3 Angels message
JF-Expert Member
- Aug 3, 2017
- 4,890
- 13,630
Sasa ukweli utaanikwaje wakati wewe mwenyewe umeuficha?
Sijahusika na hiyo kashifa kwa vyovyote, isipokuwa chanzo cha kadhia hiyo ni matendo yake kwa maelezo yake mwenyewe kama tuliyosikia kwenye vyombo vya habari.Sio kweli hakuchana mtihani au wewe ndio uliofanya hayo?! Haya kwa nini mpaka mkambaka na kumlawiti ni Kisa mtihani tuuu.
Mkuu maelezo ya post #11 ndiyo habari yenyewe, amini hivyo na ndivyo ilivyo.Sakasaka Mao fisi 2 mukuje nyie watu mnajua Kila kitu wekeni hapa sio mnanyofoa nyofoa weka A to Z tukio la mwalimu.
Mkuu unapoint ila hujaiweka vizuri, maana haieleweki
...Mkuu, yaani watu watie gari moto kutoka Did kumfuata tu mwalimu aliye Tabora kumvunja tu miguu?? Lazima na maelezo zaidi ya hapo Mkuu....!Frola ni Mwalimu wa shule ya msingi hapa Tabora mjini kwa sasa amelazwa hospitali ya mkoa Kitete anauguza majeraha kadhaa ya mwili pamoja na miguu yake miwili iliyovunjwa na iliyoripotiwa kuwa ni 'watu wasiojulikana'.....ili hali mwenyewe amesha weka wazi sakata lote na kuwataja waliohusika na kumpatia kipigo hicho cha kinyama...
Ametaja gari lililotumika kwa safari hiyo tokea Dodoma lenye namba za DFP.
Chama cha walimu kupitia wiki iliyopita kufuatia sakata hilo wameomba maelezo ya kina na nini sababu ya watu kujichukulia sheria mikononi wakati vyombo vya sheria vipo ?
Sisi wadau, jamaa na wananchi Tabora tunaomba ukweli wa jambo hili na wakosaji wachukuliwe hatua za kinidhamu.
Wizara ya elimu mnao wajibu wa kufuatilia na kuhakikisha haki inatendeka ili kukomesha maonevu ya namna hii.
mapungufu gani??Taarifa toka kwa Ndugu yangu anaeshi JIRANI na Mwalimu Mama huyu ni kuwa alisimamia mtihani wa darasa la saba.
Ilipochukuliwa kwenda wizarani DODOMA ikahisiwa kuwa kwenye bahasha aliosimamia kulikuwa na mapungufu hivyo ikatumwa gari na Usalama wa Taifa na askari wengine toka Dodoma na kumchukua Tabora kwenda kusikojulikana baada ya siku tano akarudishwa na kutupwa Kitete hospitali akiwa hajitambui, amevunjwa miguu pia amejeruhiwa kifuani hata kupumua hawezi.
Walimu Tabora wanajua ila wametishiwa atakayefungua mdomo tu atafuata. Hongera Mwanri kuwaziba mdomo.
Human Rights fikeni haraka Kitete hospital.
Tatizo binadamu wa siku hizi ni wabishi sana!!!
Bado kuna mapungufu kwenye habari,kusimamia mtihani,tena wa darasa la saba na kuvunjwa miguu naona habari haijakamilika,kuna kitu kikubwa zaidi hicho ndio kinatakiwa kujulikana...Taarifa toka kwa Ndugu yangu anaeshi JIRANI na Mwalimu Mama huyu ni kuwa alisimamia mtihani wa darasa la saba.
Ilipochukuliwa kwenda wizarani DODOMA ikahisiwa kuwa kwenye bahasha aliosimamia kulikuwa na mapungufu hivyo ikatumwa gari na Usalama wa Taifa na askari wengine toka Dodoma na kumchukua Tabora kwenda kusikojulikana baada ya siku tano akarudishwa na kutupwa Kitete hospitali akiwa hajitambui, amevunjwa miguu pia amejeruhiwa kifuani hata kupumua hawezi.
