Ukweli usemwe, Dr. Slaa hakuwahi kuukamia Urais

Naona kwa mbali zinaanza hoja za kumjaji Dr.Slaa ,bado kidogo tutasikia alikuwa msaliti wa chama.

Dr.Slaa Mungu akupe maamuzi ya hekima kwa wakati huu, kazi uliyoufanyia upinzani Tanzania hautasahaulika kamwe .

Dr.Slaa mzalendo wa ukweli, tatizo lako huna pesa za kununua kura milioni mbili .
Dr Slaa ndio chadema na chadema ndio Dr Slaa aliyejenga chama ni yeye hadi kukifikisha chini haiwezekani kitu chochote kikafanyika bila yeye kuhusishwa wanamjua yeye ndio power ya chama , nadhani hakuna mtu atamjaji ngazi ya chama chake zaidi ya watu nje ya chama chake
 
Lipumba anavopenda uraisi hawezi kubali hata kidogo
 
dr. Wilbrod p. Slaa ni mwanasiasa aliyekamilika. Yeye amejaliwa uelewa,uwezo wa kujenga hoja,ubunifu,uongozi na hata kupambania ustawi wa taifa hili. Dr. Slaa ana rekodi iliyotukuka kuanzia baraza la maaskofu tanzania,jimboni karatu hadi kwenye uongozi chadema kama makamu wa mwenyekiti na sasa katibu mkuu.

Kutokana na sifa nyingi nzuri kuliko udhaifu wake,dr. Slaa amejizolea wafuasi na watu wanaomuamini. Hao wamekuwa wakikesha wakimuombea maisha marefu ili mabadiliko yapatikane kwa njia ya kisiasa na tuwe na tanzania mpya. Mimi binafsi ingawa si mwanachama wa chadema wala chama chochote ni mfuasi wa dr. Slaa. Naamini katika maono na mipango yake. Ameijenga chadema kwa hali na mali na hataweza kuibomoa.

Dr. Slaa hakuhitaji kuwa mwenyekiti wa baraza la maaskofu kuwatumikia wakatoliki na watanzania kwa ujumla. Hakuhitaji ukuu wa mkoa au wilaya kuwatumikia wananchi wa karatu na watanzania. Hakuhitaji uwaziri mkuu au uwaziri kuwatumikia watanzania kama mbunge wa kupigiwa mfano.

Dr. Slaa hata mwaka 2010 hakuomba kugombea urais bali aliombwa akibebwa na rekodi zake za kuvutia za uongozi. Akakubali kugombea akizingatia mahitaji na maslahi ya taifa. Dr. Slaa hakuwa anausaka wala kuukamia urais hata mwaka huu. Ni mwanasiasa anayeamini katika katiba na taratibu za chama chake. Dr. Slaa akipitishwa au asipopitishwa,kama ameomba ridhaa,ataendeleza mapambano yake kisiasa. Hana uchu wala vurugu kuhusu urais. Ukweli usemwe ili ujitenge na propaganda.
leo naona umetulia kweli kwenye uandishi.hongera!
 
Dr. Wilbrod P. Slaa ni mwanasiasa aliyekamilika. Yeye amejaliwa uelewa,uwezo wa kujenga hoja,ubunifu,uongozi na hata kupambania ustawi wa Taifa hili. Dr. Slaa ana rekodi iliyotukuka kuanzia Baraza la Maaskofu Tanzania,Jimboni Karatu hadi kwenye uongozi CHADEMA kama Makamu wa Mwenyekiti na sasa Katibu Mkuu.

Kutokana na sifa nyingi nzuri kuliko udhaifu wake,Dr. Slaa amejizolea wafuasi na watu wanaomuamini. Hao wamekuwa wakikesha wakimuombea maisha marefu ili mabadiliko yapatikane kwa njia ya kisiasa na tuwe na Tanzania mpya. Mimi binafsi ingawa si mwanachama wa CHADEMA wala chama chochote ni mfuasi wa Dr. Slaa. Naamini katika maono na mipango yake. Ameijenga CHADEMA kwa hali na mali na hataweza kuibomoa.

Dr. Slaa hakuhitaji kuwa Mwenyekiti wa Baraza la Maaskofu kuwatumikia wakatoliki na watanzania kwa ujumla. Hakuhitaji ukuu wa mkoa au wilaya kuwatumikia wananchi wa Karatu na watanzania. Hakuhitaji Uwaziri Mkuu au Uwaziri kuwatumikia watanzania kama Mbunge wa kupigiwa mfano.

Dr. Slaa hata mwaka 2010 hakuomba kugombea Urais bali aliombwa akibebwa na rekodi zake za kuvutia za uongozi. Akakubali kugombea akizingatia mahitaji na maslahi ya Taifa. Dr. Slaa hakuwa anausaka wala kuukamia Urais hata mwaka huu. Ni mwanasiasa anayeamini katika Katiba na Taratibu za chama chake. Dr. Slaa akipitishwa au asipopitishwa,kama ameomba ridhaa,ataendeleza mapambano yake kisiasa. Hana uchu wala vurugu kuhusu Urais. Ukweli usemwe ili ujitenge na propaganda.

