Ukweli usemwe, mwaka huu wa 2020 ndiyo mwisho wa CHADEMA kuwa chama kikuu cha Upinzani

Hali inavyojionyesha ni kwamba chama kikuu cha upinzani nchini chadema kimeporomoka sana umaarufu wake.

Ni imani yangu kinafuata njia iliopitwa na NCCR Mageuzi, TLP na CUF.

Hili limetokana na uongozi mbovu ngazi ya kitaifa, uongozi usiokubali makosa na kushaurika, mengi yamesemwa na wadau juu ya namna bora ya kukijenga na kukiimarisha, lakini mawazo hayo yalipuuzwa, na watoa maoni kushambuliwa kwa matusi na dhihaka nyingi, hivyo kuamua kukaa kimya kama watazamaji.

Kama ilivyo ada, mwanasiasa au mwananchi mfuasi wa chama chochote cha siasa huwa na malengo, kwake binafsi, kwa jamii inayomzunguka na taifa lake kwa ujumla. Malengo hayo yasipokuwa na dalili ya kutimia hutafuta namna nyingine ya kuyafikia.

Inavyoonekana, Chadema ishiriki, isishiriki Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu 2020, itaporomoka sana tu na kupoteza nafasi ya chama kikuu cha upinzani nchini.

Na hapa asitafutwe mchawi nje ya chama hiki, mchawi yupo ndani ya chama chenyewe.

Kuna usemi wa wahenga usemao "Kila lenye mwanzo lina mwisho wake", "Asiyesikia la mkuu huvunjika guu" na "Mkaidi hafaidi mpaka siku ya Iddi". Haya kufikia mwezi October yataanza kudhihirika wazi kabisa.

Nihitimishe kwa kusema chama kitakacho kuja mbadala wa Chadema, na hili halina mjadala, kitatakiwa kujifunza kupitia makosa haya, kama kweli kitakuwa na nia ya kuleta mabadiliko ya kiuongozi nchini. Hata ikibidi kujifunza namna bora ya kuendesha chama kwa kuiga CCM kinavyoendeshwa.

Nakaribisha maoni tofauti na yangu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Unajisifia chama cha WAFUGA CHATU ndio chama cha mfano? , Yaani vyama vingine viige WIZI na matumizi mabaya ya DOLA, Uchaguzi serikali za mitaa tu mmeshinda kwa WIZI. Mmeengua washiriki wa upinzani KWA MKONO WA SHETANI. alafu unajisifu mnakubalika? , Kama mnakubalika wekeni UHURU wa wagombea kujinadi na WAPIGA KURA WACHAGUE WAPENDACHO. hapo ndo mtajua kama MBUZI-JIKE ni mwepesi kama Sufi.
MMEANZA NA SHETANI HAMUWEZI KUMALIZA NA MUNGU. kama alivyowahi kusema Mwenyekheri ,Mwl,Hayati,Baba wa Taifa JK1. Ukila nyama ya binadamu huwezi kuacha.....WAFUGA CHATU Mmeshazoea hilo kuacha hamuwezi.
 
Ngoja wafuasi wa kamanda msaliti waje uone mitusi watakayokuporomoshea.

Chadema hawataki kusikia chochote toka kwa mtu mwingine yeyote, zaidi ya 'kudumisha fikra sahihi za mfalme Mbowe'.

Nilisikia walisema watasusia uchaguzi kama walivyosusia ule wa serikali za mitaa. Ngoja tuone watakavyojiharakishia kifo.
Mbowe kawabana koo...., Mlitaka apite SUMAYE,AMA.C. MWEMBE hahahaaaaaaaaa mnapaswa kuisifu CDM kwa kuyajua makapi. kunalini tu kuwa hilo ni JABALI limewashinda. nyie mmezoea kujibu hoja kwa RISASI.
 
Inavyoonekana, Chadema ishiriki, isishiriki Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu 2020, itaporomoka sana tu na kupoteza nafasi ya chama kikuu cha upinzani nchini.

Na hapa asitafutwe mchawi nje ya chama hiki, mchawi yupo ndani ya chama chenyewe.