Walimu Tabora wanajua ila wametishiwa atakayefungua mdomo tu atafuata. Hongera Mwanri kuwaziba mdomo.
Human Rights fikeni haraka Kitete hospital.
Hebu dadavua kidogo mkuu. Sio kila mtu anajua hiyo ishu.
Ilikuwaje kuwaje? Katenda lipi baya Mwl Flora?
Pale unapodhani kila mtu anaishi huko Tabora
Mkuu unapoint ila hujaiweka vizuri, maana haieleweki
I simply don't understand.
Punguza jazba kwanza af tueleweshe nini kimetokea huko kwa Mwanri
Mbona mafumbo sana? Elezeni vyema wakuu
Huu ni kama upuuzi tu, unadhani kila mtu anaishi huko Tabora.
Ishiiiiiii si muelezeeeeeeeeee kilichompata huyo mwalimuuuuu (kwa sauti ya kinyamwezi)Kama mnashindwa kueleza kwa kina mnaleta ya nini?
Huna mamla ya kufuta ukishaweka hapa. Labda ufute maandishi yako tu lakini heading itabakia moderator ndio wanaofutaHamueleweki nitafuta uzi huu soon
Nini kimejiri? Andiko limeacha ombwe!Frola ni Mwalimu wa shule ya msingi hapa Tabora mjini kwa sasa amelazwa hospitali ya mkoa Kitete anauguza majeraha kadhaa ya mwili pamoja na miguu yake miwili iliyovunjwa na iliyoripotiwa kuwa ni 'watu wasiojulikana'.....ili hali mwenyewe amesha weka wazi sakata lote na kuwataja waliohusika na kumpatia kipigo hicho cha kinyama...
Ametaja gari lililotumika kwa safari hiyo tokea Dodoma lenye namba za DFP.
Chama cha walimu kupitia wiki iliyopita kufuatia sakata hilo wameomba maelezo ya kina na nini sababu ya watu kujichukulia sheria mikononi wakati vyombo vya sheria vipo ?
Sisi wadau, jamaa na wananchi Tabora tunaomba ukweli wa jambo hili na wakosaji wachukuliwe hatua za kinidhamu.
Wizara ya elimu mnao wajibu wa kufuatilia na kuhakikisha haki inatendeka ili kukomesha maonevu ya namna hii.
Sijahusika na hiyo kashifa kwa vyovyote, isipokuwa chanzo cha kadhia hiyo ni matendo yake kwa maelezo yake mwenyewe kama tuliyosikia kwenye vyombo vya habari.
Inavyoonekana aliuchukua mtihani huo ili kumsaidia majibu huyo mwanafunzi kisha wakati wa kufunga akausahau kutokana na pilika pilika za hapa na pale.
'Alichobugi'sasa, baada ya kugundua kwamba kausahau kuufunga, aliuchana na kuutupa ili kuondoa ushahidi badala ya kutoa taarifa ya kusahaulika kufungwa kwa mtihani huo.
Sifurahii kwa yaliyompata, isipokuwa nilichotaka kusema ni kwamba, mwanzo wa kufanyiwa ubaya, saazingine husababishwa na mtu mwenyewe ndiyo maana nikatolea mfano wa mwizi na 'wananzengo'.
Tuishi kwa kutenda mema kadri tuwezavyo katika maisha yetu ya kila siku ili kuzuia mabalaa na Mungu atatusaidia.
Wapuuzi mnaounga mkono. Mama Mwalimu kabakwa, kalawitiwa, kapigwa, kavunjwa miguu. Kisa mtihani ambao bado wameshindwa kuprove kama Ali fanya. Unyama huu uungwe mkono hivyo?’ Sheria hakuna!? Kuna mashetani kweli hata huku?!