At Calvary
JF-Expert Member
- Aug 22, 2018
- 4,513
- 3,554
Roho wa Mungu awaambiyo mataifa
Stay tuned , Everything would be alright.
Mwenye masikio na asikie.

Unajisifia chama cha WAFUGA CHATU ndio chama cha mfano? , Yaani vyama vingine viige WIZI na matumizi mabaya ya DOLA, Uchaguzi serikali za mitaa tu mmeshinda kwa WIZI. Mmeengua washiriki wa upinzani KWA MKONO WA SHETANI. alafu unajisifu mnakubalika? , Kama mnakubalika wekeni UHURU wa wagombea kujinadi na WAPIGA KURA WACHAGUE WAPENDACHO. hapo ndo mtajua kama MBUZI-JIKE ni mwepesi kama Sufi.Hali inavyojionyesha ni kwamba chama kikuu cha upinzani nchini chadema kimeporomoka sana umaarufu wake.
Ni imani yangu kinafuata njia iliopitwa na NCCR Mageuzi, TLP na CUF.
Hili limetokana na uongozi mbovu ngazi ya kitaifa, uongozi usiokubali makosa na kushaurika, mengi yamesemwa na wadau juu ya namna bora ya kukijenga na kukiimarisha, lakini mawazo hayo yalipuuzwa, na watoa maoni kushambuliwa kwa matusi na dhihaka nyingi, hivyo kuamua kukaa kimya kama watazamaji.
Kama ilivyo ada, mwanasiasa au mwananchi mfuasi wa chama chochote cha siasa huwa na malengo, kwake binafsi, kwa jamii inayomzunguka na taifa lake kwa ujumla. Malengo hayo yasipokuwa na dalili ya kutimia hutafuta namna nyingine ya kuyafikia.
Inavyoonekana, Chadema ishiriki, isishiriki Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu 2020, itaporomoka sana tu na kupoteza nafasi ya chama kikuu cha upinzani nchini.
Na hapa asitafutwe mchawi nje ya chama hiki, mchawi yupo ndani ya chama chenyewe.
Kuna usemi wa wahenga usemao "Kila lenye mwanzo lina mwisho wake", "Asiyesikia la mkuu huvunjika guu" na "Mkaidi hafaidi mpaka siku ya Iddi". Haya kufikia mwezi October yataanza kudhihirika wazi kabisa.
Nihitimishe kwa kusema chama kitakacho kuja mbadala wa Chadema, na hili halina mjadala, kitatakiwa kujifunza kupitia makosa haya, kama kweli kitakuwa na nia ya kuleta mabadiliko ya kiuongozi nchini. Hata ikibidi kujifunza namna bora ya kuendesha chama kwa kuiga CCM kinavyoendeshwa.
Nakaribisha maoni tofauti na yangu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbowe kawabana koo...., Mlitaka apite SUMAYE,AMA.C. MWEMBE hahahaaaaaaaaa mnapaswa kuisifu CDM kwa kuyajua makapi. kunalini tu kuwa hilo ni JABALI limewashinda. nyie mmezoea kujibu hoja kwa RISASI.Ngoja wafuasi wa kamanda msaliti waje uone mitusi watakayokuporomoshea.
Chadema hawataki kusikia chochote toka kwa mtu mwingine yeyote, zaidi ya 'kudumisha fikra sahihi za mfalme Mbowe'.
Nilisikia walisema watasusia uchaguzi kama walivyosusia ule wa serikali za mitaa. Ngoja tuone watakavyojiharakishia kifo.
Inavyoonekana, Chadema ishiriki, isishiriki Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu 2020, itaporomoka sana tu na kupoteza nafasi ya chama kikuu cha upinzani nchini.
Na hapa asitafutwe mchawi nje ya chama hiki, mchawi yupo ndani ya chama chenyewe.
Kuna usemi wa wahenga usemao "Kila lenye mwanzo lina mwisho wake", "Asiyesikia la mkuu huvunjika guu" na "Mkaidi hafaidi mpaka siku ya Iddi". Haya kufikia mwezi October yataanza kudhihirika wazi kabisa.
