Ukweli, uwazi humuweka mtu huru

Ukweli, uwazi humuweka mtu huru

Marry Diana

JF-Expert Member
Joined
May 5, 2025
Posts
970
Reaction score
2,360
Shikamooni wakubwa wote wa JamiiForums

Leo ni siku nzuri kabisa ya jumatatu ikiwa inaishia,poleni na majukumu ya hapa na pale,Mimi binafsi nimechoka na hekaheka za daladala haswa baada ya kujikuta nimesimama kutoka kariakoo kibaruani kwangu hadi nyumbani Kinyerezi.

Leo kuna Jambo niulize kuhusu watu wa humu na style zao, Kwanza wengi wanaonekana wasomi ,maana ukibishana kidogo basi anakimbilia kiingereza, kiukweli hapa wananikomesha ,lakini pia kila mtu humu ni ana uwezo Kwa namna fulani.

Mana nikisoma baadhi ya Mada naona wengi wamepangq nyumba siyo chumba,au wanamiliki nyumba na magari,lakini pia wana simu za gharama

sasa swali langu ina maana humu hakuna tunaofanana hali na mimi?

au miye bado mdogo na elimu yangu ya form four kwakuwa sina kazi yenye kipato cha maana?

Mimi naishi local life na kwetu ni uswahilini hapa tu natumia simu ya kawaida sana.

Natamani maisha mazuri mno ila naogopa kurisk maisha na kukufuru .

Karibuni
 
Umejaribu kuolewa nayo imeshindikana??
 
Pale unapotaka kuwaelewa watu wa jamiiforums
FB_IMG_17459525006021028.jpg
 
Shikamooni wakubwa wote wa JamiiForums

Leo ni siku nzuri kabisa ya jumatatu ikiwa inaishia,poleni na majukumu ya hapa na pale,Mimi binafsi nimechoka na hekaheka za daladala haswa baada ya kujikuta nimesimama kutoka kariakoo kibaruani kwangu hadi nyumbani Kinyerezi.

Leo kuna Jambo niulize kuhusu watu wa humu na style zao, Kwanza wengi wanaonekana wasomi ,maana ukibishana kidogo basi anakimbilia kiingereza, kiukweli hapa wananikomesha ,lakini pia kila mtu humu ni ana uwezo Kwa namna fulani.

Mana nikisoma baadhi ya Mada naona wengi wamepangq nyumba siyo chumba,au wanamiliki nyumba na magari,lakini pia wana simu za gharama

sasa swali langu ina maana humu hakuna tunaofanana hali na mimi?

au miye bado mdogo na elimu yangu ya form four kwakuwa sina kazi yenye kipato cha maana?

Mimi naishi local life na kwetu ni uswahilini hapa tu natumia simu ya kawaida sana.

Natamani maisha mazuri mno ila naogopa kurisk maisha na kukufuru .

Karibuni
Ishi maisha yako weka mipango yako sawa ipo siku utatusua tu. Tunaoishi maisha ya kawaida tuko wengi tu mimi kakaako ni mmojawapo. Humu chukua elimu na uzoefu pumba na mengine ya hovyo yaache humuhumu
 
Back
Top Bottom