Ukweli wa alichokisema Sheikh Kipozeo kuhusu Diamond

eden kimario

JF-Expert Member
Jun 13, 2015
10,227
16,178
Nilimsikiliza sheikh kipozeo wakati akimzungumzia dimondi
Sina shida na alichosema kuhusu huyu mtoto wa Kiislamu bali kilichonifanya niandike haya ni maneno yake kwamba dimond kuvaa msalaba anakubali kuwa Isa alisulubiwa wakati wao Waislamu wanaamini Isa hakusulubiwa

Huenda alichosema ni sahihi kabisa lakini kuna vitu akawa havielewi

Isa = zeruzeru
Yesu = mkombozi
Au Kiebrania yehosua = Mungu mkombozi

Historia inatueleza Isa alizaliwa katika chini ya mti wa mtende lakini qurani haitaji nchi ila inasema alizaliwa mchana na mama yake ni Mariamu
Hii ni stori tofauti na inayotupa bible

Kiarabu Yesu inatamkwa Yasu na sio Isa kama Waislamu wanavyowaaminisha wenzao kuwa ni Isa

Historia ya bible inasema Yesu Kristo au Yasu kwa Kiarabu alizaliwa nchini Israeli,katika mji wa Bethlehemu na katika hori la ngo'mbe hiyo ni bible inasema hivyo

Ukiangalia kwa makini huyu Isa utagundua sio Yesu kabisa na hata kuzaliwa kwao ni tofauti na hata walichokuja kuhubiri ni tofauti

Isa alikuja kuhubiri dini mpya ya mwenyezi Mungu kwa mujibu wa historia
Wakati Yesu alikuja kuwakomboa watu na dhambi zao

So kuanzia leo Waislamu wajue Yesu sio Isa kama wanavyoaminishwa
Na wala Isa sio Yesu kama wanavyoaminishwa

Nawasilisha tu
db22e02e5263d2c889b2e2e4cec506fa.jpg
 
Wewe sio mwislam.... huujui uislam..... Sheikh yuko sahahi kabisa.
 
BADO NAIFUATILIA ASILI YA WAARABU NA WAISRAELI.KUNA JAMAA HAPA WANASEMA MITUME WALE WAISRAELI KUWA NI WAO WAKATI HUO HUO WAO WANAWAITA WAISRAEL MAKAFIRI....
Kuna mada nitaileta itawavunja vunja na kuwasambaratisha hao watu.STAY TUNED

Utajivunja vunja mwenyewe wala hakuna utakayemvunja, labda ungewavunja wale wanaoamini waislael wote ni yesu wakati hata kumjua hawamjui
 
Wewe na huyo Kipozeo wote mambumbu hamjui kitu, mmedandia treni la waarabu tu mnapelekwa kama ng'ombe. Ule msalaba aliovaa Diamond sio wa Yesu, ile inaitwa Ethiopian cross na Rastafari wengi wanavaa ile kitu. Naweza kusema aina ya muziki na collable na Morgan Heritage ndio maana Diamond akavaa kwenye video. Mwambie Kipozeo atafute kazi ya kufanya maana hajui kitu.
 
BADO NAIFUATILIA ASILI YA WAARABU NA WAISRAELI.KUNA JAMAA HAPA WANASEMA MITUME WALE WAISRAELI KUWA NI WAO WAKATI HUO HUO WAO WANAWAITA WAISRAEL MAKAFIRI....
Kuna mada nitaileta itawavunja vunja na kuwasambaratisha hao watu.STAY TUNED
Hawajielewi hao, zaidi walilonalo ni mihemko na kueneza chuki.
 
Back
Top Bottom