Kuna usemi wa wahenga usemao "Kila lenye mwanzo lina mwisho wake", "Asiyesikia la mkuu huvunjika guu" na "Mkaidi hafaidi mpaka siku ya Iddi". Haya kufikia mwezi October yataanza kudhihirika wazi kabisa.

Nihitimishe kwa kusema chama kitakacho kuja
Hili limetokana na uongozi mbovu ngazi ya kitaifa, uongozi usiokubali makosa na kushaurika, mengi yamesemwa na wadau juu ya namna bora ya kukijenga na kukiimarisha, lakini mawazo hayo yalipuuzwa, na watoa maoni kushambuliwa kwa matusi na dhihaka nyingi, hivyo kuamua kukaa kimya kama watazamaji.
P
 
P
Kushauriwa ni jambo JEMA, ila si mara zote inapaswa kubeba ushauri wote na hata ukichukua kuna muda wa kuufanyia kazi.
Hivyo mkuu usihofu Chama kina shaurika ,hakijakataa kushauriwa kama JHIWE , ila kinafanya kila jambo kwa wakati wake , Wimbo wa CDM kufa Haujaanza kuimbwa leo wala jana waliwahi kuuimba kina TYSON (S. WASSIRA). Wakiaminisha watu kuwa CDM Itakufa muda mfupi ujao tangu wayaseme hayo Umepita muda mfupi,Wakati na Mrefu mwisho wamepotea wao kwenye Siasa CDM bado ipo na bado ni tishio kwa DOLA na chama chao na ni tumaini la wananchi,
Kama chama Kwa muda mrefu kinafanyiwa Ghiriba ,Fitina , na ufedhuli wa macho macho kila mtu anaona na kusikia namna ambavyo DOLA ina HENYA kubuni UFIRAHUNI wa kila namna kuipunguza nguvu CDM na kuimaliza, Lakini bado IPO na ni Tishio...., (Mungu anawalinda wapinzani).
Ushetani gani Haujafanywa na chama dola v/s CDM / upinzani?,Ushetani ganiii?,
Ununuzi wa Wabunge wao..., Kupiga wanachama wao na kuwajeruhi hata kuwatoa uhai, Kuwa....CHATU, kuwanyang'anya mali ( mpaka wengine wakajisalimisha kwa KAFIRI), kuzushiwa kesi Zisizo na dhamana na zisizo kwisha.
Kujibiwa hoja zao Kwa RISASI. mambo ni mengi kuyaandika yote hapa Saver itajaa....Lol.
HITIMISHO:-
WAPINZANI TUNAPASWA KUWATIA MOYO NA KUWAOMBEA KWA MUNGU MUUMBA AWALINDE NA KUWAPA UWEZO ZAIDI NA ZAIDI,Upinzani wanafanya siasa kwenye mazingira Magumu na ya hatari sana, ni uhatari Unaoboreshwa kila siku na chama tawala kwa kutumia mbinu yeyote kwa Gharama yeyote na hili lipo wazi hata wewe 'P" unajua, USHETANI unaofanywa ni wa kiwango kilichopitiliza lakini CDM bado madhubuti ,Hakika mambo hayo ya KIFIRAHUNI inayofanyiwa Kama yangefanywa kwa CCM kwa muda yali yaliyodumu CCM ingekuwa ni msamiati wa kale. angalia wanasiasa waliohamia upinzani wakishafanyiwa UFIRAHUNI kidogo tu na DOLA kesho yake wanafungasha virago kurudi CcM.
CHADEMA BADO NI TISHIO. Ishaurini SHERIKALI YA JHIWE itende haki na iwe na HOFU YA MUNGU, Uwanja wa siasa uwe wa usawa Hapo ndo mtajua Chama Gani ni mfu.
 
Chama ambacho unakifikiria kwa namna hiyo msingekuwa mnawapiga kuwatesa na kuwaonea kuwaua kubambikia kesi wanachama wake ukweli ni kwamba hata wakubwa wako wanaelewa nguvu ya upinzani na wanajua hawana jipya ndio maana unaona taratibu chama chako cha ccm kinageuka chama cha magaidi
 
Hali inavyojionyesha ni kwamba chama kikuu cha upinzani nchini chadema kimeporomoka sana umaarufu wake.

Ni imani yangu kinafuata njia iliopitwa na NCCR Mageuzi, TLP na CUF.

