Uungwana Vitendo
JF-Expert Member
- Nov 20, 2013
- 1,322
- 507
Malima alianza kuingia ktk siasa kwanza kisha akenda kusoma hilo ulijue halafu huo msikiti ni upi unaozungumzia yaan mtu asisali ofisini kwake nyinyi hamfanyi ibada maofisini hamuweki misalaba maofisini .Malima ndio aliyewafungua macho waislamu wanchi hii.Kama mtaendelea kutafua hivi viji-sababu visivyo na mshiko mtaendelea kuwa nyuma ki-ELIMU milele. Ninajua ndivyo mnavyodanganywa huko misikitini.
From the horses mouth, mimi nilifanya mitihani wakati huo Waziri wa Elimu akiwa Jackson Makweta, Rais akiwa Julius Nyerere na tulitumia NAMBA katika mitihani yetu.
Sasa hili la kwamba Prof. Kighoma Malima ndiye aliyeleta mfumo na NAMBA kwa wahitimu linatoka wapi?! FYI, wakati huo Kighoma Malima alikuwa Lecturer UDSM akifundisha economics, hata SIASA alikuwa hajaingia. Ingawa sio vizuri kumsema marehemu lakini Prof. Kighoma Malima alikuwa MDINI sana kiasi cha kujenga ka-msikiti pale Wizara ya ELIMU. Sipati picha kama Jackson Makweta angejenga ka-kanisa wizara ya ELIMU sijui kelele zingekuwa je?