gogo la shamba
JF-Expert Member
- Mar 1, 2013
- 6,669
- 2,165
hivi hii hospitali hiko mkoa gani?
Vp tena mnapingana na kuulizana wenyewe kazi kweli kweli. Hapa mlipofikia na ulivyoandika ndio tunajua Membe,Lowassa, Pinda ni yupi. Mnalo lenu ilo.
Ripoti ya CAG kwanza Drama baadaye, BRING BACK OUR MONEY acheni kuburuzwa. Hoja nyepesi yenye majibu. Lete report hizo kelele tushazizoea
hivi hii hospitali hiko mkoa gani?
Hii ni Hosptal ya wilaya ya bagamoyo