Umenena mkuuHakuna pisi kali kama unavyofikiria hususani mwanaume hakuna mwanamke anaweza kumbabaisha baada ya tendo
.Hizo unazoitq pisikali labda ni wale watafuta attention ya watu...Hawa ni wale wanatongozwa sana maana labda kwa muonekano wao wanatamanisha.
Labda wanavaa vinguo ovyo..Ila tambua mwanamke ananijua pisikali mpaka aambiwe mara kadhaa maana si unajua wanaume ni wazee wa kusifia kama msema "we mremb" "pisikali" ni misemo ya msimu so Kwa wakati huu utakuta wanaume wengi wanaomtongoza wanamwambia ivyo kwa nn asiringe?
Level ya ujana ila tambua iyo pisikali haswa bongo haweza kumaintain uzuri wake milele ..Wanawake wa mda mdgo sana wa kuringia urembo wao mpaka akizaa game linaanza kumtupa mkono.
Most ya hao wanaojiita pisikali ni kawaida sana wanatumika wka kupewa sifa kwamba wao ni warembo ila fainal uzeeni..
Nakwambia Kuna wanawake niko nao maeneo ya kazi kupenda showoff kwa vile pesa wanazo ila watu wanaoa wala hawana time nao ,wengi wamezalishwa na kuachwa tu.Umenena mkuu
Kwa mwanaume kijana mwenye vision na focus ya kutajirika maishani, hutakiwi kbs kuwa na girlfriend.Hakunaga boya anaeweza kuchakata pisi kali
Kwahiyo utajiri upo kwenye sperm retention?Kwa mwanaume kijana mwenye vision na focus ya kutajirika maishani, hutakiwi kbs kuwa na girlfriend.
Kama huwezi kuzua lust (nyege), basi kuwa na girl mmoja tu, tena kusex ni mara 1-2 kwa mwaka.
Jifunze sperm retention, epuka unnecessary liabilities. Build your empire!
hii emu ijazie nyamaKwa mwanaume kijana mwenye vision na focus ya kutajirika maishani, hutakiwi kbs kuwa na girlfriend.
Kama huwezi kuzua lust (nyege), basi kuwa na girl mmoja tu, tena kusex ni mara 1-2 kwa mwaka.
Jifunze sperm retention, epuka unnecessary liabilities. Build your empire!
Ukaiachilia itoke bila kuigonga, kwa maelezo gani yaliyojitosheleza?Daah hii imenitokea mwaka jana asee, pisi kali matata sana nikafanikiwa kuivuta Landmark Sinza, ila baada ya kutoa nguo ya ndani hali ya hewa ilibadilika na nilishindwa kuendelea na game. Kichwani nikajisemea dada mzuri kama huyu anashindwaje kujitibu harufu hii ya ajabu namna hii
Niliwahi kutana na traakoo mkuu. Tatizo likawa hilohilo. Game haikufika dk 90Daah hii imenitokea mwaka jana asee, pisi kali matata sana nikafanikiwa kuivuta Landmark Sinza, ila baada ya kutoa nguo ya ndani hali ya hewa ilibadilika na nilishindwa kuendelea na game. Kichwani nikajisemea dada mzuri kama huyu anashindwaje kujitibu harufu hii ya ajabu namna hii
Duuh aseeWatu wakubwa Habari zenu,
Nisipoteze muda, kuna bandiko moja nilisoma jamaa analalamika pisi kali kuliwa na Bodaboda.
Na kwenye comment watu wengi wana support haiwezekani mtu boya kula au kuoa Pisi kali.
Kwanza ijulikane bodaboda sio Boya kuna watu nawafahamu ni bodaboda ila wanamiliki pikipiki zaidi ya 4, na maduka kama bucha na duka la kawaida, huyu mtu anaonekana ni bodaboda ila kiuchumi yupo mbali sana.
Mada hii haija ni harm isije kuonekana huenda nina self interest, kwa mimi binafsi nipo kwenye kundi la hao wenye muonekano wa halali kumiliki Pisi kali 😄 namshukuru Mungu kweli kweli.