Hili limetokana na uongozi mbovu ngazi ya kitaifa, uongozi usiokubali makosa na kushaurika, mengi yamesemwa na wadau juu ya namna bora ya kukijenga na kukiimarisha, lakini mawazo hayo yalipuuzwa, na watoa maoni kushambuliwa kwa matusi na dhihaka nyingi, hivyo kuamua kukaa kimya kama watazamaji.

Kama ilivyo ada, mwanasiasa au mwananchi mfuasi wa chama chochote cha siasa huwa na malengo, kwake binafsi, kwa jamii inayomzunguka na taifa lake kwa ujumla. Malengo hayo yasipokuwa na dalili ya kutimia hutafuta namna nyingine ya kuyafikia.

Inavyoonekana, Chadema ishiriki, isishiriki Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu 2020, itaporomoka sana tu na kupoteza nafasi ya chama kikuu cha upinzani nchini.

Na hapa asitafutwe mchawi nje ya chama hiki, mchawi yupo ndani ya chama chenyewe.

Kuna usemi wa wahenga usemao "Kila lenye mwanzo lina mwisho wake", "Asiyesikia la mkuu huvunjika guu" na "Mkaidi hafaidi mpaka siku ya Iddi". Haya kufikia mwezi October yataanza kudhihirika wazi kabisa.

Nihitimishe kwa kusema chama kitakacho kuja mbadala wa Chadema, na hili halina mjadala, kitatakiwa kujifunza kupitia makosa haya, kama kweli kitakuwa na nia ya kuleta mabadiliko ya kiuongozi nchini. Hata ikibidi kujifunza namna bora ya kuendesha chama kwa kuiga CCM kinavyoendeshwa.

Nakaribisha maoni tofauti na yangu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hamtaki tu kukiri kwamba Chadema imewashinda. Hata sasa wakati imefungwa mikono na miguu yote, bado inaendelea kuwadunda; na mnaiogopa kama nini. Nafikiri semeni ukweli: Chadema is too powerful for you. Weka huu uzi wako kisha urudishe hapa wakati kila chama kitakaporuhusiwa kufanya siasa. Utakuja kuuona ukweli wenyewe.
 
Chadema mnaipa nguvu nyinyi wenyewe kwa woga wenu. Kuna vyama vingi tu vya siasa, lakini kila siku mnaongelea Chadema tu, kwa nini? Kwa nini msioongelee CUF ya Lipumba instead? Acheni woga wenu. Chadema haiwezi kufa kwa kuizuia kufanya siasa. Chama kinakufaga kwa kupuuzwa na wanachama wengi kutokana na kutokuwa na sera za maana. Ukikizuia kufanya siasa kinakuwa dormant au kina-hibernate tu kwa muda. Kikiamka huko mashambulizi yake utakimbia mwenyewe.
 
Sijasema itakufa,nimesema hakitakua chama kikuu cha upinzani,muwe mnasoma na kuelewa pia,pathetic
Chadema mnaipa nguvu nyinyi wenyewe kwa woga wenu. Kuna vyama vingi tu vya siasa, lakini kila siku mnaongelea Chadema tu, kwa nini? Kwa nini msioongelee CUF ya Lipumba instead? Acheni woga wenu. Chadema haiwezi kufa kwa kuizuia kufanya siasa. Chama kinakufaga kwa kupuuzwa na wanachama wengi kutokana na kutokuwa na sera za maana. Ukikizuia kufanya siasa kinakuwa dormant au kina-hibernate tu kwa muda. Kikiamka huko mashambulizi yake utakimbia mwenyewe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hali inavyojionyesha ni kwamba chama kikuu cha upinzani nchini chadema kimeporomoka sana umaarufu wake.

Ni imani yangu kinafuata njia iliopitwa na NCCR Mageuzi, TLP na CUF.

Hili limetokana na uongozi mbovu ngazi ya kitaifa, uongozi usiokubali makosa na kushaurika, mengi yamesemwa na wadau juu ya namna bora ya kukijenga na kukiimarisha, lakini mawazo hayo yalipuuzwa, na watoa maoni kushambuliwa kwa matusi na dhihaka nyingi, hivyo kuamua kukaa kimya kama watazamaji.

