Tajiri yupi?Naona mnamgombania tajiri
Dada humu hamna wanaume,mtu gani mnakunywa soda za miasita ambapo jumla ni 1200 halafu inabaki 800 kwenye 2000 aliyotoa lakini chaajabu mianane anaing'ang'ania mpaka,,,,,,eehπDA marry mwenyewee, uko Lele Leleee.
Em mtaje huyo kapuku, asiyefua wala kunyoosha paso nguo.
Unatupa ubuyuu nusu, wambea na wadaku tuna baki kuteseka na labdaa.
πππππ
Leo ni siku ya kuzungumzia kuhusu dira ya taifa ya miaka 25 ijayoSiyajui tatzo
Tajiri hana bayaTajiri yupi?
Wewe nae koma,mm napendwa ,na najijua napendwa ww kama unajiamini weka picha yakoUyo nae alie kuja kukushuhudia kituko kama wewe ana uhaba na wanawake ila siamini vijana wa humu tulivyo na dharau ndio aje kukutana na wewe π
Kumbe hii ndo id yako nyingine!Tajiri hana baya
Huko ndo kunyooshwa sasaDada humu hamna wanaume,mtu gani mnakunywa soda za miasita ambapo jumla ni 1200 halafu inabaki 800 kwenye 2000 aliyotoa lakini chaajabu mianane anaing'ang'ania mpaka,,,,,,eehπ
Nenda jukwaa lingine ,mm sijui kuhusu dira wala dera nenda mkajadili ukoooLeo ni siku ya kuzungumzia kuhusu dira ya taifa ya miaka 25 ijayo
πππππ Da Marry, em shusha ubuyu mzima, mbna unanipa heka heka za kutafuta hitimisho la hii sakata.Dada humu hamna wanaume,mtu gani mnakunywa soda za miasita ambapo jumla ni 1200 halafu inabaki 800 kwenye 2000 aliyotoa lakini chaajabu mianane anaing'ang'ania mpaka,,,,,,eehπ
Akupende nani ππ labda wauza mabeseniWewe nae koma,mm napendwa ,na najijua napendwa ww kama unajiamini weka picha yako
Jinga tu na najua yupo humu anaonq aibuHuko ndo kunyooshwa sasa
Mi naonaga tu vimbwanga vyenu mkuuKumbe hii ndo id yako nyingine!