Ukweli uanikwe Mwalimu aliyevunjwa miguu Tabora

Sakasaka Mao

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2016
Messages
4,609
Points
2,000

Sakasaka Mao

JF-Expert Member
Joined Sep 29, 2016
4,609 2,000
Sio kweli hakuchana mtihani au wewe ndio uliofanya hayo?! Haya kwa nini mpaka mkambaka na kumlawiti ni Kisa mtihani tuuu.
Sijahusika na hiyo kashifa kwa vyovyote, isipokuwa chanzo cha kadhia hiyo ni matendo yake kwa maelezo yake mwenyewe kama tuliyosikia kwenye vyombo vya habari.

Inavyoonekana aliuchukua mtihani huo ili kumsaidia majibu huyo mwanafunzi kisha wakati wa kufunga akausahau kutokana na pilika pilika za hapa na pale.

'Alichobugi'sasa, baada ya kugundua kwamba kausahau kuufunga, aliuchana na kuutupa ili kuondoa ushahidi badala ya kutoa taarifa ya kusahaulika kufungwa kwa mtihani huo.

Sifurahii kwa yaliyompata, isipokuwa nilichotaka kusema ni kwamba, mwanzo wa kufanyiwa ubaya, saazingine husababishwa na mtu mwenyewe ndiyo maana nikatolea mfano wa mwizi na 'wananzengo'.

Tuishi kwa kutenda mema kadri tuwezavyo katika maisha yetu ya kila siku ili kuzuia mabalaa na Mungu atatusaidia.
 
BabaDesi

JF-Expert Member
Joined
Jun 30, 2007
Messages
3,324
Points
2,000

BabaDesi

JF-Expert Member
Joined Jun 30, 2007
3,324 2,000
Frola ni Mwalimu wa shule ya msingi hapa Tabora mjini kwa sasa amelazwa hospitali ya mkoa Kitete anauguza majeraha kadhaa ya mwili pamoja na miguu yake miwili iliyovunjwa na iliyoripotiwa kuwa ni 'watu wasiojulikana'.....ili hali mwenyewe amesha weka wazi sakata lote na kuwataja waliohusika na kumpatia kipigo hicho cha kinyama...

Ametaja gari lililotumika kwa safari hiyo tokea Dodoma lenye namba za DFP.

Chama cha walimu kupitia wiki iliyopita kufuatia sakata hilo wameomba maelezo ya kina na nini sababu ya watu kujichukulia sheria mikononi wakati vyombo vya sheria vipo ?

Sisi wadau, jamaa na wananchi Tabora tunaomba ukweli wa jambo hili na wakosaji wachukuliwe hatua za kinidhamu.

Wizara ya elimu mnao wajibu wa kufuatilia na kuhakikisha haki inatendeka ili kukomesha maonevu ya namna hii.
...Mkuu, yaani watu watie gari moto kutoka Did kumfuata tu mwalimu aliye Tabora kumvunja tu miguu?? Lazima na maelezo zaidi ya hapo Mkuu....!
 
Tajiri wa Magomeni

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2019
Messages
356
Points
500

Tajiri wa Magomeni

JF-Expert Member
Joined Aug 21, 2019
356 500
Taarifa toka kwa Ndugu yangu anaeshi JIRANI na Mwalimu Mama huyu ni kuwa alisimamia mtihani wa darasa la saba.

Ilipochukuliwa kwenda wizarani DODOMA ikahisiwa kuwa kwenye bahasha aliosimamia kulikuwa na mapungufu hivyo ikatumwa gari na Usalama wa Taifa na askari wengine toka Dodoma na kumchukua Tabora kwenda kusikojulikana baada ya siku tano akarudishwa na kutupwa Kitete hospitali akiwa hajitambui, amevunjwa miguu pia amejeruhiwa kifuani hata kupumua hawezi.

Walimu Tabora wanajua ila wametishiwa atakayefungua mdomo tu atafuata. Hongera Mwanri kuwaziba mdomo.

Human Rights fikeni haraka Kitete hospital.
mapungufu gani??
 
stephot

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2012
Messages
8,784
Points
2,000

stephot

JF-Expert Member
Joined Mar 1, 2012
8,784 2,000
Taarifa toka kwa Ndugu yangu anaeshi JIRANI na Mwalimu Mama huyu ni kuwa alisimamia mtihani wa darasa la saba.

Ilipochukuliwa kwenda wizarani DODOMA ikahisiwa kuwa kwenye bahasha aliosimamia kulikuwa na mapungufu hivyo ikatumwa gari na Usalama wa Taifa na askari wengine toka Dodoma na kumchukua Tabora kwenda kusikojulikana baada ya siku tano akarudishwa na kutupwa Kitete hospitali akiwa hajitambui, amevunjwa miguu pia amejeruhiwa kifuani hata kupumua hawezi.

Walimu Tabora wanajua ila wametishiwa atakayefungua mdomo tu atafuata. Hongera Mwanri kuwaziba mdomo.

