mike2k
JF-Expert Member
- May 12, 2016
- 1,458
- 3,127
Fala ni mama yako mzazi.Ona ulivyo fala unaongelea mambo ya tangia Uhuru yn unaongelea history hahahaha, ingekuwa hvyo leo hii uchumi wa China usingekuwa mkubwa kuliko wa Japan au British, FYI tz ishawahi kuwa juu kiuchumi zaidi ya Kenya Iicha ya hicho unachozungumza cjui settlers cjui nini, tz ina kila sababu ya kuwa juu kiuchumi zaidi ya nchi yoyote EA na ndicho tunachokifanya kwa ss na unaweza kuona reflection ya uchumi kwa mtu mmoja mmoja kati ya tz na kenya (inclusive economy) tz ndiyo inayoongoza hapa EA ss ww Baki na paper economy cc tunatoboa na nyie ufipa soon mtatii mtake msitake na mmeshaanza kutii mdogo mdogo
Huyo bwana ako aliyekuambia TZ tupo vizuri kiuchumi kuliko Kenya alikutia na akakujaza ujinga.
Kenya wapo vizuri kiuchumi na still wataendelea kufanya vyema kwenye takwimu za uchumi.
Mfano mzuri tu ni thamani ya pesa ya Kenya ksh 1000 hapa Tanzania ni tsh 22000. Na kwa kipindi cha hii miaka 5 iliyopita imezidi kuwa imara dhidi ya sarafu yetu.
Unajua lugha ya kiingereza pitia hiyo comparison chart ndo ufahamu jinsi gani tupo nyuma
Kenya vs Tanzania Economies: 61 Stats Compared
Kenya with a GDP of $87.9B ranked the 66th largest economy in the world, while Tanzania ranked 80th with $58B. By GDP 5-years average growth and GDP per capita, Kenya and Tanzania ranked 25th vs 18th and 153rd vs 169th, respectively.
georank.org