uwekezaji bora

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Hamissi Hamza Jr

    JamiiForums Tanzania Ukweli mchungu usioambiwa kwenye biashara za mijini

    Ndoto Za Wengi Ni kuwa Na Biashara Mijini Hasa Kwenye Frame Ila Ukweli Mchungu Biashara Nyingi Hasa za Uchuuzi Haziendi Zimebaki Ni Za Misimu, Biashara Nyingi za MIjini Hazina Faida ya Moja kwa Moja Zimebaki ni Sehemu Za kutunzia Mitaji/Pesa Kwasababu Ya Gharama kubwa Za Uendeshaji Kama Frame...
  2. CM 1774858

    JamiiForums Tanzania Thamani ya uwekezaji imefikia Dola Bilioni 12.44 sawa na TZS 33 Trilioni na ajira 188,000 kwa miradi 707 inayotekelezwa na sekta binafsi

    Rais Samia katika kuimarisha dipolomasia ya Uchumi amekuza thamani ya uwekezaji na kufikia $12.44bn sawa na TZS33Trilioni na ajira 188,000 kwa miradi 707 iliyoko katika hatua mbalimbali za utekelezaji. Moja wapo ya nguzo kuu za Dira 2050 ni kuwa katika miaka 25 ijayo nchi yetu iwe na uchumi...
  3. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Tanzania ni Mahali Sahihi pa Kufanya Uwekezaji

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, amesema serikali imerekebisha changamoto ambazo wawekezaji wengi walikuwa wakizilalamikia, ili kufungua milango wawekezaji wengi kuja kuwekeza kwani Tanzania ni mahali sahihi pa kuwekeza. Ametoa kauli hiyo leo bungeni, alipokuwa akijibu swali la Mbunge wa Ushetu...
  4. Richard

    JamiiForums Tanzania Miradi ya PPP iliyopo katika tovuti ambayo yahitaji wawekezaji wa nje, kwanini wawekezaji wakimbilia Tanesco pekee ambayo haimo hata kwenye orodha?

    Miradi ifuatayo ambayo imeorodheshwa katika tovuti ya PPP ni miradi ambayo yatafutiwa wawezekazi wa nje. Sasa kwanini Tanesco imeingizwa humo na kuanza kupigiwa debe sana huku miradi kama hoteli ya hadhi uwanjani JNIA na "shopping centre" hapohapo ikiwa bado yadoda? Ifuatayo ni miradi hiyo...
  5. Lanlady

    JamiiForums Tanzania Wawekezaji wengi hawaji na fedha kutoka kwao bali wanakopa kwenye haya haya mabenk yetu

    Ni mara nyingi nimewaona raia wa mataifa mengine waliowekeza hapa nchini (Tanzania) wakiwa kwenye ofisi za maafisa mikopo wa benki. Hii ina maanisha wazi wanachokuja nacho ni wazo tu pengine na ujuzi au maarifa. Fedha wanazikuta humu humu. Sijui hata ni nani alituroga?
  6. mwanamichakato

    JamiiForums Tanzania Nini kifanyike kufufua Tanzania International Petroleum Refinery (Tiper)?

    Uagizaji mafuta toka nje unaigharimu nchi yetu mabilioni ya fedha kila mwaka hivyo kudidimiza thamani ya fedha yetu na uchumi Kwa ujumla. TIPER-Tanzania International Petroleum Refinery ni kampuni ilioundwa mahsusi Kwa ajili ya kusafisha mafuta ghafi. Mitambo ya thamani kubwa ilinunuliwa na...
  7. Makirita Amani

    JamiiForums Tanzania Huu ndiyo Uwekezaji Bora kabisa unaoweza kufanya mwaka huu 2024

    Rafiki yangu mpendwa, Njia bora kabisa ya kujifunza kwenye maisha ni kutoka kwa wale waliofanikiwa kwenye kitu hicho. Inapokuja kwenye uwekezaji, Warren Buffet, bilionea na mwekezaji ambaye amekuwa na mafanikio makubwa kwa zaidi ya miaka 70 akiwa mwekezaji, ni mtu sahihi wa kumsikiliza...
Back
Top Bottom