Ukweli wa yaliyojiri Arusha-Kesho Star TV

jambo1

JF-Expert Member
Jul 5, 2009
241
29
Hello wana JF kesho saa nne asubuhi Star Tv wataonyesha collection ya ukweli juu ya yaliyojiri Arusha..,so utakuwa muda mzuri kuona uchakachuaji uliofanywa na Polisi..Mwambie na mwingine..!
Usikose...!
 
Hizi ndio zile Chadema walizozicompile au hizi ni edited source ya Star TV... Samahani kwa haya maswali sababu hivi vyombo vya habari vimezidi kuwa biased siviamini mpaka takapoona kwanza..
 
Other side of the same coin!mkuu kama unao si uweke hapa,star tv wanaweza wakakatazwa kuonyesha.
 
Jambo kama unafanya kazi Star TV je unaweza kwa bahati mbaya kucopy huo mkanda alafu kwa bahati mbaya uka-upload Youtube au megaupload.... no body will know kwamba ni wewe ndio umekumbwa na hizo bahati mbaya
 
Ukweli tutaujua mahakamani sio propaganda nyingine yoyote, alie kaidi amri ya jeshi duniani kokote hukumu yake inaeleweka na imani na mahakama ya tanzania watakuwa seriouse na kesi hii ya kuvuruga amani
 
Daah hapana mkuu..,ngoja tusubiri hiyo kesho tuwe na subira..!
 
Amani gani imevurugwa we ng'ombe? Hakuna watu wanaopenda amani kama viongozi wa chadema. Na kwa taarifa yako kama viongozi hawa wangekuwa kama jk ambaye anadiriki hata kuchochea udini basi asingefika 2012 maana wana wafuasi ambao wanawapenda na kuwasikiliza na tena ni vijana wenye nguvu. kama hawajipendi waambie waendelee kuchea huu moto itakula kwao, wataachia kabla ya muda wao. Peoples powerrrrrrrrrrrrrr

.
 
Daah hapana mkuu..,ngoja tusubiri hiyo kesho tuwe na subira..!

Ninavyowajua hawa jamaa sitashangaa kesho kukiwa na matatizo grid na tukapata mgao wa nguvu... au hizo cd zikapata scratch na kuruka ruka baadhi ya matukio....
 
Tunashukuru kwa taarifa, kipindi kitarudiwa tena siku gani kwani muda huo wengine tutakuwa kwenye ibada
 
Ukweli tutaujua mahakamani sio propaganda nyingine yoyote, alie kaidi amri ya jeshi duniani kokote hukumu yake inaeleweka na imani na mahakama ya tanzania watakuwa seriouse na kesi hii ya kuvuruga amani

Kwani nchi hii inatawaliwa kijeshi? Usitake tuanze kuhoji wakuu wa CCM (ie M/kiti, Katibu Mkuu, Katibu Mwenezi), Baadhi ya Wakuu wa Mikoa na Wilaya, etc kuwa wanajeshi!
 
[

PHP:
Ukweli tutaujua  mahakamani sio propaganda nyingine yoyote, alie kaidi amri ya jeshi  duniani kokote hukumu yake inaeleweka na imani na mahakama ya tanzania  watakuwa seriouse na kesi hii ya kuvuruga amani]
BULL pole kwa wepesi wa kusahau na uzito wa kuelewa
 
Hello wana JF kesho saa nne asubuhi Star Tv wataonyesha collection ya ukweli juu ya yaliyojiri Arusha..,so utakuwa muda mzuri kuona uchakachuaji uliofanywa na Polisi..Mwambie na mwingine..!
Usikose...!
Naona kama umetuingiza choo cha jinsia tofauti nipo kwe luninga mbona picha za arusha haziji?
 
Back
Top Bottom