Human Rights fikeni haraka Kitete hospital.
Bado kuna mapungufu kwenye habari,kusimamia mtihani,tena wa darasa la saba na kuvunjwa miguu naona habari haijakamilika,kuna kitu kikubwa zaidi hicho ndio kinatakiwa kujulikana...
 
NAKWEDE

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2007
Messages
26,693
Points
2,000

NAKWEDE

JF-Expert Member
Joined Aug 1, 2007
26,693 2,000
Hebu dadavua kidogo mkuu. Sio kila mtu anajua hiyo ishu.

Ilikuwaje kuwaje? Katenda lipi baya Mwl Flora?
Pale unapodhani kila mtu anaishi huko Tabora
Mkuu unapoint ila hujaiweka vizuri, maana haieleweki
I simply don't understand.
Punguza jazba kwanza af tueleweshe nini kimetokea huko kwa Mwanri
Mbona mafumbo sana? Elezeni vyema wakuu
Huu ni kama upuuzi tu, unadhani kila mtu anaishi huko Tabora.
Kama mnashindwa kueleza kwa kina mnaleta ya nini?
Ishiiiiiii si muelezeeeeeeeeee kilichompata huyo mwalimuuuuu (kwa sauti ya kinyamwezi)
 
Verifier

Member
Joined
Aug 14, 2019
Messages
98
Points
125

Verifier

Member
Joined Aug 14, 2019
98 125
Frola ni Mwalimu wa shule ya msingi hapa Tabora mjini kwa sasa amelazwa hospitali ya mkoa Kitete anauguza majeraha kadhaa ya mwili pamoja na miguu yake miwili iliyovunjwa na iliyoripotiwa kuwa ni 'watu wasiojulikana'.....ili hali mwenyewe amesha weka wazi sakata lote na kuwataja waliohusika na kumpatia kipigo hicho cha kinyama...

Ametaja gari lililotumika kwa safari hiyo tokea Dodoma lenye namba za DFP.

Chama cha walimu kupitia wiki iliyopita kufuatia sakata hilo wameomba maelezo ya kina na nini sababu ya watu kujichukulia sheria mikononi wakati vyombo vya sheria vipo ?

Sisi wadau, jamaa na wananchi Tabora tunaomba ukweli wa jambo hili na wakosaji wachukuliwe hatua za kinidhamu.

Wizara ya elimu mnao wajibu wa kufuatilia na kuhakikisha haki inatendeka ili kukomesha maonevu ya namna hii.
Nini kimejiri? Andiko limeacha ombwe!
 
Jaby'z

JF-Expert Member
Joined
Jan 15, 2013
Messages
3,687
Points
2,000

Jaby'z

JF-Expert Member
Joined Jan 15, 2013
3,687 2,000
Sijahusika na hiyo kashifa kwa vyovyote, isipokuwa chanzo cha kadhia hiyo ni matendo yake kwa maelezo yake mwenyewe kama tuliyosikia kwenye vyombo vya habari.

Inavyoonekana aliuchukua mtihani huo ili kumsaidia majibu huyo mwanafunzi kisha wakati wa kufunga akausahau kutokana na pilika pilika za hapa na pale.

'Alichobugi'sasa, baada ya kugundua kwamba kausahau kuufunga, aliuchana na kuutupa ili kuondoa ushahidi badala ya kutoa taarifa ya kusahaulika kufungwa kwa mtihani huo.

Sifurahii kwa yaliyompata, isipokuwa nilichotaka kusema ni kwamba, mwanzo wa kufanyiwa ubaya, saazingine husababishwa na mtu mwenyewe ndiyo maana nikatolea mfano wa mwizi na 'wananzengo'.

Tuishi kwa kutenda mema kadri tuwezavyo katika maisha yetu ya kila siku ili kuzuia mabalaa na Mungu atatusaidia.

Blaza kisa mtihani? halafu wa darasa la saba serious? watu wanaiba mamilioni leo wapo kitaa wanadunda, kisa mtihani unamvunja mtu miguu? Hii sio fair
 
mbongopopo

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2008
Messages
1,168
Points
1,225

mbongopopo

JF-Expert Member
Joined Jan 24, 2008
1,168 1,225
Wapuuzi mnaounga mkono. Mama Mwalimu kabakwa, kalawitiwa, kapigwa, kavunjwa miguu. Kisa mtihani ambao bado wameshindwa kuprove kama Ali fanya. Unyama huu uungwe mkono hivyo?’ Sheria hakuna!? Kuna mashetani kweli hata huku?!
Huyo mwanafunzi na familia yake wanajua kwamba jambo hilo lilitokea?

Eleza zaidi, kwanini unaamini gari lilitoka Dodoma?
Yeye alipo hospitali ameeleza nini?
 
Forum statistics

Threads 1,343,529
Members 515,077
Posts 32,787,751
Top