Lakini nimepata wasaha wa kujiuliza kwanini inatokea Pisi kali aliwe na mtu anaeonekana kua Boya?
Mimi nimegundua haya;-
unapozungumzia Pisi kali inabebwa na Boya, unapima uzuri na uboya wa mtu kwa kipimo gani?
Physical Appearance??
au Mpunga na mafanikio aliyonayo mtu?
Kuna mdada unaweza kumuona kwa muonekano bonge la pisi ila matatizo yake ya ndani ni heri mdada mwenye sura ngumu.
-kuna Pisi kwa muonekano ipo vizur ila ina roho chafu ukiishi nayo mwez tu kwa namna atakavyokukerehesha hata akivua nguo hamu haipo tena wala hisia haziji.
Mkumbuke mwanamke akiwa na maudhi inafika hatua hata awe mzuri vipi uzuri wake huuoni bali unaona kero na hasira ukimuona.
-Kuna mdada mkali ila kichwani hovyo mtu yeyote akienda vizur anakula mzigo huyo sasa mpaka utu uzima vijana watakua wanajipakulia mkeo.
- Kuna mdada mkali ila anatatizo la fungus ukeni yani akivua ndani bala na unakuta ni tatizo la kudumu.
- kuna mdada mkali ila kwao ukoo wao wana mapepo yani hazai au akizaa mtoto haishi au hazai kabisaa hiyo ikawa kama dosari.
-Kuna pisi kali kumbe ina mdomo mchafu kiburi na jeuri.
-Kuna Pisi kali kumbe ikiwa gheto inakalia chupa...inatumia ndizi na tangu ku release sex needs, so badae utaoa unakuta boonge moja ya handaki ambalo hutamfurahia maisha pamoja na uzuri wake.
Halafu unakuta kuna jamaa amekaa ki boya tu ila mpambanaji hatar.
Yani hajui kulala, hajui kukaa gheto kucheza PS, hajui kubet wala kupiga vibomu wadada.
Jamaa na sula yake ngumu anachojua ni kupambana kukicha.
Jamaa sura ngumu amekaa ki boya ila anatunza wazazi wake...kina kiwanja chanika japo ni porini kwasababu ya uboya wake hakununua mbezi ila miaka ijayo kiwanja alichonunua laki 5 kitakuja kua million 20.
Jamaa boya ila mpini wake 🍆 misuri ipo nganga yani ni bandika bandua mashine mnara tu hivyo mdada kila akipanda lazima kufika kilimanjaro haishii morogoro.
Halafu majamaa yenye kukaa kiboya huwa yanawajari sana wake zao maana yanakua yanaelewa hayakustahili kuwa na mtoto mkali namna hiyo at the result wanakua so sensitive and responsible Husband.
So nahisi tuwe makini sana kabla ya kusema jamaa boya afu anakula pis kali zingatia vigezo visivyoonekana, huyo jamaa anaweza akawa so responsible kiasi kwamba wewe na muonekano wako mzuri usiwe kitu mbele yake.
Kuna siri kubwa kwenye mapenzi na kila mtu huvutika na kuvutwa kwa sababu yake.
Halafu msisahau wadada wengi wa kawaida ndo wake za watu sanaa
Kuliko pisi kali.
HahahaNiliwahi kutana na traakoo mkuu. Tatizo likawa hilohilo. Game haikufika dk 90
Ungeziba puaDaah hii imenitokea mwaka jana asee, pisi kali matata sana nikafanikiwa kuivuta Landmark Sinza, ila baada ya kutoa nguo ya ndani hali ya hewa ilibadilika na nilishindwa kuendelea na game. Kichwani nikajisemea dada mzuri kama huyu anashindwaje kujitibu harufu hii ya ajabu namna hii
ChaiiiKila mtu ashinde mechi zake. Manzi yoyote ni pisi kali inategemea tu na mhusika kama amemuelewa.
WapoHakunaga boya anaeweza kuchakata pisi kali
NiajeChaiii
FreshNiaje
HayupoWapo