Nihitimishe kwa kusema chama kitakacho kuja
Hili limetokana na uongozi mbovu ngazi ya kitaifa, uongozi usiokubali makosa na kushaurika, mengi yamesemwa na wadau juu ya namna bora ya kukijenga na kukiimarisha, lakini mawazo hayo yalipuuzwa, na watoa maoni kushambuliwa kwa matusi na dhihaka nyingi, hivyo kuamua kukaa kimya kama watazamaji.
Kushauriwa ni jambo JEMA, ila si mara zote inapaswa kubeba ushauri wote na hata ukichukua kuna muda wa kuufanyia kazi.PCHADEMA msipuuzie ushauri hata kama ni kutoka kwa shetani, sometimes the devils does good deeds
Wanabodi, Chadema kimekuwa kikishauriwa mambo mengi humu jukwaani, ila kimekuwa kichwa ngumu kupokea baadhi ya ushauri, kwa hoja kuwa unatoka kwa watu wasiokitakia mema, na wengine kufikia kiwango cha kuwaona kama ni shetani! Msemaji wa Chadema Tumaini Makene akakiri wazi kuwa Chadema inapuuza...www.jamiiforums.com
Hamtaki tu kukiri kwamba Chadema imewashinda. Hata sasa wakati imefungwa mikono na miguu yote, bado inaendelea kuwadunda; na mnaiogopa kama nini. Nafikiri semeni ukweli: Chadema is too powerful for you. Weka huu uzi wako kisha urudishe hapa wakati kila chama kitakaporuhusiwa kufanya siasa. Utakuja kuuona ukweli wenyewe.Hali inavyojionyesha ni kwamba chama kikuu cha upinzani nchini chadema kimeporomoka sana umaarufu wake.
Ni imani yangu kinafuata njia iliopitwa na NCCR Mageuzi, TLP na CUF.
Hili limetokana na uongozi mbovu ngazi ya kitaifa, uongozi usiokubali makosa na kushaurika, mengi yamesemwa na wadau juu ya namna bora ya kukijenga na kukiimarisha, lakini mawazo hayo yalipuuzwa, na watoa maoni kushambuliwa kwa matusi na dhihaka nyingi, hivyo kuamua kukaa kimya kama watazamaji.
Kama ilivyo ada, mwanasiasa au mwananchi mfuasi wa chama chochote cha siasa huwa na malengo, kwake binafsi, kwa jamii inayomzunguka na taifa lake kwa ujumla. Malengo hayo yasipokuwa na dalili ya kutimia hutafuta namna nyingine ya kuyafikia.
Inavyoonekana, Chadema ishiriki, isishiriki Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu 2020, itaporomoka sana tu na kupoteza nafasi ya chama kikuu cha upinzani nchini.
Na hapa asitafutwe mchawi nje ya chama hiki, mchawi yupo ndani ya chama chenyewe.
Kuna usemi wa wahenga usemao "Kila lenye mwanzo lina mwisho wake", "Asiyesikia la mkuu huvunjika guu" na "Mkaidi hafaidi mpaka siku ya Iddi". Haya kufikia mwezi October yataanza kudhihirika wazi kabisa.
Nihitimishe kwa kusema chama kitakacho kuja mbadala wa Chadema, na hili halina mjadala, kitatakiwa kujifunza kupitia makosa haya, kama kweli kitakuwa na nia ya kuleta mabadiliko ya kiuongozi nchini. Hata ikibidi kujifunza namna bora ya kuendesha chama kwa kuiga CCM kinavyoendeshwa.
Nakaribisha maoni tofauti na yangu.
Sent using Jamii Forums mobile app
CCM wanakubalika sana na Polisi,NEC,TISS & Mahakama.Hayo ndiyo mafanikio ya awamu ya 5.Polisi Morogoro waruhusu mkutano wa CCM, wazuia wa Chadema
Jeshi la polisi mkoani Morogoro limezuia mkutano wa Chadema Morogoro huku CCM wakiruhusiwa kufanya mkutano wao leo mkoani humo katika uwanja wa Jamhuriwww.google.com
Chadema mnaipa nguvu nyinyi wenyewe kwa woga wenu. Kuna vyama vingi tu vya siasa, lakini kila siku mnaongelea Chadema tu, kwa nini? Kwa nini msioongelee CUF ya Lipumba instead? Acheni woga wenu. Chadema haiwezi kufa kwa kuizuia kufanya siasa. Chama kinakufaga kwa kupuuzwa na wanachama wengi kutokana na kutokuwa na sera za maana. Ukikizuia kufanya siasa kinakuwa dormant au kina-hibernate tu kwa muda. Kikiamka huko mashambulizi yake utakimbia mwenyewe.
