Marry Diana
JF-Expert Member
- May 5, 2025
- 1,419
- 4,111
- Thread starter
-
- #21
Acha kujieleza sanaukiingia kichwakichwa humu jukwaani unapotezwa mazima, wengi tunaonekana wa hovyo humu ila nje na jf mimi ni mtu huwezi kumdhania, ushauri wangu kwa Marry Diana apunguze kulialia mtandaoni,wengine huwa tunajibu hoja tukitafuta like za vicheko tu basi.
Uko sahihi. Maisha ya humu kwa sehemu kubwa hayana uhalisia na yale ya mtaani.ukiingia kichwakichwa humu jukwaani unapotezwa mazima, wengi tunaonekana wa hovyo humu ila nje na jf mimi ni mtu huwezi kumdhania, ushauri wangu kwa Marry Diana apunguze kulialia mtandaoni,wengine huwa tunajibu hoja tukitafuta like za vicheko tu basi.
Marry Diana kuna wakati huwa nawaza, inawezekana vipi mwanamke mzuri kama wewe unalia mtandaoni unaumwa,eti unauza simu ukajitibie,je uzuri wako huo kwa nini haukukusaidia ukajitibia? Funzo,ishi vizuri na watu.Acha kujieleza sana
Huyo ndo Mimi post yako tuione , ugly mkubwa wee
HapanaSorry mary hapo kwenye avatar yako ulikuwa umekaa kwenye kaunta ya bar?
Kwahiyo Uzuri ni ticket ya kufanya yasiyompendeza MunguMarry Diana kuna wakati huwa nawaza, inawezekana vipi mwanamke mzuri kama wewe unalia mtandaoni unaumwa,eti unauza simu ukajitibie,je uzuri wako huo kwa nini haukukusaidia ukajitibia? Funzo,ishi vizuri na watu.
shingapi unachukua nije unipe utamu just now?Kwahiyo Uzuri ni ticket ya kufanya yasiyompendeza Mungu
Kwahiyo mama yako mzazi huwa unampa shingapi akupe utamu kwakuwa najua anaoshingapi unachukua nije unipe utamu just now?
Sheria za mtandao haziruhusu ila wengi nahisi ni wanunuaji,Kwa Sura zile mwanamke gani akukubalie labda anayejiuzaKwanza marahaba,hujambo?
Umesema member kadhaa humu unawajua?Wana sura mbaya? Na ndio waliokujibu hovyo?
Hebu mtag hata mmoja hapa apigwe ban
Nilikwambia watakuja, huwa wanawashwawashwa ni magu voiceKwahiyo mama yako mzazi huwa unampa shingapi akupe utamu kwakuwa najua anao
NawakaribishaNilikwambia watakuja, huwa wanawashwawashwa ni magu voice
Dada samahani kuna muda nilikukwaza kwa post yako sikujua kama upo serious kiasi hiki Mungu akupe hitaji la moyo wakoNawakaribisha
Leo umeamua kuwatolea uvivu, kila la heriNawakaribisha
Dada samahani kuna muda nilikukwaza kwa post yako sikujua kama upo serious kiasi hiki Mungu akupe hitaji la moyo wakoNawakaribisha
Dada samahani kuna muda nilikukwaza kwa post yako sikujua kama upo serious kiasi hiki Mungu akupe hitaji la moyo wakoNawakaribisha
Nipo chumbani nimelala,Dada samahani kuna muda nilikukwaza kwa post yako sikujua kama upo serious kiasi hiki Mungu akupe hitaji la moyo wako