UKWELI UTAKUWEKA HURU

Retired

JF-Expert Member
Jul 22, 2016
24,933
2,000
Hivi ndivyo ilivyotokea kituo cha polisi

Mwanamke alimleta "mpenzi" wake polisi kuwa amempiga. Mwanamume akasema huyu ni mpenzi wangu kumetokea kutoelewana, sijampiga. Mwanamke akasema tuliachana ananifuata fuata. Polisi akasema kwa nini unamfuata wakati hakutaki. Sema ukweli, umempiga?
Mwanamume akasema "Mimi ni muislamu, nasema ukweli, IsLamu dini yangu, nimempiga makofi mawili tu!"
Polis akasema ukweli utakuweka huru, Zunguka, toa mkanda, vua viatu, kabidhi kila kitu. Tukamuacha amelala huko. UKWELI UMEMUWEKA HURU.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar threads

Top Bottom