Mbona mnazidi kusogeza Mbele kifo cha chadema?Unakumbuka hicho kifo mmeanza kutabiri toka lini?Hali inavyojionyesha ni kwamba chama kikuu cha upinzani nchini chadema kimeporomoka sana umaarufu wake.
Ni imani yangu kinafuata njia iliopitwa na NCCR Mageuzi, TLP na CUF.
Hili limetokana na uongozi mbovu ngazi ya kitaifa, uongozi usiokubali makosa na kushaurika, mengi yamesemwa na wadau juu ya namna bora ya kukijenga na kukiimarisha, lakini mawazo hayo yalipuuzwa, na watoa maoni kushambuliwa kwa matusi na dhihaka nyingi, hivyo kuamua kukaa kimya kama watazamaji.
Kama ilivyo ada, mwanasiasa au mwananchi mfuasi wa chama chochote cha siasa huwa na malengo, kwake binafsi, kwa jamii inayomzunguka na taifa lake kwa ujumla. Malengo hayo yasipokuwa na dalili ya kutimia hutafuta namna nyingine ya kuyafikia.
Inavyoonekana, Chadema ishiriki, isishiriki Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu 2020, itaporomoka sana tu na kupoteza nafasi ya chama kikuu cha upinzani nchini.
Na hapa asitafutwe mchawi nje ya chama hiki, mchawi yupo ndani ya chama chenyewe.
Kuna usemi wa wahenga usemao "Kila lenye mwanzo lina mwisho wake", "Asiyesikia la mkuu huvunjika guu" na "Mkaidi hafaidi mpaka siku ya Iddi". Haya kufikia mwezi October yataanza kudhihirika wazi kabisa.
Nihitimishe kwa kusema chama kitakacho kuja mbadala wa Chadema, na hili halina mjadala, kitatakiwa kujifunza kupitia makosa haya, kama kweli kitakuwa na nia ya kuleta mabadiliko ya kiuongozi nchini. Hata ikibidi kujifunza namna bora ya kuendesha chama kwa kuiga CCM kinavyoendeshwa.
Nakaribisha maoni tofauti na yangu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Huo ndiyo ukweli na tunafurahi cdm kuwa mwisho wao wa kuwa chama kikuu cha upinzani utakuja na neema maana kutaufanya uchumi wetu wa taifa kukua kwa 7%
In God we Trust
Hali inavyojionyesha ni kwamba chama kikuu cha upinzani nchini chadema kimeporomoka sana umaarufu wake.
Ni imani yangu kinafuata njia iliopitwa na NCCR Mageuzi, TLP na CUF.
Hili limetokana na uongozi mbovu ngazi ya kitaifa, uongozi usiokubali makosa na kushaurika, mengi yamesemwa na wadau juu ya namna bora ya kukijenga na kukiimarisha, lakini mawazo hayo yalipuuzwa, na watoa maoni kushambuliwa kwa matusi na dhihaka nyingi, hivyo kuamua kukaa kimya kama watazamaji.
Kama ilivyo ada, mwanasiasa au mwananchi mfuasi wa chama chochote cha siasa huwa na malengo, kwake binafsi, kwa jamii inayomzunguka na taifa lake kwa ujumla. Malengo hayo yasipokuwa na dalili ya kutimia hutafuta namna nyingine ya kuyafikia.
Inavyoonekana, Chadema ishiriki, isishiriki Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu 2020, itaporomoka sana tu na kupoteza nafasi ya chama kikuu cha upinzani nchini.
Na hapa asitafutwe mchawi nje ya chama hiki, mchawi yupo ndani ya chama chenyewe.
Kuna usemi wa wahenga usemao "Kila lenye mwanzo lina mwisho wake", "Asiyesikia la mkuu huvunjika guu" na "Mkaidi hafaidi mpaka siku ya Iddi". Haya kufikia mwezi October yataanza kudhihirika wazi kabisa.