Hakika umemtendea Dr Slaa haki yake.
 
Umenena..Mimi ni mfuasi wa chadema kupitia dk slaa...km chadema watamuignore huyu jamaa,hiyo safari ya mabadilikp itaishia Hapo....Huyu jamaa si wa kubezwa hata kidogo akiondoka mimi nitakuwa wa kwanza kumfuata aemdako
 
chikutentema na Mzee Mwanakijiji binafsi ninawaeleni sana. Ila tunahitaji kuhakikisha CCM inakatwa kabisa kichwa na kuzikwa katika makaburi ambayo KANU 'imezikwa'. Na ili yote hayo yafanyike kuna ghalama inapaswa tuilipe ingawa kundi hili linalokuja na Lowasa huenda likatuletea vurugu baadaye, lakini kwa sasa naomba tulipokee hili.
 
Last edited by a moderator:

Ieleweke kuwa hamna mtu atakayem-ignore Dr slaa, kinachofanyika ni harakati za kisiasa tu ili cdm iweze kufikia lengo lake.
 
Dr. Wilbrod P. Slaa ni mwanasiasa aliyekamilika. Yeye amejaliwa uelewa,uwezo wa kujenga hoja,ubunifu,uongozi na hata kupambania ustawi wa Taifa hili. Dr. Slaa ana rekodi iliyotukuka kuanzia Baraza la Maaskofu Tanzania,Jimboni Karatu hadi kwenye uongozi CHADEMA kama Makamu wa Mwenyekiti na sasa Katibu Mkuu.

Kutokana na sifa nyingi nzuri kuliko udhaifu wake,Dr. Slaa amejizolea wafuasi na watu wanaomuamini. Hao wamekuwa wakikesha wakimuombea maisha marefu ili mabadiliko yapatikane kwa njia ya kisiasa na tuwe na Tanzania mpya. Mimi binafsi ingawa si mwanachama wa CHADEMA wala chama chochote ni mfuasi wa Dr. Slaa. Naamini katika maono na mipango yake. Ameijenga CHADEMA kwa hali na mali na hataweza kuibomoa.

Dr. Slaa hakuhitaji kuwa Mwenyekiti wa Baraza la Maaskofu kuwatumikia wakatoliki na watanzania kwa ujumla. Hakuhitaji ukuu wa mkoa au wilaya kuwatumikia wananchi wa Karatu na watanzania. Hakuhitaji Uwaziri Mkuu au Uwaziri kuwatumikia watanzania kama Mbunge wa kupigiwa mfano.

Dr. Slaa hata mwaka 2010 hakuomba kugombea Urais bali aliombwa akibebwa na rekodi zake za kuvutia za uongozi. Akakubali kugombea akizingatia mahitaji na maslahi ya Taifa. Dr. Slaa hakuwa anausaka wala kuukamia Urais hata mwaka huu. Ni mwanasiasa anayeamini katika Katiba na Taratibu za chama chake. Dr. Slaa akipitishwa au asipopitishwa,kama ameomba ridhaa,ataendeleza mapambano yake kisiasa. Hana uchu wala vurugu kuhusu Urais. Ukweli usemwe ili ujitenge na propaganda.

Precise, touching truth, and an excellent analysis! Big up.
 
Ikulu haitafutwi kwa nguvu, maandiko yanasema: من طلب الامارة ذبح بغير سكين anaeutafuta uongozi kwa nguvu ni sawa na kuchinjwa bila kutumia kisu.
 
Je Wakati wa Uchaguzi wa 2010.Mchakato wa Kuesabu Kura na Kutangaza Mshindi wa urais.
 
Nilkuwa nakuona mchambuzi kumbe we shambiki wa siasa. Sijui unataka utuaminishe kuwa Slaa hakutaka urais? Si angeenda agombee ubunge kama alivyofanya 2010 mpaka walipomuomba? Si angeacha kufanya ziara mataifa ya nje kwa ajili ya kujiandaa na urais.

We utakuwa msomi usiyejali taaluma yako. https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/889827-sikubaliani-na-hoja-ya-lowassa-kujiengua-ccm-na-kujiunga-chadema-ukawa.html.
Dr. Wilbrod P. Slaa ni mwanasiasa aliyekamilika. Yeye amejaliwa uelewa,uwezo wa kujenga hoja,ubunifu,uongozi na hata kupambania ustawi wa Taifa hili. Dr. Slaa ana rekodi iliyotukuka kuanzia Baraza la Maaskofu Tanzania,Jimboni Karatu hadi kwenye uongozi CHADEMA kama Makamu wa Mwenyekiti na sasa Katibu Mkuu.

Kutokana na sifa nyingi nzuri kuliko udhaifu wake,Dr. Slaa amejizolea wafuasi na watu wanaomuamini. Hao wamekuwa wakikesha wakimuombea maisha marefu ili mabadiliko yapatikane kwa njia ya kisiasa na tuwe na Tanzania mpya. Mimi binafsi ingawa si mwanachama wa CHADEMA wala chama chochote ni mfuasi wa Dr. Slaa. Naamini katika maono na mipango yake. Ameijenga CHADEMA kwa hali na mali na hataweza kuibomoa.

