Yah nmeshamuomba msamaha na nmeshaifuta ile comment kule, nasubiri reply YAKE.Omba bas msamaha jamani.
Vipo vingi sana vya kutaniana ila siyo ishu ya akiliπππππ
Ila wee, usichukulie serious, nliona kwenye uzi wako kulee.
But Ww n mwanamke na nilishajua hilo.πΉπΉπΉ Sa unapendaje mtu humjui Mbaga km mwanaume mwenzio je?
Tuma π« ya 1St class ktk βοΈ si uko Dubai wee.Zikikupanda tena uniite maana maisha ni kusaidiana rafiki
Daaah!! Msamehe buree tyuuh.Vipo vingi sana vya kutaniana ila siyo ishu ya akili
Am sorry mamaaVipo vingi sana vya kutaniana ila siyo ishu ya akili
πππππΉπΉπΉπΉ
πΉπΉπΉ hilo sibishi inawezekana na ss hivi mwenyewe yupo pembeni anacheka..!!Ila kwa akicho ongea kama kweli kakutana na mtu wa humu jf some how na muamini na id izo zina weza kuwa kubwa tu sema ndio maisha yetu mtandaoni
Wachaaa wee!! ππππNakuaminia maana daily nikiona comment yake naishia kudisa
ππππππΉπΉπΉ hilo sibishi inawezekana na ss hivi mwenyewe yupo pembeni anacheka..!!
Huyo pima maji bahati yake marry angepita na simu yake π€£
Kule twende rasmi kesho na marry πΉπΉNgoja niende kuchungulia, πππππ
DahπΉπΉπΉ hilo sibishi inawezekana na ss hivi mwenyewe yupo pembeni anacheka..!!
Huyo pima maji bahati yake marry angepita na simu yake π€£
Haswaaaa!! Tukauchachue uziii. ππππKule twende rasmi kesho na marry πΉπΉ
Pole Mbaga yote maisha rafiki, inawezekana umeupushiwa kitu sio sahihi kwako..!! π₯Mm nilishanyanyua mikono juu π
πΉπΉπΉ Awe makini ss hivi wengine vibaka ataibiwa..!!Ndo anakutana na michokano iko hoe hae..
Anaamua kuja kuwanangaa hapaaa.
πππππ
Weka dau tuingie mzigoni πΉπΉMzee wa assist na kuna assist moja ntakushirikisha
πPole Mbaga yote maisha rafiki, inawezekana umeupushiwa kitu sio sahihi kwako..!! π₯
Makapuku na kesho tukawaite kwenye uzi wao ule wa makapuku..!! πΉHapo sasa!! Sitokiii hapa, hadi makapuku wa JF watajwe rasmi.
πππππ
Yaan afanye kuwatajaa, kesho tukawakabidhi kwenye uzi husika.Makapuku na kesho tukawaite kwenye uzi wao ule wa makapuku..!! πΉ
We nawe acha kuwa emotional humu tunaishi watu tusiojuana, unaanzaje kuamini watu ghafla?? Mi sio Marry naogopa watu mitandaoni kinouma πΉπΉπΉAisee Jesus is watching you my dia