Ukweli wa yaliyojiri Arusha-Kesho Star TV

Yaani mi ndo ningekua kikwete nine resign Zamani nipumzike ...maana mojarra haikai mbili haikai
 
Ninavyowajua hawa jamaa sitashangaa kesho kukiwa na matatizo grid na tukapata mgao wa nguvu... au hizo cd zikapata scratch na kuruka ruka baadhi ya matukio....
Wadau mpaka sas ni kimya..Start tv hawaonyeshi chochote..may be taarifa za kiintelijensia..!
 
Kaka hii ulikuwa unatusanii!!!!!!!!! Tupe source ya hii taarifa walitangaza wenyewe star tv kuwa wataonyesha au? Maana hata dalili hamna hata vimaandishitu kupita kutujuza ninini kinaendelea hamna!!!!
 
Inaonekana kuna shida siyo kawaida star tv kuwa na vipindi vya Dw saa hizi then nex program ni KABANANA they are not smart kwani hata kipindi cha MEDANI ZA SIASA hakuna leo kunani STAR TV.
 
Hivi kama hii cd wanayo Chadema kwanini wasiiweke online??; sababu ikiwekwa online wadau tutaiburn na kuisambaza mitaani soon itakuwa imezagaa mitaani....
 
Jambo1 hebu tueleze vizuri hii habari uliipata wapi...?, kuna watu wameacha shughuli zao hili kuangalia..., na wengine wamewaambia ndugu na jamaa nao waanalie... sasa credibility za watu zipo matatani.
 
Naona kama umetuingiza choo cha jinsia tofauti nipo kwe luninga mbona picha za arusha haziji?
Kaka mi mwenyewe nashangaa..may be taarifa za kiitelijensia..!
Nikipata news nitawajuza..!
Kumradhi saana..!
 
Amani gani imevurugwa we ng'ombe? Hakuna watu wanaopenda amani kama viongozi wa chadema. Na kwa taarifa yako kama viongozi hawa wangekuwa kama jk ambaye anadiriki hata kuchochea udini basi asingefika 2012 maana wana wafuasi ambao wanawapenda na kuwasikiliza na tena ni vijana wenye nguvu. kama hawajipendi waambie waendelee kuchea huu moto itakula kwao, wataachia kabla ya muda wao. Peoples powerrrrrrrrrrrrrr

.
Kweli inaonesha viongozi wa chadema wanapenda amani, hata wafuasi wao pia wanapenda amani, kama inavyodhihirishwa hapa kwa kumuita mwenzio ng'ombe.
 
Hivi..... WHAT THE HELL HAPPENED TO THIS CDS......, au hii tayari ishakuwa yeterdays news waiting to be forgotten
 
Hello wana JF kesho saa nne asubuhi Star Tv wataonyesha collection ya ukweli juu ya yaliyojiri Arusha..,so utakuwa muda mzuri kuona uchakachuaji uliofanywa na Polisi..Mwambie na mwingine..!
Usikose...!

iliniuma sana nilipoambiwa Kipindi hakitarushwa dakika kumi kabla ya saa 4 asubuhi,yaani nchi hii bwana tutagika tu.
 
Kaka mi mwenyewe nashangaa..may be taarifa za kiitelijensia..!
Nikipata news nitawajuza..!
Kumradhi saana..!


nilipewa tyaarifa na Boss wa aliyeandaa kipindi kuwa kipindi kilikuwa na makali mengi hivyo ilibidi wakipunguze makali kwanza.Tusubiri cha Chadema kwani nao washaandaa bado kuruka tu.
 
nilipewa tyaarifa na Boss wa aliyeandaa kipindi kuwa kipindi kilikuwa na makali mengi hivyo ilibidi wakipunguze makali kwanza.Tusubiri cha Chadema kwani nao washaandaa bado kuruka tu.

sasa kama upo karibu na huyo BOSS unaonaje hiyo CD ikipotea katika mazingira ya kutatanisha na ije kuonekana YOUTUBE???
 
sasa kama upo karibu na huyo BOSS unaonaje hiyo CD ikipotea katika mazingira ya kutatanisha na ije kuonekana YOUTUBE???

Pole kiongozi kwa kuendelea kuwa na subra.
Hii CD umeitafuta kwa muda mrefu, umejaribu kushawishi wale waliokaribu na hiyo cd wafanye kitu lakini bado tu wanarukaruka. Nadhani muda si mrefu watakusikiliza na kuitupia panapo husika, kunan mdau mmoja wa cdm nimemuomba kama ataweza afanye jitihada za kuipata, akinijibu ntakufahamisha.
Maana hiyon cd itasidia kujibu baadhi ya maswali yaliyokosa majibu kwa muda mrefu.
 
sasa kama upo karibu na huyo BOSS unaonaje hiyo CD ikipotea katika mazingira ya kutatanisha na ije kuonekana YOUTUBE???

du!sauti ya sababu nahisi utabidi uwe naibu msemaji wa operation komboa taifa/fukuza mafisadi. Naona unavombana mdada uyu kwa maswali,aipeteze cd ya boss?anyway tutaipata tu!
 
Back
Top Bottom