Ukweli ni kwamba Bashiru kakumbuka Ikulu

Mwachiluwi

JF-Expert Member
Mar 10, 2022
17,851
32,245
Sina haja ya salamu,

Wengi mnamtetea Bashiru kuwa kafanya jambo zuri kwa kauli yake hila, ukweli ni kwamba kuna kipindi mbolea ilipanda sana sokoni Mama akafanya jambo ikashuka bei wakati hili jambo linatatuliwa Dr. Bashiru hakuona?

Kipindi iko wakulima walikuwa wanalazimika kuuzia serikali mazao yao lakini sasa mkulima anachagua wapi hapeleke mazao yake. Je, na hilo wakati linatoka hakuona?

Kwa kauli yake inaonyesha wazi kuwa pale halipo hapataki ,anataka nafasi ile ambayo alipewa. Kitu cha kujifunza, ni serikali itumie wasomi wake katika kuwapa nyazifa hizo nyeti.

Tunaona wakuu wa wilaya badala ya kutumia elimu na akili pamoja na ujuzi wanafanya kazi kwa mihemko. Wengi wao hawana uwezo wa kutatua matatizo kwenye jamii, ndiyo maana migogoro mingi ya kijamii yanachukua muda kutatuliwa.

Nawasilisha, achana na muandiko elewa mada.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom