Kama unalijua hili basi fahamu pia kwamba hakuna mwenye miaka 30 anayeishi na kulelewa na wazazi wake kila mtu yupo kwenye harakati zake kwahiyo kuna siku unagusa tu mahali na mambo yanajipa maisha yanabadilika kabisa
Na watu wengi hasa Tanzania hawafiki mbali kwa sababu wanaridhika na maisha yao hawana malengo makubwa
Mtu akisha kuna na uhakika wa 5mil kwa mwezi ameshayapatia maisha na ameridhika ana nyumba Kigari watoto wanasoma academy kilichobaki ni pombe michepuko usimba na Uyanga
Usichokijua ni kwamba ulichokusanya wewe kwa miaka zaidi ya ishirini kuna mtu ana uwezo wa kukipata ndani ya mwezi mmoja....! Mambo huwa yanabadilika kwa haraka sana. Hutakiwi kukariri maisha, kila mtu ana njia yake atakayopita tofauti na mwingine