Ukweli uanikwe Mwalimu aliyevunjwa miguu Tabora

mbaritsamenya

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2019
Messages
260
Points
250

mbaritsamenya

JF-Expert Member
Joined Apr 28, 2019
260 250
Yani una maanisha wame mgonga mbele wakaruka ukuta wakala Tigo wakamvunja mguu daa kweli binadam wa baya
Wapuuzi mnaounga mkono. Mama Mwalimu kabakwa, kalawitiwa, kapigwa, kavunjwa miguu. Kisa mtihani ambao bado wameshindwa kuprove kama Ali fanya. Unyama huu uungwe mkono hivyo?’ Sheria hakuna!? Kuna mashetani kweli hata huku?!
 
ibanezafrica

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2014
Messages
3,755
Points
2,000

ibanezafrica

JF-Expert Member
Joined Oct 23, 2014
3,755 2,000
Sasa ukweli utaanikwaje wakati wewe mwenyewe umeuficha?
Wanaoficha ukweli ndio wanatakiwa wautoe ukweli na wanajijua....na zaidi ni kua walimu waliopigwa siku hiyo porini walikua wawili ila mwenzake wa kiume kidogo yeye ana afadhali
So wanajijua waliofanya unyama huu na yaonyesha kuna viongozi wakubwa wa mkoa wanasikilizia ingawa mkuu wa wilaya ndiye aliyeonyesha kukerwa sana na hili yeye alimtembelea majeruhi...
Si ajabu hili litafika hadi kwa Jpm ikiwa wataendelea kulifichaficha.
 
Abunwasi

JF-Expert Member
Joined
Jun 25, 2009
Messages
4,800
Points
2,000

Abunwasi

JF-Expert Member
Joined Jun 25, 2009
4,800 2,000
2
Frola ni Mwalimu wa shule ya msingi hapa Tabora mjini kwa sasa amelazwa hospitali ya mkoa Kitete anauguza majeraha kadhaa ya mwili pamoja na miguu yake miwili iliyovunjwa na iliyoripotiwa kuwa ni 'watu wasiojulikana'.....ili hali mwenyewe amesha weka wazi sakata lote na kuwataja waliohusika na kumpatia kipigo hicho cha kinyama...

Ametaja gari lililotumika kwa safari hiyo tokea Dodoma lenye namba za DFP.

Chama cha walimu kupitia wiki iliyopita kufuatia sakata hilo wameomba maelezo ya kina na nini sababu ya watu kujichukulia sheria mikononi wakati vyombo vya sheria vipo ?

Sisi wadau, jamaa na wananchi Tabora tunaomba ukweli wa jambo hili na wakosaji wachukuliwe hatua za kinidhamu.

Wizara ya elimu mnao wajibu wa kufuatilia na kuhakikisha haki inatendeka ili kukomesha maonevu ya namna hii.
2020 hiyo imeshaanza.
 
infinix

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2018
Messages
874
Points
1,000

infinix

JF-Expert Member
Joined Sep 6, 2018
874 1,000
Kusikiliza 'tale' za upande mmoja inaletaga jazba sana.

'Kujichukulia sheria mkononi' ni neno pana ninaona.

Hivi mwizi anapokwiba huwa hajichukulii sheria mkononi?

Je wananchi wenye hasira wanapofanya yao, kwa nini lawama za 'sheria mkononi' huhamishwa toka kwa mwizi na kubakizwa kwa raia pekee?

Ukitaka kuishi kwa neema duniani tenda, wema na usingoje utetezi wa watu wengine.

Huyo hajaonelewa bila sababu, kafanya unyambilisi ndiyo sababu kapata aliyoyapata katika kumfanya aseme ukweli usiotia shaka.

Sema ndiyo hivyo tena, waliomhoji nao ni ma learner! Utamvunjaje miguu, badala ya kumsina tu mtu anataja kilakitu?

Mkuu ungeweka kwanza kashifa zake alizozifanya yeye za kupora mtihani wa mtoto na kuuchana ndiyo umalizie na pointi uliyokuja nayo.
Hata kama alichana mtihani wa mwanafunzi bado hiyo si sababu ya kufanyiwa hivyo.
Kuna ule utaratibu wetu tuliowekewa na sheria ni lazima kuufuata,vinginevyo kila raia akiamua kufanya hivyo basi hata serikali tuliyo nayo haina sababu ya kuwepo.
Jukumu kubwa la serikali ni kuweka utawala wa sheria,kuhakikisha kila jambo linalindwa na sheria na katiba ya nchi,hayo yanapelekea nchi kuwa na amani.
 