Dr. Slaa hakuhitaji kuwa Mwenyekiti wa Baraza la Maaskofu kuwatumikia wakatoliki na watanzania kwa ujumla. Hakuhitaji ukuu wa mkoa au wilaya kuwatumikia wananchi wa Karatu na watanzania. Hakuhitaji Uwaziri Mkuu au Uwaziri kuwatumikia watanzania kama Mbunge wa kupigiwa mfano.

Dr. Slaa hata mwaka 2010 hakuomba kugombea Urais bali aliombwa akibebwa na rekodi zake za kuvutia za uongozi. Akakubali kugombea akizingatia mahitaji na maslahi ya Taifa. Dr. Slaa hakuwa anausaka wala kuukamia Urais hata mwaka huu. Ni mwanasiasa anayeamini katika Katiba na Taratibu za chama chake. Dr. Slaa akipitishwa au asipopitishwa,kama ameomba ridhaa,ataendeleza mapambano yake kisiasa. Hana uchu wala vurugu kuhusu Urais. Ukweli usemwe ili ujitenge na propaganda.
 
MWACHENI HUYU MZEE NA CHADEMA YETU!!Jadilini ccm yenu na kifo chenu 25-10....Mbona hamkutetea wakati alipokuwa ameacha kugombea ubunge na kupewa kazi maalumu ya kukijenga chama..!!!Mpaka hapa kilipofika...Sikia YULE HANA DREE YA KUPEWA ...SEMINARY BABA TUNASOMA SIO KUHONGWA DEGREE..WAZO LAKO HATA HALIFAI FOUNDATION LEVEL..SIT DOWN...
 
Wewe una mawazo mazuri ila umekuwa "brain washed". Nashindwa kujua maana yako. Ndio lazima iwe ndio na hapana iwe hapana. Sikuzote nasema hapana kwa Edo.

Lowassa si kiongozi wa kuwa na CDM zaidi ya kutaka kuonekana kama aliwahi kugombea urais Tanzania. Akili CCM, mdomo UKAWA. Baada ya uchaguzi usitegemee kuona hizi "move" tena. Binafsi ningependa nguvu iliyopo CDM isimame, kwa maana walipotoka panaonekana na wakokwenda kupo.

Ila hapa tunaji-mask katika siasa.
chikutentema na Mzee Mwanakijiji binafsi ninawaeleni sana. Ila tunahitaji kuhakikisha CCM inakatwa kabisa kichwa na kuzikwa katika makaburi ambayo KANU 'imezikwa'. Na ili yote hayo yafanyike kuna ghalama inapaswa tuilipe ingawa kundi hili linalokuja na Lowasa huenda likatuletea vurugu baadaye, lakini kwa sasa naomba tulipokee hili.
 
Last edited by a moderator:
solomon1.jpg

UKITAKA KUMJUA MWENYE MTOTO.........! ............... HOLY BIBLE
 
Nilkuwa nakuona mchambuzi kumbe we shambiki wa siasa. Sijui unataka utuaminishe kuwa Slaa hakutaka urais? Si angeenda agombee ubunge kama alivyofanya 2010 mpaka walipomuomba? Si angeacha kufanya ziara mataifa ya nje kwa ajili ya kujiandaa na urais.

We utakuwa msomi usiyejali taaluma yako. https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/889827-sikubaliani-na-hoja-ya-lowassa-kujiengua-ccm-na-kujiunga-chadema-ukawa.html.

Tatizo lako ni kilaza halafu hutaki kukubali kuwa uko hivyo. Kwa kukukumbusha,Dr. Slaa alichukua fomu za kuwania Ubunge Karatu. Umekumbuka au unatamani kuropoka tena?
 
Nimeuliza inaonyesha huwezi jali taaluma yako, maana akili zako hazina akili. We jibu kwanza. Utasemaje Dr. Slaa hana tamaa na uongozi wakati kila mtu anajua kinachoendelea ndani ya CDM. Nimeonyesha maandishi yako uliyotoa majuzi tu, unashindwa kupita katika hayo, leo unakuja na "hasty generalization" kibao. Unataka tukueleweje? Unataka sifa kwa wanaoelewa??

Au kwa vile we umeandika kwenye "signature" elimu yako unaona unazidi wote? Tafakari kabla ya kuandika maneno yenye kejeli. Inaonyesha umejaa masifa ndo maana unaonesha elimu yako. We "Nshomile" kaka.
Tatizo lako ni kilaza halafu hutaki kukubali kuwa uko hivyo. Kwa kukukumbusha,Dr. Slaa alichukua fomu za kuwania Ubunge Karatu. Umekumbuka au unatamani kuropoka tena?
 
Mkuu Mselwa ningeomba uwakopi hao wanachafua JM na propaganda zao. Mkuu nimeipenda kwani it speaks for itself. Shukrani kwani hii mijamaa inatafuta kila mbinu kuleta vurugu ndani ya chama.

Mkuu wabuyaga, naomba nikurekebishe kwenye jina langu tu. Naitwa Mselewa na si Mselwa
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom