Ukweli ni kwamba...

Ukweli ni kwamba...

MpajiGiva

JF-Expert Member
Joined
Apr 21, 2014
Posts
272
Reaction score
63
Kabla ya kuamua kuoa/kuolewa ni lazima uwe tayari kubadili mfumo wa kimahusiano kati yako na wazazi wako kihisia,kiuchumi n.k. Tambua wazi kwamba ukiamua kuoa/kuolewa wa kwanza kumshirikisha hisia zako,mawazo yako,fikra zako,mipango yako, anapaswa kuwa mkeo/mumeo vinginevyo ujue kuwa haujawa tayari kuoa/kuolewa hivyo JIPANGE!.Haiwezakani ukaamua kuoa/kuolewa wakati huo huo unataka uhusiano wako na wazazi wako ubaki kwa kiwango kile kile,HAIWEZEKANI!!! ndio maana, hata maandiko yamebainisha wazi "mtu atamwacha baba na mama yake,naye ataambatana na mkewe/mumewe!" hii ni kutokana na ukweli kwamba kuamua kuoa/kuolewa ni kuamua kuingia katika wajibu wa kina wenye mapana na marefu yake unaohitaji deep concetration hususani katika utunzaji na usimamizi wa ndoa/familia ili kuhakikisha inastawi vema!
 
Sawa.... Asante kwa kutukumbusha...!!
 
Kwako saa ngapi now?

Sasa hivi ni saa moja na dakika 19 jioni. Nje bado kweupe na jua linawaka kama saa tisa mchana!

Tupo kwenye daylight saving time sasa hivi.

Nasubiri tu game ya Nets vs Heat ianze (NBA playoff semis)
 
Saa 8 unusu mid 9t nje pako kimyaaaaaa, usingizi ukipaa jf tu ndo kimbilio...hongera waanzilishi wa jf.
 
Nadhan wamekuelewa vema...hasa wanawake hii inawahusu sana.
 
Saa kumi na mbili na dakika 67 jioni hapa
 
Kabla ya kuamua kuoa/kuolewa ni lazima uwe tayari kubadili mfumo wa kimahusiano kati yako na wazazi wako kihisia,kiuchumi n.k. Tambua wazi kwamba ukiamua kuoa/kuolewa wa kwanza kumshirikisha hisia zako,mawazo yako,fikra zako,mipango yako, anapaswa kuwa mkeo/mumeo vinginevyo ujue kuwa haujawa tayari kuoa/kuolewa hivyo JIPANGE!.Haiwezakani ukaamua kuoa/kuolewa wakati huo huo unataka uhusiano wako na wazazi wako ubaki kwa kiwango kile kile,HAIWEZEKANI!!! ndio maana, hata maandiko yamebainisha wazi "mtu atamwacha baba na mama yake,naye ataambatana na mkewe/mumewe!" hii ni kutokana na ukweli kwamba kuamua kuoa/kuolewa ni kuamua kuingia katika wajibu wa kina wenye mapana na marefu yake unaohitaji deep concetration hususani katika utunzaji na usimamizi wa ndoa/familia ili kuhakikisha inastawi vema!

Sawa,ukweli mtupu,
 
Back
Top Bottom