Nihitimishe kwa kusema chama kitakacho kuja mbadala wa Chadema, na hili halina mjadala, kitatakiwa kujifunza kupitia makosa haya, kama kweli kitakuwa na nia ya kuleta mabadiliko ya kiuongozi nchini. Hata ikibidi kujifunza namna bora ya kuendesha chama kwa kuiga CCM kinavyoendeshwa.
Nakaribisha maoni tofauti na yangu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Umechangia vema Ndugu, hawa CCM hawalali,wanahaha kupambana na CHADEMA,wamesahau slogan ya Tanzania ya viwanda,Elimu bure wakati wanachangisha Wananchi kwa mabavu fedha za maendeleo ya sekta ya elimu,wanaimba nyimbo mpya ambazo hazikusikika sana wakati wa kampeni zao za uchaguzi wa 2015 kama Stiglers,SGR,ATCL na madege yao,madaraja,barabara,kuhamia Dodoma,Bunge live vs Magufuli/CCM Live on TBC nk.Wanafikiri tumesahau mahakama ya mafisadi na mafisadi?Kushauriwa ni jambo JEMA, ila si mara zote inapaswa kubeba ushauri wote na hata ukichukua kuna muda wa kuufanyia kazi.
Hivyo mkuu usihofu Chama kina shaurika ,hakijakataa kushauriwa kama JHIWE , ila kinafanya kila jambo kwa wakati wake , Wimbo wa CDM kufa Haujaanza kuimbwa leo wala jana waliwahi kuuimba kina TYSON (S. WASSIRA). Wakiaminisha watu kuwa CDM Itakufa muda mfupi ujao tangu wayaseme hayo Umepita muda mfupi,Wakati na Mrefu mwisho wamepotea wao kwenye Siasa CDM bado ipo na bado ni tishio kwa DOLA na chama chao na ni tumaini la wananchi,
Kama chama Kwa muda mrefu kinafanyiwa Ghiriba ,Fitina , na ufedhuli wa macho macho kila mtu anaona na kusikia namna ambavyo DOLA ina HENYA kubuni UFIRAHUNI wa kila namna kuipunguza nguvu CDM na kuimaliza, Lakini bado IPO na ni Tishio...., (Mungu anawalinda wapinzani).
Ushetani gani Haujafanywa na chama dola v/s CDM / upinzani?,Ushetani ganiii?,
Ununuzi wa Wabunge wao..., Kupiga wanachama wao na kuwajeruhi hata kuwatoa uhai, Kuwa....CHATU, kuwanyang'anya mali ( mpaka wengine wakajisalimisha kwa KAFIRI), kuzushiwa kesi Zisizo na dhamana na zisizo kwisha.
Kujibiwa hoja zao Kwa RISASI. mambo ni mengi kuyaandika yote hapa Saver itajaa....Lol.
HITIMISHO:-
WAPINZANI TUNAPASWA KUWATIA MOYO NA KUWAOMBEA KWA MUNGU MUUMBA AWALINDE NA KUWAPA UWEZO ZAIDI NA ZAIDI,Upinzani wanafanya siasa kwenye mazingira Magumu na ya hatari sana, ni uhatari Unaoboreshwa kila siku na chama tawala kwa kutumia mbinu yeyote kwa Gharama yeyote na hili lipo wazi hata wewe 'P" unajua, USHETANI unaofanywa ni wa kiwango kilichopitiliza lakini CDM bado madhubuti ,Hakika mambo hayo ya KIFIRAHUNI inayofanyiwa Kama yangefanywa kwa CCM kwa muda yali yaliyodumu CCM ingekuwa ni msamiati wa kale. angalia wanasiasa waliohamia upinzani wakisafanyiwa UFIRAHUNI kidogo tu na DOLA kesho wanafungasha virago kurudi CcM.
CHADEMA BADO NI TISHIO. ishaurini SHERIKALI YA JHIWE itende haki na iwe na HOFU YA MUNGU, uwanja wa siasa uwe wa usawa Hapo ndo mjua nani ni mfu.
....ni Lumumba si RumumbaTatizo la chadema wanadhani mtu akisema ukweli ni warumumba! Okoa chadema kwa kufukuza mbowe umwenyekiti.
Okoa chadema kwa kuweka wazi matumizi ya rudhuku.
