanasema najipendekeza kwao mara nimemloga mwanao, sasa nashindwa kuelewa ana tatizo gani hasa hawa wakwe zangu, ila nikikutana ma mama mkwe anafurahi nampa zawadi na yeye ananipa zawadi na tena mara nginyi ni yeye ananipigia simu niende tukapange siku za weekend's ila akiwa na mwanae ndo anamwambia hayo maneno na mwanae anakuja nieleza.
😅😅 Trako lipo ndugu Tena namshukuru MUNGU kwa uumbaji wake Amenijalia figure nzuri 8 na uzuri wa asili,mawifi hapa wametubu maana hakuna wakunizidiUna TAKO la kuwatetemesha ma Wifi na Ndugu wa kike wa Mume mtarajiwa?? Au wao ndio Wana MATAKO ya kukutetemesha wewe ??.
Kama wee unatako la kuwatetemesha basi Kwao na mumeo ni WACHAWI.
kama wao ndio Wana MATAKO ya kukutetemesha basi hapo wanaona kama vile Kaka yako kua Nawewe ni umemfanyia madawa Kwa sababu hamuendani.
Wenye akili watanielewa.
Kila mtu Anaishi kwake...Kwanini hamjaona ila maishi kama wanandoa siku ikishindika Si atakuwa amekutia doa
Hahahaaa... kwamba uchawi upo kijana karogwa 😊
Wewe hujaniroga, ila una ujinga wako fulani hivi naupendaga sana...Hahahaaa... kwamba uchawi upo kijana karogwa 😊
Acha namie nikuroge tena na tena🤣
Uweee apiaa🤭???Wewe hujaniroga, ila una ujinga wako fulani hivi naupendaga sana...