Bakhresa alitaka kuweka meli victoria ili ifanye kazi kati ya mwanza na bkb lkn magufuli akiwa waziri wa ujenzi alikataa kata kata meli hiyo isafirishwe kwa njia ya barabara akidai itaharibu barabara

Bakhresa alitaka kuweka meli victoria ili ifanye kazi kati ya mwanza na bkb lkn magufuli akiwa waziri wa ujenzi alikataa katta kata meli hiyo isafirishwe kwa njia ya barabara akidai itaharibu barabara
Bakhresa? Kweli shule za kata zina mambo.
Bakhresa alitaka kuweka meli victoria ili ifanye kazi kati ya mwanza na bkb lkn magufuli akiwa waziri wa ujenzi alikataa kata kata meli hiyo isafirishwe kwa njia ya barabara akidai itaharibu barabara
Amekosea tu jina lakini I think he has a point to discuss. Hata mimi amenikumbusha hili la Magufuli kuzuia parts za meli zisipitishwe barabarani na walitofautiana misimamo mawaziri wa Ujenzi (Magufuli) na wa Uchukuzi (Mwandosya)
Sawa kabisa,UKAWA wanaparamia mambo.wangetaka ipelekwe meli kwa kuvunja vunja madaraja na kuharibu barabarakasome tena taarifa. ugomvi wa magufuli na dewji ilikuwa ni boti yote nzima kama ilivyo ipitiswe kwenda mwanza na sio parts maana yeye alisema ukitaka kupitisha hapa Tan@zania ikatekate kisha ukifika mwanza uinganishe tena
Kwa mnaokumbuka hili sakata lilifika mbali na prof. Mwandosya mtaalam akaeleza hali halisi hakuna shida yoyote ya kutumia meli hiyo kupelekwa ziwa Victoria kupitia kenya
Swali langu; Mgombea urais mnaweza kutueleza sababu za kuzuia hii meli ya Bakheresa kufika ziwa Victoria leo hii wananchi wanateseka na mbaya mnaendelea kuwadanganya wananchi Bukoba - Mwanza mnaleta meli .Hiili meli gani linaahaidiwa toka Mkapaa,akaja mwenzie na sasa wewe unakuja na nyimbo hiyo hiyo.
.
Hapana wananchi wa Kanda ya Ziwa semeni no kwa CCM.
Pigieni kura Lowassa tulete mabadiliko ya nchi hii,nchi bila mabadiliko ahadi zote mnazopewa watarudi 2020 kuomba tena kura kwa ahadi hizo hizo
Sema no CCM
Vote for Lowassa vote for UKAWA
M4C daima.
Bakhresa alitaka kuweka meli victoria ili ifanye kazi kati ya mwanza na bkb lkn magufuli akiwa waziri wa ujenzi alikataa kata kata meli hiyo isafirishwe kwa njia ya barabara akidai itaharibu barabara
Bakhresa hajawahi kutaka kupeleka meli ziwa victoria. Aliyetaka kupeleka ni mhindi Azim na aliweza kupeleka kupitia kenya ila zilishindwa kufanya kazi zipo zimepaki pale mwanza toka zipelekwe. Kwa kifupi ni mbovu zilishindwa kufanya kazi.
Magufuli alikuwa sawa kukataa kwa kuangalia hasara ambayo ingepatikana.
tatizo mnaokota maneno halafu mnakuja kulisha watu kwanza hizo meli hazikuwa za bakhresa zilikuwa za azim dewji pili hazikuzuiwa kufanya kazi ziwa victoria bali zilizuiwa kusafirishwa kwa barabara kwani zingeleta uharibifu mkubwa lakini pamoja na kupitishwa kupitia kenya zilishindwa kufanya kazi
Hakauna tofauti ya kisera kati ya ccm na cdm ni baba 1 mama 1
Meli gani ya Bakhresa? Au ndio yaleyale alioyasema Shoza kuhusu low intellect.
Hizo ndizo Ahadi za Serikali ya CCM. Nyingi hazikutekelezeka!
* Tutaleta Meli nzuri Ziwa Victoria: Hakuna Meli mpaka sasa;
* Meli nzuri Ziwa Tanganyika: Bado kuna mv. Liemba yenye umri wa Miaka 100;
* Meli kubwa ya Kisasa, Ziwa Nyasa: Hakuna kitu;
* Reli ya Kati kuboreshwa: Hakuna kitu;
* Wakulima hawatokopwa: Mpaka sasa wanalipwa Karatasi na wanateseka na ulaghai wa "Stakabadhi Ghalani ne Bei ya Korosho, Pamba, Kahawa, puu...chini!;
* Tutafufua Viwanda vilivyokufa na kujenga vingi vya kusindika Mazao: Hamna kitu (vya kubangua Korosho vimegeuzwa Maghala; hata cha Baiskeli Mwenge, hakipo tena, tunaagiza Baiskeli Mitumba kutoka China; Machine Tools, Moshi kimekufa; UFI, cha Zana za Kilimo, kimegeuka cha Mabomba Makubwa na tunaaagiza Zana kutoka Kenya, China; cha Uvuvi TAFICO, kimekufa);
* Tutafufua ATC: Kikowapi?;
* Dawa zitajaa zahanati na Hospitalini: Wapi? Tunanunua Famasi!;
TAFAKARI, CHUKUA HATUA OKT. 25!