Okoa chadema kwa kuondoa ukanda ndani ya chadema
Okoa chadema kwa kujenga ofice za chama kila mkoa na wilaya
Okoa chadema.kwa kupokezana vijiti katika uongozi
Okoa chadema kwakukifanya chama kuwa chama cha wanachama na sichama cha mtu au kikundi
OKOA CHADEMA KWA KUJA NA SERA SAFI,UONGOZI BORA,SIASA SAFI(siyo siasa za akina lema na heche)
Vinginevyo mtashangaa atakaekuwa wa mwisho kuhama chama ni LEMA kuhamia CCM very soon.
Chama cha Chadema hakiwezi kufa ila kinaweza kudumaa hapa kilipo au kikaenda chini ya hapo.Hali inavyojionyesha ni kwamba chama kikuu cha upinzani nchini chadema kimeporomoka sana umaarufu wake.
Ni imani yangu kinafuata njia iliopitwa na NCCR Mageuzi, TLP na CUF.
Hili limetokana na uongozi mbovu ngazi ya kitaifa, uongozi usiokubali makosa na kushaurika, mengi yamesemwa na wadau juu ya namna bora ya kukijenga na kukiimarisha, lakini mawazo hayo yalipuuzwa, na watoa maoni kushambuliwa kwa matusi na dhihaka nyingi, hivyo kuamua kukaa kimya kama watazamaji.
Kama ilivyo ada, mwanasiasa au mwananchi mfuasi wa chama chochote cha siasa huwa na malengo, kwake binafsi, kwa jamii inayomzunguka na taifa lake kwa ujumla. Malengo hayo yasipokuwa na dalili ya kutimia hutafuta namna nyingine ya kuyafikia.
Inavyoonekana, Chadema ishiriki, isishiriki Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu 2020, itaporomoka sana tu na kupoteza nafasi ya chama kikuu cha upinzani nchini.
Na hapa asitafutwe mchawi nje ya chama hiki, mchawi yupo ndani ya chama chenyewe.
Kuna usemi wa wahenga usemao "Kila lenye mwanzo lina mwisho wake", "Asiyesikia la mkuu huvunjika guu" na "Mkaidi hafaidi mpaka siku ya Iddi". Haya kufikia mwezi October yataanza kudhihirika wazi kabisa.
Nihitimishe kwa kusema chama kitakacho kuja mbadala wa Chadema, na hili halina mjadala, kitatakiwa kujifunza kupitia makosa haya, kama kweli kitakuwa na nia ya kuleta mabadiliko ya kiuongozi nchini. Hata ikibidi kujifunza namna bora ya kuendesha chama kwa kuiga CCM kinavyoendeshwa.
Nakaribisha maoni tofauti na yangu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo chama Cha chadema ni kibovu Mara mbili ya CCM kwa sasa tutakipa CCM kura mpaka pale kitapotokea chama Cha upinzani imara na chenye kijitambua tofauti na chadema.Kwa hiyo unafurahia CCM kuwa chama tawala vilevile kuwa chama kikuu cha upinzani Bungeni siyo!!
Ni mjinga pekee anaweza kufurahia haya mambo...unapata wapi check and balance katika uongozi wa Taifa.
Watu wanafikiri mataifa makubwa yamefika hapo yalipo kwa kauli za mtu mmoja mwenye madaraka akishaamua jambo muda huo huo jambo hilo linageuka na kuwa sheria ....
Kwa Haki au kwa dhulma?.maana kwa HAKI HILO HALITATOKEA.Sijasema itakufa,nimesema hakitakua chama kikuu cha upinzani,muwe mnasoma na kuelewa pia,pathetic
Sent using Jamii Forums mobile app
Babako anasema ananyoosha nchi, hivi ushawahi kumuuliza ni nani aliipindisha?Tatizo chama Cha chadema ni kibovu Mara mbili ya CCM kwa sasa tutakipa CCM kura mpaka pale kitapotokea chama Cha upinzani imara na chenye kijitambua tofauti na chadema.
Halafu kikishakuwa si chama kikuu cha upinzani kinakuwaje? Wewe naye ni ng'ombe kweli kweli.Sijasema itakufa,nimesema hakitakua chama kikuu cha upinzani,muwe mnasoma na kuelewa pia,pathetic
Sent using Jamii Forums mobile app