Kama ilivyo ada, mwanasiasa au mwananchi mfuasi wa chama chochote cha siasa huwa na malengo, kwake binafsi, kwa jamii inayomzunguka na taifa lake kwa ujumla. Malengo hayo yasipokuwa na dalili ya kutimia hutafuta namna nyingine ya kuyafikia.

Inavyoonekana, Chadema ishiriki, isishiriki Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu 2020, itaporomoka sana tu na kupoteza nafasi ya chama kikuu cha upinzani nchini.

Na hapa asitafutwe mchawi nje ya chama hiki, mchawi yupo ndani ya chama chenyewe.

Kuna usemi wa wahenga usemao "Kila lenye mwanzo lina mwisho wake", "Asiyesikia la mkuu huvunjika guu" na "Mkaidi hafaidi mpaka siku ya Iddi". Haya kufikia mwezi October yataanza kudhihirika wazi kabisa.

Nihitimishe kwa kusema chama kitakacho kuja mbadala wa Chadema, na hili halina mjadala, kitatakiwa kujifunza kupitia makosa haya, kama kweli kitakuwa na nia ya kuleta mabadiliko ya kiuongozi nchini. Hata ikibidi kujifunza namna bora ya kuendesha chama kwa kuiga CCM kinavyoendeshwa.

Nakaribisha maoni tofauti na yangu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona mnazidi kusogeza Mbele kifo cha chadema?Unakumbuka hicho kifo mmeanza kutabiri toka lini?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mjinga na mpumbavu tu ndiye anaweza kuandika upuuzi Kama huu.
Hali inavyojionyesha ni kwamba chama kikuu cha upinzani nchini chadema kimeporomoka sana umaarufu wake.

Ni imani yangu kinafuata njia iliopitwa na NCCR Mageuzi, TLP na CUF.

Hili limetokana na uongozi mbovu ngazi ya kitaifa, uongozi usiokubali makosa na kushaurika, mengi yamesemwa na wadau juu ya namna bora ya kukijenga na kukiimarisha, lakini mawazo hayo yalipuuzwa, na watoa maoni kushambuliwa kwa matusi na dhihaka nyingi, hivyo kuamua kukaa kimya kama watazamaji.

Kama ilivyo ada, mwanasiasa au mwananchi mfuasi wa chama chochote cha siasa huwa na malengo, kwake binafsi, kwa jamii inayomzunguka na taifa lake kwa ujumla. Malengo hayo yasipokuwa na dalili ya kutimia hutafuta namna nyingine ya kuyafikia.

Inavyoonekana, Chadema ishiriki, isishiriki Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu 2020, itaporomoka sana tu na kupoteza nafasi ya chama kikuu cha upinzani nchini.

Na hapa asitafutwe mchawi nje ya chama hiki, mchawi yupo ndani ya chama chenyewe.

Kuna usemi wa wahenga usemao "Kila lenye mwanzo lina mwisho wake", "Asiyesikia la mkuu huvunjika guu" na "Mkaidi hafaidi mpaka siku ya Iddi". Haya kufikia mwezi October yataanza kudhihirika wazi kabisa.

Nihitimishe kwa kusema chama kitakacho kuja mbadala wa Chadema, na hili halina mjadala, kitatakiwa kujifunza kupitia makosa haya, kama kweli kitakuwa na nia ya kuleta mabadiliko ya kiuongozi nchini. Hata ikibidi kujifunza namna bora ya kuendesha chama kwa kuiga CCM kinavyoendeshwa.

