Wadau mpaka sas ni kimya..Start tv hawaonyeshi chochote..may be taarifa za kiintelijensia..!Ninavyowajua hawa jamaa sitashangaa kesho kukiwa na matatizo grid na tukapata mgao wa nguvu... au hizo cd zikapata scratch na kuruka ruka baadhi ya matukio....
Wadau mpaka sas ni kimya..Start tv hawaonyeshi chochote..may be taarifa za kiintelijensia..!
Kweli inaonesha viongozi wa chadema wanapenda amani, hata wafuasi wao pia wanapenda amani, kama inavyodhihirishwa hapa kwa kumuita mwenzio ng'ombe.Amani gani imevurugwa we ng'ombe? Hakuna watu wanaopenda amani kama viongozi wa chadema. Na kwa taarifa yako kama viongozi hawa wangekuwa kama jk ambaye anadiriki hata kuchochea udini basi asingefika 2012 maana wana wafuasi ambao wanawapenda na kuwasikiliza na tena ni vijana wenye nguvu. kama hawajipendi waambie waendelee kuchea huu moto itakula kwao, wataachia kabla ya muda wao. Peoples powerrrrrrrrrrrrrr
.
Hello wana JF kesho saa nne asubuhi Star Tv wataonyesha collection ya ukweli juu ya yaliyojiri Arusha..,so utakuwa muda mzuri kuona uchakachuaji uliofanywa na Polisi..Mwambie na mwingine..!
Usikose...!
iliniuma sana nilipoambiwa Kipindi hakitarushwa dakika kumi kabla ya saa 4 asubuhi,yaani nchi hii bwana tutagika tu.
Kaka mi mwenyewe nashangaa..may be taarifa za kiitelijensia..!
Nikipata news nitawajuza..!
Kumradhi saana..!
nilipewa tyaarifa na Boss wa aliyeandaa kipindi kuwa kipindi kilikuwa na makali mengi hivyo ilibidi wakipunguze makali kwanza.Tusubiri cha Chadema kwani nao washaandaa bado kuruka tu.
sasa kama upo karibu na huyo BOSS unaonaje hiyo CD ikipotea katika mazingira ya kutatanisha na ije kuonekana YOUTUBE???
sasa kama upo karibu na huyo BOSS unaonaje hiyo CD ikipotea katika mazingira ya kutatanisha na ije kuonekana YOUTUBE???