Mkuu tunachotaka ni wewe kusema mwaka gani ulikaa mtihani na ukatumia namba badala ya jina hasa kidato cha nne.Sisi wote tumesoma Tanzania tunamjua mtu ama ndugu zetu waliosoma mwaka huo huo unaosema wewe hivyo leta research yako tulinganishe na madai ya hao wengine.No Research NO RIGHT TO SPEAK! Kusema Kighoma Ally Malima ndo alieanzisha utaratibu wa namba ni Uwongo mtupu na utafutaji wa sifa za kijinga! Wengine tumefanya mitihani ya shule ya Msingi na Sekondari ( form 1-6) miaka ya 80 Kwa kutumia NAMBA kabla Hayati Malima hajawa Waziri wa Elimu, Upotoshaji huu hautusaidii chochote.
Hizo ndio tunaita facts, kwani bila hizi facts watu wachache wenye nia mbaya za kidini wanaweza kutuyumbisha kama taifa.
je unafahamu prof Malima ameteuliwa wizara hiyo mara mbili. Nadhani we ulikuwapo wakati anateuliwa mara yapili na dhani nimekutosha. Kabla ya kuingia mara ya kwanza kweli ulikuwapo lakini haukufanya kazi akaona ni bora kuurejesha acha ushabiki
Mkuu tunachotaka ni wewe kusema mwaka gani ulikaa mtihani na ukatumia namba badala ya jina hasa kidato cha nne.Sisi wote tumesoma Tanzania tunamjua mtu ama ndugu zetu waliosoma mwaka huo huo unaosema wewe hivyo leta research yako tulinganishe na madai ya hao wengine.
Nijuavyo mimi sisi tulosoma kabla ya Mwinyi tulitumia majina na sio namba, kisha wakati wa Mwinyi yalikuja maswala ya kutumia namba - Je, nani alikuwa waziri wa Elimu? maana usiseme kabisa namba zimeanza kutumika wakati wa Nyerere.. Sii kweli - na hata hivyo nina jamaa zangu wamesoma wakati wa Mwinyi na wametumia vyote yaani majina na namba hasa mitihani ya sekondary.. Kisha twambie ni wakati gani namba zimeacha kutumika tena ikarudi ktk majina kama tulivyoona ya mwaka huu. Wewe mwenye research na right ya ku speak tufahamishe basi?
Na mtihani wa sekondary kidato cha nne?Kuna makundi ya Kiharakati wanatoa majibu mepesi kwa maswali magumu kwa maslahi ya makundi yao na wafadhili wao.
Mwaka 1985 nilifanya mtihani wa kumaliza elimu ya msingi pale Mzimuni P/school, Magomeni. Watahiniwa wote tulitumia namba badala ya majina; hata karatasi za majibu yetu tuliandika namba, namba yangu ilikuwa 6.
trend gani na wewe.hivi kwanza hao wasomi sana wa kikristo wapogo wapi?kuna kina lipumba,shivji,safari,bilali,haroub e.t.c.
Ukiacha profesa lwaitama na kingereza chake cha la tatu hivi kuna profesa ama dr gani christian na kwanini hawasikiki?
Sawa kabisa NECTA ilianzishwa mwaka 1973, lakini nilikuwa sijakaa mtihani wa kidato cha nne na nilifanya mtihani kwa kutumia JINA sio namba na hata majibu yalipotoka yalikuwa kwa majina yetu. Hata Primary mitihani ya baraza la EA iliondolewa baada ya Azimio la Arusha waliokaa mtihani ya mwaka 1969 hadi kuendelea kuanzia darasa la saba hawakufanya mtihani wa EA...Mkandara,
..mimi nimefanya mtihani wakati wa Mwalimu Nyerere na nilitumia nambari ya mtihani.
..kukumbusha baraza la mitihani la taifa limeanzishwa mwaka 1973.
..labda wewe ulifanya mitihani ya baraza la east africa au ulifanya mitihani ya cambridge.
..je, wakati wenu mlikuwa mkitumia majina???
Mi alinifurahisha alipokuwa anatetea majina yasitumike ktk mitihani - badala yake zitumike namba, NICE MOVE
Mkandara,
..mimi nimefanya mtihani wakati wa Mwalimu Nyerere na nilitumia nambari ya mtihani.
..hakuna kitu kama kuandika jina lako ktk karatasi ya mtihani.
..kukumbusha baraza la mitihani la taifa limeanzishwa mwaka 1973.
..labda wewe ulifanya mitihani ya baraza la east africa au ulifanya mitihani ya cambridge.
..je, wakati wenu mlikuwa mkitumia majina???
NB:
..Dr.Ndalichako kaeleza vizuri sana mchakato mzima wa kutunga na kusahihisha mitihani.
..huwezi kuleta ujanja-ujanja mle zaidi ya kuiba mtihani wenyewe.
..halafu ukizingatia kwamba mtihani unahusisha material za miaka 4 huwezi kushinda bila kuwa mwanafunzi mzuri. naamini hiyo ndiyo sababu ya watu kuiba mtihani lakini bado wanashindwa.