mkorinto

JF-Expert Member
Joined
Jun 11, 2014
Messages
13,313
Points
2,000

mkorinto

JF-Expert Member
Joined Jun 11, 2014
13,313 2,000
Hata kama alichana mtihani wa mwanafunzi bado hiyo si sababu ya kufanyiwa hivyo.
Kuna ule utaratibu wetu tuliowekewa na sheria ni lazima kuufuata,vinginevyo kila raia akiamua kufanya hivyo basi hata serikali tuliyo nayo haina sababu ya kuwepo.
Jukumu kubwa la serikali ni kuweka utawala wa sheria,kuhakikisha kila jambo linalindwa na sheria na katiba ya nchi,hayo yanapelekea nchi kuwa na amani.
Sheria ni kwa ajiri yenu wananchi,ukitaka kujimwambafy kama serikali inavyofanya haiwezekani.
 
wa kupuliza

JF-Expert Member
Joined
Jun 15, 2012
Messages
2,363
Points
2,000

wa kupuliza

JF-Expert Member
Joined Jun 15, 2012
2,363 2,000
Wanaoficha ukweli ndio wanatakiwa wautoe ukweli na wanajijua....na zaidi ni kua walimu waliopigwa siku hiyo porini walikua wawili ila mwenzake wa kiume kidogo yeye ana afadhali
So wanajijua waliofanya unyama huu na yaonyesha kuna viongozi wakubwa wa mkoa wanasikilizia ingawa mkuu wa wilaya ndiye aliyeonyesha kukerwa sana na hili yeye alimtembelea majeruhi...
Si ajabu hili litafika hadi kwa Jpm ikiwa wataendelea kulifichaficha.
Lissu alivyopigwa risasi halikufika kwa JPM?
 
tinkanyarwele

JF-Expert Member
Joined
Dec 30, 2016
Messages
1,486
Points
2,000

tinkanyarwele

JF-Expert Member
Joined Dec 30, 2016
1,486 2,000
Mmh, hapana jaman ukifanya makosa kwenye usimamizi sekeseke zake ziko wazi wala hazifichiki wala si kwa stail hiyo, labda uniambie aliwataja watu walioba mtihani na wakaamua kumfanyia hivyo lakini yeye kama ndiye aliiba mtihani naamini hawezi kuadhibiwa kwa staili hiyo..labda kuna mengine yamejificha nyuma ya pazia.
 
marxlups

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2011
Messages
12,322
Points
2,000

marxlups

JF-Expert Member
Joined Dec 12, 2011
12,322 2,000
Ilipochukuliwa kwenda wizarani DODOMA ikahisiwa kuwa kwenye bahasha aliosimamia kulikuwa na mapungufu hivyo ikatumwa gari na Usalama wa Taifa na askari wengine toka Dodoma na kumchukua Tabora kwenda kusikojulikana baada ya siku tano akarudishwa na kutupwa Kitete hospitali akiwa hajitambui, amevunjwa miguu pia amejeruhiwa kifuani hata kupumua hawezi.Connect dots na ule uzi wa jana humu usemao Joyce amesema walimu wana vyeti lakini ukifunua mfuniko ndani kuna ugali usio na mboga.
 
chabuso

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2013
Messages
4,945
Points
2,000

chabuso

JF-Expert Member
Joined Feb 18, 2013
4,945 2,000
Kusikiliza 'tale' za upande mmoja inaletaga jazba sana.

'Kujichukulia sheria mkononi' ni neno pana ninaona.

Hivi mwizi anapokwiba huwa hajichukulii sheria mkononi?

Je wananchi wenye hasira wanapofanya yao, kwa nini lawama za 'sheria mkononi' huhamishwa toka kwa mwizi na kubakizwa kwa raia pekee?

Ukitaka kuishi kwa neema duniani tenda, wema na usingoje utetezi wa watu wengine.

Huyo hajaonelewa bila sababu, kafanya unyambilisi ndiyo sababu kapata aliyoyapata katika kumfanya aseme ukweli usiotia shaka.

Sema ndiyo hivyo tena, waliomhoji nao ni ma learner! Utamvunjaje miguu, badala ya kumsina tu mtu anataja kilakitu?

Mkuu ungeweka kwanza kashifa zake alizozifanya yeye za kupora mtihani wa mtoto na kuuchana ndiyo umalizie na pointi uliyokuja nayo.
Tanzania the Gangstar Country, kama kaiba mitihani au kashfa kama hizo ndio watumwe watu wakamvunje miguu??!

Hii nchi haina vyombo vya sheria??
 
Forum statistics

Threads 1,343,525
Members 515,078
Posts 32,787,439
Top