Nakaribisha maoni tofauti na yangu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kushauriwa ni jambo JEMA, ila si mara zote inapaswa kubeba ushauri wote na hata ukichukua kuna muda wa kuufanyia kazi.
Hivyo mkuu usihofu Chama kina shaurika ,hakijakataa kushauriwa kama JHIWE , ila kinafanya kila jambo kwa wakati wake , Wimbo wa CDM kufa Haujaanza kuimbwa leo wala jana waliwahi kuuimba kina TYSON (S. WASSIRA). Wakiaminisha watu kuwa CDM Itakufa muda mfupi ujao tangu wayaseme hayo Umepita muda mfupi,Wakati na Mrefu mwisho wamepotea wao kwenye Siasa CDM bado ipo na bado ni tishio kwa DOLA na chama chao na ni tumaini la wananchi,
Kama chama Kwa muda mrefu kinafanyiwa Ghiriba ,Fitina , na ufedhuli wa macho macho kila mtu anaona na kusikia namna ambavyo DOLA ina HENYA kubuni UFIRAHUNI wa kila namna kuipunguza nguvu CDM na kuimaliza, Lakini bado IPO na ni Tishio...., (Mungu anawalinda wapinzani).
Ushetani gani Haujafanywa na chama dola v/s CDM / upinzani?,Ushetani ganiii?,
Ununuzi wa Wabunge wao..., Kupiga wanachama wao na kuwajeruhi hata kuwatoa uhai, Kuwa....CHATU, kuwanyang'anya mali ( mpaka wengine wakajisalimisha kwa KAFIRI), kuzushiwa kesi Zisizo na dhamana na zisizo kwisha.
Kujibiwa hoja zao Kwa RISASI. mambo ni mengi kuyaandika yote hapa Saver itajaa....Lol.
HITIMISHO:-
WAPINZANI TUNAPASWA KUWATIA MOYO NA KUWAOMBEA KWA MUNGU MUUMBA AWALINDE NA KUWAPA UWEZO ZAIDI NA ZAIDI,Upinzani wanafanya siasa kwenye mazingira Magumu na ya hatari sana, ni uhatari Unaoboreshwa kila siku na chama tawala kwa kutumia mbinu yeyote kwa Gharama yeyote na hili lipo wazi hata wewe 'P" unajua, USHETANI unaofanywa ni wa kiwango kilichopitiliza lakini CDM bado madhubuti ,Hakika mambo hayo ya KIFIRAHUNI inayofanyiwa Kama yangefanywa kwa CCM kwa muda yali yaliyodumu CCM ingekuwa ni msamiati wa kale. angalia wanasiasa waliohamia upinzani wakisafanyiwa UFIRAHUNI kidogo tu na DOLA kesho wanafungasha virago kurudi CcM.
CHADEMA BADO NI TISHIO. ishaurini SHERIKALI YA JHIWE itende haki na iwe na HOFU YA MUNGU, uwanja wa siasa uwe wa usawa Hapo ndo mjua nani ni mfu.
Umechangia vema Ndugu, hawa CCM hawalali,wanahaha kupambana na CHADEMA,wamesahau slogan ya Tanzania ya viwanda,Elimu bure wakati wanachangisha Wananchi kwa mabavu fedha za maendeleo ya sekta ya elimu,wanaimba nyimbo mpya ambazo hazikusikika sana wakati wa kampeni zao za uchaguzi wa 2015 kama Stiglers,SGR,ATCL na madege yao,madaraja,barabara,kuhamia Dodoma,Bunge live vs Magufuli/CCM Live on TBC nk.Wanafikiri tumesahau mahakama ya mafisadi na mafisadi?
Watawala wa nchi hii wanatuchukulia pia sana Watanzania. Wanafanya wayatakayo wao kwa kodi zetu halafu wanatulazimisha tuwasifie,tukiwashauri mambo yaliyopo hata kwenye ilani yao na Katiba yetu wanatuita wasaliti na hatuna uzalendo.To Tell you the truth, we are alert.
 
Tatizo la chadema wanadhani mtu akisema ukweli ni warumumba! Okoa chadema kwa kufukuza mbowe umwenyekiti.

Okoa chadema kwa kuweka wazi matumizi ya rudhuku.
Okoa chadema kwa kuondoa ukanda ndani ya chadema
Okoa chadema kwa kujenga ofice za chama kila mkoa na wilaya
Okoa chadema.kwa kupokezana vijiti katika uongozi
Okoa chadema kwakukifanya chama kuwa chama cha wanachama na sichama cha mtu au kikundi
OKOA CHADEMA KWA KUJA NA SERA SAFI,UONGOZI BORA,SIASA SAFI(siyo siasa za akina lema na heche)
Vinginevyo mtashangaa atakaekuwa wa mwisho kuhama chama ni LEMA kuhamia CCM very soon.
....ni Lumumba si Rumumba

Hata Kiswahili kinakushinda, Koroboi warhead...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hali inavyojionyesha ni kwamba chama kikuu cha upinzani nchini chadema kimeporomoka sana umaarufu wake.