Mkuu Kim amenena vyema. Sijui habari za msikiti wa Malima lakini ni kweli kwamba waislam wengi hutenga/hutengewa sehemu za kuabudu hasa kwenye maofisi ya serikali. Utawaona mchana saa saba wanaenda kuchukua udhu na kujihudhurisha kwenyd ibada. Ofisini kwetu huwa nawaona. Nadhani hili si tatizo tatizo ni kujenga msikiti.kim kardash utaenda peponi inshaallah!
Sawa kabisa NECTA ilianzishwa mwaka 1973, lakini nilikuwa sijakaa mtihani wa kidato cha nne na nilifanya mtihani kwa kutumia JINA sio namba na hata majibu yalipotoka yalikuwa kwa majina yetu. Hata Primary mitihani ya baraza la EA iliondolewa baada ya Azimio la Arusha waliokaa mitihani ya mwaka 1969 hadi kuendelea darasa la saba hawakufanya mtihani wa EA...
Mkuu mimi nakubaliana na wewe sana tu na ndivyo nilivyoelewa mimi kwamba tulishindwa kuendelea na masomo kwa sababu hatukuwa na shule za sekondary na vyuo vya kutosha.Mkuu,
Dr. Ndalichako anazungumza utumbi tu. Mambo yote ni supply and demand.
Watu wanaiba mitihani sio kwa sababu ya kuwa mwanafunzi wabaya. Wanaiba mitihani kwa sababu ya competition. Katika miaka ya 80s, 90s ni 3% ya wanafunzi waliendelea na masomo ya sekondari. Na kabla ya kuanzisha mashule ya kata, kulikuwa na zaidi ya wanafunzi 700,000 wanaomaliza darasa la saba, na kati ya hao ni 10,000-20,000 waliendelea na shule za sekondari za serikali 10,000 private. Na waliofanya kidato cha sita ni 20,000 na waliondelea na vyuo vikuu chini ya 5000.
Darsa la saba sina wasiwasi najua wanatumia namba ila sielewi mwaka gani ilianza na hadi leo bado wanatumia namba. Mimi nazungumzia hili la sekondari limeanza lini maana nijuavyo mimi sisi tulitumia majina, kisha ikawa namba na majina sasa imerudi ktk majina.. Hii imetokea vipi na lini kumekuwa na mageuzi au marekebisho haya..mwenye data atujuze maana najua vitu vyote vimetokea.Mkandara,
Nilitumia namba. Tena darasa la saba. Lakini hili upate namba ni lazima shule yako iwe imesajiliwa na iwe kituo cha mitihani.
Malima alichofanya ni kuakikisha kuwa shule binafsi zinapata namba za usajiri wa kuwa vituo vya mitihani. Hili iliwezesha shule nyingi binafsi kusajiliwa na kuwa vituo vya mitihani.
Hivyo shule nyingi za kidini na taasisi zingine ambazo kwa miaka mingi zilikuwa hazina usajili zipata namba.
Mkuu,
Dr. Ndalichako anazungumza utumbi tu. Mambo yote ni supply and demand.
Watu wanaiba mitihani sio kwa sababu ya kuwa mwanafunzi wabaya. Wanaiba mitihani kwa sababu ya competition. Katika miaka ya 80s, 90s ni 3% ya wanafunzi waliendelea na masomo ya sekondari. Na kabla ya kuanzisha mashule ya kata, kulikuwa na zaidi ya wanafunzi 700,000 wanaomaliza darasa la saba, na kati ya hao ni 10,000-20,000 waliendelea na shule za sekondari za serikali 10,000 private. Na waliofanya kidato cha sita ni 20,000 na waliondelea na vyuo vikuu chini ya 5000.
Darsa la saba sina wasiwasi najua wanatumia namba ila sielewi mwaka gani ilianza na hadi leo bado wanatumia namba. Mimi nazungumzia hili la sekondari limeanza lini maana nijuavyo mimi sisi tulitumia majina, kisha ikawa namba na majina sasa imerudi ktk majina.. Hii imetokea vipi na lini kumekuwa na mageuzi au marekebisho haya..mwenye data atujuze maana najua vitu vyote vimetokea.
we kweli hujui hii nchi imetoka wapi? yani hujui malima alikua waziri wa elimu na ndiye aliyeanzisha mfumo wa namba? na wewe bado unaamini mpaka leo trend ya ufaulu wa waislam ipo vilevile?
Mkuu wangu nina mke, watoto na ndugu ambao wametumia majina na namba ktk mtihani wa kidato cha nne, tunabishana kitu gani. MImi nimesema sikutumia namba na naomba uniamini hilo halafu kama wewe umetumia namba basi jua kuna watu wengine wametumia majina na namba (kujaza karatasi ya mtihani) sababu sizielewi na pengine ndio kinachotutatiza ktk hoja hii.. why others watumie namba na wengine watumie majina na namba..na hata majibu yao yalipotoka tulienda kusoma majina yao. Sikumbuki kusoma namba za mtihaniwa ktk majibu au matokeo ya elimu nchini.. Miaka yote hatuna kitu privacy acha mbali malalamiko mengineyo.Mkandara,
..haiyumkiniki mtihani wa std 7 watumie namba halafu wa form 4 watumie majina.
..utaratibu wa kutumia nambari za mtihani kwa mitihani ya taifa haukuanza na Prof.Malima.