Ukweli unaouma kuhusu wewe

Xi jiping

JF-Expert Member
Joined
May 7, 2021
Posts
628
Reaction score
953
Kwa umri uliofika.

1. Kama una miaka 30s Kuwa bilionea sahau/Waza mambo mengine.

2. Kama una 30s na hauko na hujawai kuingia kwene siasa bas we huwezi kuwa Rais hadi unakufa.

3.Wewe siyo Super human : Acha kuwaza kama uko kwene movie :
Kamwe usimwambie mtu โ€œUtanifanya nn wwโ€ vyakukufanya vipo zaidi ya 1000 hata kama umemzidi hela na nguvu


๐Ÿ˜‚Jifunze kukubali itakusaidia kuboresha afya yako ya akili.
 
Maisha ni upuuzi tu ukiwaza sana
 

Attachments

  • Screenshot_20240421-000503_Bible.jpg
    298.9 KB · Views: 11
Yule bilionea wa Arusha aliyetrend kwa kupata jiwe?

Usikaririโ€ฆ

Hata ukiwa tajiri ya kakionea, lakionea,, muhimu unakula utakacho ๐Ÿ˜’
Unaelewa Ubilionea siyo siyo ubilionea wa Tz shilings!!
Universal bilionea unapimwa kwa dollar ndo maana tz yupo Mo pekee
 
Kwenye umri uo uongo inategemea na kitu unachojihusisha nacho, kuna ambao wanapambna ila mwaka wa 30 ndo mambo yana tick
Ndo maana nimeweka umri!
Utajiri haujengwi kwa siku moja
 
Kwa huu umri nilionao khs mapenzi ndio bye bye
 
Age when they became billionaires:

๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ธ Mark Zuckerberg: 23
๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ธ Evan Spiegel: 25
๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ธ Larry Page: 30
๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ธ Sergey Brin: 31
๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ธ Bill Gates: 31
๐Ÿ‡ง๐Ÿ‡ง Rihanna: 33
๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ธ Tiger Woods: 33
๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ธ Jeff Bezos: 35
๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ธ LeBron James: 37
๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ธ Steve Ballmer: 38
๐Ÿ‡ฌ๐Ÿ‡ง J.K. Rowling: 38
๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ธ Mark Cuban: 40
๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ธ Elon Musk: 41
๐Ÿ‡ฌ๐Ÿ‡ง Sir Richard Branson: 41
๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ธ Meg Whitman: 42
๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ธ Sheryl Sandberg: 44
๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ธ Jim Walton: 44
๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ณ Jack Ma: 45
๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ณ Gautam Adani: 46
๐Ÿ‡ซ๐Ÿ‡ท Bernard Arnault: 48
๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ธ Larry Ellison : 49
๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ธ Oprah Winfrey: 49
๐Ÿ‡ฒ๐Ÿ‡ฝ Carlos Slim: 51
๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ธ Michael Jordan: 51
๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ธ Michael Bloomberg: 52
๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ธ George Lucas: 52
๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ธ Warren Buffett: 56
 
Mzee sometimes umri una matter kiasi, ila utafutaji hauna kanuni au saa maalumu.

As long una amini na kuzingatia katika unalo fanya, basi na uhakika meza ita pinduka tu.
kwaiyo mkuu unaamini utakua bilionea na uko na 30โ€ฆ.
labda kama uko kwene million 900 $
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