Ni imani yangu kinafuata njia iliopitwa na NCCR Mageuzi, TLP na CUF.

Hili limetokana na uongozi mbovu ngazi ya kitaifa, uongozi usiokubali makosa na kushaurika, mengi yamesemwa na wadau juu ya namna bora ya kukijenga na kukiimarisha, lakini mawazo hayo yalipuuzwa, na watoa maoni kushambuliwa kwa matusi na dhihaka nyingi, hivyo kuamua kukaa kimya kama watazamaji.

Kama ilivyo ada, mwanasiasa au mwananchi mfuasi wa chama chochote cha siasa huwa na malengo, kwake binafsi, kwa jamii inayomzunguka na taifa lake kwa ujumla. Malengo hayo yasipokuwa na dalili ya kutimia hutafuta namna nyingine ya kuyafikia.

Inavyoonekana, Chadema ishiriki, isishiriki Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu 2020, itaporomoka sana tu na kupoteza nafasi ya chama kikuu cha upinzani nchini.

Na hapa asitafutwe mchawi nje ya chama hiki, mchawi yupo ndani ya chama chenyewe.

Kuna usemi wa wahenga usemao "Kila lenye mwanzo lina mwisho wake", "Asiyesikia la mkuu huvunjika guu" na "Mkaidi hafaidi mpaka siku ya Iddi". Haya kufikia mwezi October yataanza kudhihirika wazi kabisa.

Nihitimishe kwa kusema chama kitakacho kuja mbadala wa Chadema, na hili halina mjadala, kitatakiwa kujifunza kupitia makosa haya, kama kweli kitakuwa na nia ya kuleta mabadiliko ya kiuongozi nchini. Hata ikibidi kujifunza namna bora ya kuendesha chama kwa kuiga CCM kinavyoendeshwa.

Nakaribisha maoni tofauti na yangu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Chama cha Chadema hakiwezi kufa ila kinaweza kudumaa hapa kilipo au kikaenda chini ya hapo.
Mara baada ya uchaguzi 2015, niliwashauri kupitia humu jamvini kuwa ili kuendeleza kukubalika kwao nchini itabidi watayarishe mpango mkakati 2015-2020 ambapo ndani ya kipindi hicho waanze kuformalize matawi[ kwani mengi yaliyokuwepo yalikuwa yameundwa ki-mhemko]. Pia niliwashauri waanze kufungua mashina ya wanachama na wapenda chama ndani ya jamii zetu. Kwa bahati mbaya chama hiki ninaona nguvu zake zimejikita makao makuu zaidi kuliko sehemu nyingine [wamejitahidi sana kwenye mikoa ya kaskazini] Lakini sehemu nyingine hakuna kitu. Hata wanapoitisha mikutano yao mara nyingi hu-import wanachama kutoka sehemu nyingine kuliko wananchi waishio sehemu husika.
Niliona kuwa kwao ingekuwa rahisi zaidi kuwasiliana na umma kupitia mashina pamoja na matawi yao katika kueneza sera zao. Lakini kama kawaida yao majibu yalikuwa na kejeli na dharau. Hii itawagharimu sana maana CCM walianza kujiimarisha mara tu baada ya uchaguzi wa 2015 kwa kutekeleza sera ambazo zilikubalika na mashina ,matawi pamoja na wananchi.
 
Kwa hiyo unafurahia CCM kuwa chama tawala vilevile kuwa chama kikuu cha upinzani Bungeni siyo!!

Ni mjinga pekee anaweza kufurahia haya mambo...unapata wapi check and balance katika uongozi wa Taifa.

Watu wanafikiri mataifa makubwa yamefika hapo yalipo kwa kauli za mtu mmoja mwenye madaraka akishaamua jambo muda huo huo jambo hilo linageuka na kuwa sheria ....
Tatizo chama Cha chadema ni kibovu Mara mbili ya CCM kwa sasa tutakipa CCM kura mpaka pale kitapotokea chama Cha upinzani imara na chenye kijitambua tofauti na chadema.
 
Babako anasema ananyoosha nchi, hivi ushawahi kumuuliza ni nani aliipindisha?
 
Back
Top Bottom