Petro E. Mselewa
JF-Expert Member
- Dec 27, 2012
- 10,347
- 26,153
- Thread starter
- #41
Mimi sijaelewa lengo la hii post
Soma tena
Mimi sijaelewa lengo la hii post
Nimeuliza inaonyesha huwezi jali taaluma yako, maana akili zako hazina akili. We jibu kwanza. Utasemaje Dr. Slaa hana tamaa na uongozi wakati kila mtu anajua kinachoendelea ndani ya CDM. Nimeonyesha maandishi yako uliyotoa majuzi tu, unashindwa kupita katika hayo, leo unakuja na "hasty generalization" kibao. Unataka tukueleweje? Unataka sifa kwa wanaoelewa??
Au kwa vile we umeandika kwenye "signature" elimu yako unaona unazidi wote? Tafakari kabla ya kuandika maneno yenye kejeli. Inaonyesha umejaa masifa ndo maana unaonesha elimu yako. We "Nshomile" kaka.
Dr. Wilbrod P. Slaa ni mwanasiasa aliyekamilika. Yeye amejaliwa uelewa,uwezo wa kujenga hoja,ubunifu,uongozi na hata kupambania ustawi wa Taifa hili. Dr. Slaa ana rekodi iliyotukuka kuanzia Baraza la Maaskofu Tanzania,Jimboni Karatu hadi kwenye uongozi CHADEMA kama Makamu wa Mwenyekiti na sasa Katibu Mkuu.
Kutokana na sifa nyingi nzuri kuliko udhaifu wake,Dr. Slaa amejizolea wafuasi na watu wanaomuamini. Hao wamekuwa wakikesha wakimuombea maisha marefu ili mabadiliko yapatikane kwa njia ya kisiasa na tuwe na Tanzania mpya. Mimi binafsi ingawa si mwanachama wa CHADEMA wala chama chochote ni mfuasi wa Dr. Slaa. Naamini katika maono na mipango yake. Ameijenga CHADEMA kwa hali na mali na hataweza kuibomoa.
Dr. Slaa hakuhitaji kuwa Mwenyekiti wa Baraza la Maaskofu kuwatumikia wakatoliki na watanzania kwa ujumla. Hakuhitaji ukuu wa mkoa au wilaya kuwatumikia wananchi wa Karatu na watanzania. Hakuhitaji Uwaziri Mkuu au Uwaziri kuwatumikia watanzania kama Mbunge wa kupigiwa mfano.
Dr. Slaa hata mwaka 2010 hakuomba kugombea Urais bali aliombwa akibebwa na rekodi zake za kuvutia za uongozi. Akakubali kugombea akizingatia mahitaji na maslahi ya Taifa. Dr. Slaa hakuwa anausaka wala kuukamia Urais hata mwaka huu. Ni mwanasiasa anayeamini katika Katiba na Taratibu za chama chake. Dr. Slaa akipitishwa au asipopitishwa,kama ameomba ridhaa,ataendeleza mapambano yake kisiasa. Hana uchu wala vurugu kuhusu Urais. Ukweli usemwe ili ujitenge na propaganda.
Umeongea vyema sana.Na ninazidi kumuomba asimuache Mtoto wake (CDM) akafa kifo cha panzi.Akubali kumshika pamoja na kwamba wamemchafua.
Tunahitaji wabunge wengi wengi ili kuliweka BUNGE IMARA,na kwa kuwa na BUNGE IMARA ni rahisi kuidhibiti serikali.
Hivi kwa nini usiondoke nae kuliko kushinda unabadili posti kwa jambo lilelile? Hivi Slaa anaweza kushindana na Magufuri kweli na akafikikia hata asilimia 35%? Acheni kuhadaa Watanzania wanaotaka kuutokomeza mfumo ovyo wa CCM,Mara ngapi upinzani unagaragazwa na kisingizia kuibiwa kura. Unakera sana kwa kujiona unafahamu sana siasa za upinzani na nina wasiwasi sana na wewe kama si CCM au ACT.
kwani membe atagombea nini baada ya kukosa uraisi? tena nimesikia alimuachia jimbo NapeSasa atagombea nini baada ya Lowassa kuchukua fomu ya uraisi?.
Mataahira wameanza kupanga serikali
Haya na Lema waziri wa mambo ya ndani , Yeriko nyerere msemaji mkuu wa rais na mbulumundu wengine magavana wa benki
Huo uchambuzi uko wapi na amechambua nini hapo?safi sana kwa uchambuzi sababu ccm umu wanatokwa na mapovu leo ndio wanataka slaa agombanie urais
wasubiri sindano iwaingie