Ukweli: Pombe inavyoufanya mwili wako

Ukweli: Pombe inavyoufanya mwili wako

Umeisoma yotee shem?
Hata muda ninao basi!!!
Kwenye vitabu yule mwalimu alilaumiwa baada ya pombe kuisha kwenye harusi. Akaamua awaletee ulanzi maana ilikuwa hamna namna.
Wahudhuriaji walishukuru sana maana aliwaletea mtogwa, walikunywa hadi kunakucha
 
Hence unywaji wa soda una madhara mengi kuliko unywaji wa bia.
 
unnamed.jpg

Naomba niishie hapo tafadhali
 
Mkuu, kama haugongi gambe... Ujue hauna akili timamu, na muda huu unapaswa kuwepo Milembe huku umefungwa kamba mikononi... tehteehhh
 
Nchi za kiarabu wanauwana sana kwa kujilipua pindi mtu anapokuwa na hasira. Hana pa kwenda kupunguzia stress zake Dada poa hakuna pombe hakuna. Kwa hyo uwepo wa pombe unapunguza stress sana ikiwa tu utaitumia kwa kiwango sahihi. Ukizingatia swala LA afya na ustaarabu wakt wa kunywa yaliyobaki pombe inafaida sana
 
Ukianzishwa uzi wa mmea,mods wanaufuta harakaharaka,na sie tusiokuywa lakini tunakula mmea tuheshimiwe.
 
Back
Top Bottom