itakuaLabuda huyo binti ameshakutana na Zero iq mnyonyaji wa vipuri
CC Zero IQ
unaonaje labuda kama kuwafatilia watu ndo ajira yangu na makataba wangu utakua uko hivo n.b kujua a,b,c za mtu flani sio kwamba unamfatilia hata wewe kuna ambao unajua story zao but sio kwamba unawafatiliaMkuu hiyo nguvu ya kufuatilia mambo ya watu unaitoa wapi?
Mkuu Napenda nikushauri mambo yafuatayo:-
Kwanza, hapa duniani kuwa bize na mambo yako(Usipende kufuatilia mambo ya watu mkuu). Ukiweza hilo jambo utakuwa ni mtu wa aina yako.
Pili, tenda majukumu yako kulingana na mkataba wako wa kazini achana na mambo ya umbea kazini mkuu. Kazini ni sehemu ya kuonesha maarifa yako na ujuzi wako na siyo sehemu ya kuchunguza maisha ya watu.
Ahsante.
Sidhani kama kuna mwajiri mjinga mabaye anaweza kufanya huo ujinga mkuu. Akupe ajira kwa ajili ya kuchunguza maisha ya watu?unaonaje labuda kama kuwafatilia watu ndo ajira yangu na makataba wangu utakua uko hivo
Waijua kazi mojawapo ya TISSSidhani kama kuna mwajiri mjinga mabaye anaweza kufanya huo ujinga mkuu. Akupe ajira kwa ajili ya kuchunguza maisha ya watu?
Mkuu hiyo nguvu ya kufuatilia mambo ya watu unaitoa wapi?
Mkuu Napenda nikushauri mambo yafuatayo:-
Kwanza, hapa duniani kuwa bize na mambo yako(Usipende kufuatilia mambo ya watu mkuu). Ukiweza hilo jambo utakuwa ni mtu wa aina yako.
Pili, tenda majukumu yako kulingana na mkataba wako wa kazini achana na mambo ya umbea kazini mkuu. Kazini ni sehemu ya kuonesha maarifa yako na ujuzi wako na siyo sehemu ya kuchunguza maisha ya watu.
Ahsante.
Imeandikwa jiweke mbali na vishawishi vyote vinavyopelekea kufanya dhambi,sasa sijui kama bongo fleva ni nyimbo za kumpendeza mungu.Au kuna aya kwenu nyie waislam inaruhusu mambo hayohivi kwani wakiristo huwa mnakataza kusikiliza bongo fleva au ni baadhi ya madhehebu tuu, labda ni dhehebu tofauti ......then ndo maisha aliyojichagulia labda
Kwa hiyo inabidi aache kazi ili asisikie bongo flava? Uzi wa kipuuzi sijawahi ona.Imeandikwa jiweke mbali na vishawishi vyote vinavyopelekea kufanya dhambi,sasa sijui kama bongo fleva ni nyimbo za kumpendeza mungu.Au kuna aya kwenu nyie waislam inaruhusu mambo hayo
Nafikiri litakua jambo la kushangaza ukimkuta pastor/mchungaji anauza baa eti kwakua ni kazi kama kazi zingine au shehe anachezesha kamari kwa kua anajitaftia kipatoKwa hiyo inabidi aache kazi ili asisikie bongo flava? Uzi wa kipuuzi sijawahi ona.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sio kwamba na wewe uko makini kumfuatiliaJamani kuna kitu kimenitatiza lakini baada ya kumuuliza muhusia akawa mkali wala hakunipa jibu la kueleweka man alianza kuja juu kujifanya mtakatifu,issue yenyewe n kama ifutavyo;
Kuna mdada tunafanya nae kazi office moja anajifanya mlokoe kunizidi hadi mimi, yeye kila siku jumapili na siku za kawaida nafikili anahudhuria ibada na kazini youtube anapigaga gospel songs only, lakini kinacho nitatiza siku hizi amekua makini kweli kwenye nyimbo za Bongo Fleva zinazopigwa kwenye TV kwa sababu office yetu ina TV ambayo masaa yote ya kazi iko ON.
So, ile miziki inayopigwa Clouds FM anakua makini kweli kusikiliza na kuangalia tofauti na alivyo kuja. Hicho kinanitia maswali sana kwamba labda siku hizi kashabadilika kawa mtu wa viwanja au ni vipi mana kinachonifanya nimfatilie ni kwasababu anatuona sisi wengine ni wadhambi hatuna imani.
Mwenye majibu labda na hili anisaidie kwa sababu nimemuuliza kawa mkali kweli mana ukweli siku zote unauma.
👏👏👏👏 nilitaka ni comment kama ww ila saf sana maofisin sasa niumbea tuMkuu hiyo nguvu ya kufuatilia mambo ya watu unaitoa wapi?
Mkuu Napenda nikushauri mambo yafuatayo:-
Kwanza, hapa duniani kuwa bize na mambo yako(Usipende kufuatilia mambo ya watu mkuu). Ukiweza hilo jambo utakuwa ni mtu wa aina yako.
Pili, tenda majukumu yako kulingana na mkataba wako wa kazini achana na mambo ya umbea kazini mkuu. Kazini ni sehemu ya kuonesha maarifa yako na ujuzi wako na siyo sehemu ya kuchunguza maisha ya watu.
Ahsante.
Huyo ameona akiendelea na msimamo wake maji yanaweza kuzidi unga. Ok hembu karibu kurusha vocal kidizainiJamani kuna kitu kimenitatiza lakini baada ya kumuuliza muhusia akawa mkali wala hakunipa jibu la kueleweka man alianza kuja juu kujifanya mtakatifu,issue yenyewe n kama ifutavyo;