Tazama ng'ombe ingine kimawazo, kukurupuka tuππππ sasa Tanzania ilivyo ya kila mtanzania ina maana ni nchi masikini mno! Tazama mazao ya nchi ya kila mtanzaniaπππ numbers never lie!Shida Kenya ni Mali ya kenyatta n'a wazungu raia wengine wote ni watumwa tuu. Ila Tanzania ni ya kila mtanzania
LOL katikati GDP yenu ya makaratasi ya billion 99,deni lote la Taifa ni billion 65 π π πOna sasa ulivyo fukara kimawazo na elimu kama wenzako The best 007 na Ichoboy01ππππ., nikisema mko na low mental structure to reason beyond face value mnakasirikaππππ #teamlowIQ
Pedestrian reasoning kishenziπππππ sasa kwa vile marekani wako na deni la over 120% of the GDP nikitumia hizo fikra zako za kiajabu, ni mtu alie na 1000 kisha deni lake ni 1200, ina maana yeye itabidi akope ili alipe deni kisha ajimudu, hana lolote kabisaaa! Na Japan je? (200% of the GDP)ππππ basi Tanzania iko nafuu sana zaidi ya marekaniππππππ mko ovyo kishenzi KWA KILA KITU, KUANZIA FIKRA NA GROUND! Napenda mnavyo jaribu kujikweza.πππ
What do you expect wakati hadi mbuzi zilipatikana na corona?
ππππ see your life! Unalazimisha mambo kisa huna jibu loloteπππ, Tanzania ya sasa will remain poor for decades, wewe ndio best brain humuπππ.,LOL katikati GDP yenu ya makaratasi ya billion 99,deni lote la Taifa ni billion 65 π π π
Na bado katika wakenya watatu, wawili kati yao wanakunya mitaroni π π π View attachment 1630360
Remember budget ya education Ni sawa na nusu ya budget yenu ya Kila kitu,Ss ndo nn unakuwa na GDP kubwa alafu bado unashindwa kufanya miradi kwa pesa ya ndani na bado wananchi wanakufa njaa, ina faida gn ss?
Serikali yao is flourishing on their stupidity and ignoranceππ wamelishwa propaganda deadly! They are idiots of Africa. How can u have such a country and be among the leading in extreme poverty??? Balaaa!member budget ya education Ni sawa na nusu ya budget yenu ya Kila kitu,
Na hakuna grants hapo.
Nyinyi ata major ministry like education Ni donation tupu!
Heshimu watoto wenu.
Serikali yao is flourishing on their stupidity and ignorance wamelishwa propaganda deadly! They are idiots of Africa. How can u have such a country and be among the leading in extreme poverty??? Balaaa!
Tanzania is owned by Kenyans, are you aware that there are 580 Kenyan companies that are operating in Tanzania that if they decide to leave your country your economy will be lower than that of Uganda.Shida Kenya ni Mali ya kenyatta n'a wazungu raia wengine wote ni watumwa tuu. Ila Tanzania ni ya kila mtanzania
Ss km elimu inashindwa kuwakomboa mnachezea hyo pesa ya nnRemember budget ya education Ni sawa na nusu ya budget yenu ya Kila kitu,
Na hakuna grants hapo.
Nyinyi ata major ministry like education Ni donation tupu!
Heshimu watoto wenu.
Yani sijui ni lini akili yako itakuwa na kuacha kuwaza kama mjinga? Ivi ww na uzwazwa wako unajua mchanga wa uchumi wa izo nchi mbili duniani ? Takataka km kunya haipwaswi hata kuzid 70% ya GDP ....izo nchi uchumi wao ukiyumba ujue a dunia inayumba ...sasa nyie mko broke saa hii na hata S. Sudani haishtuki....fikiri kabla ya kuropoka uharoOna sasa ulivyo fukara kimawazo na elimu kama wenzako The best 007 na Ichoboy01., nikisema mko na low mental structure to reason beyond face value mnakasirika #teamlowIQ
Pedestrian reasoning kishenzi sasa kwa vile marekani wako na deni la over 120% of the GDP nikitumia hizo fikra zako za kiajabu, ni mtu alie na 1000 kisha deni lake ni 1200, ina maana yeye itabidi akope ili alipe deni kisha ajimudu, hana lolote kabisaaa! Na Japan je? (200% of the GDP) basi Tanzania iko nafuu sana zaidi ya marekani mko ovyo kishenzi KWA KILA KITU, KUANZIA FIKRA NA GROUND! Napenda mnavyo jaribu kujikweza.
Only for a fool ...yani nyie ni kinyesi imejaa kwa kichwaTazama ng'ombe ingine kimawazo, kukurupuka tu sasa Tanzania ilivyo ya kila mtanzania ina maana ni nchi masikini mno! Tazama mazao ya nchi ya kila mtanzania numbers never lie!View attachment 1630298
Sawa ufipa umeeleweka, vp Tundu Lissu alifika salama ubelgiji?Declaration of interest.
Mimi ni Mtanzania na ninaipenda sana nchi yangu. Ninafanya shughuli zangu ndani ya TZ na Kenya. Naeleza kile nilichokishuhudia kwa macho yangu.
Kenya kiuchumi wametuzidi sana tu wa Tz.
Wana viwanda vya kutosha.
Bandari yao imechangamka kwelikweli ni meli kubwa zinapishana tu.
Airport yangu iko busy mno.
Kenya wana mzunguko wa pesa wa hali ya juu.
Huduma zao ziko faster uki compare na TZ.
Ila rushwa Kenya Rushwa ndo nyumbani.Suala la Rushwa liko juu kwa kweli.
Jiji la Nairobi. Ni jiji kubwa lina pilika pilika za kutosha. Nairobi kuna kila kitu. Hapa utaweza tengeneza chochote au kununua chochote kwa affordable price.mfano
Kenya wana spear za aina zote za magari duniani kwa gharama nafuu.Kwa maeneo yaa vijijini sijawahi fika. Naweza kukubali kuwa Kenya ni Capitalist aliyekomaa haswa.
Tukija kwa TANZANIA. Sisi pia siyo tupo nyuma ila na sisi kuna sehemu tumejipanga vyema ki social. Tuna mfumo unaogawanya keki ya taifa nchi nzima. Na hii ndo inatufanya tukue kiuchumi in slow motion na bado CCM inaendeleza utoaji services kijamaa.
Uchaguzi 2020 ndo rasmi tumerudishwa in monoparty system. Miradi yote ya maendeleo ya taifa hili yanaenda kuwa chini ya Central government kuanzia industries, public companies like TTCL,AIR TANZANIA.
TANZANITE sasa inaenda kumilikiwa na serikali under STAMICO.
Mfumo huu CCM imeamua iwe kama CCP ya China.
Kwa hiyo Usiiitumie TZ kupima maendeleo ya Ke.
Na usitumie KE kupima maendeleo ya TZ.
NOW KILA NCHI INAPITIA NJIA YAKE KUFIKIA UCHUMI WA JUU.
Hv nyie ufipa kwnn mnakuwa wajinga hv yn mambo ya kinchi nyie mnayapeleka kibinafsi,mbn wenzenu wakenya humu hawapo km nyie na wkt serikali yao inawaumiza kinoma Ikn wapo humu kupigania nchi yao, hata km slums zimejaa kenya lkn kina onyango humu wapo radhi kuongopa kuwa zinaondolewa ila nyie ufipa siasa zimewajaa tu, ila cc hatujali tunazd kuwapiga spana mpk mtaelewa tuDeclaration of interest.
Mimi ni Mtanzania na ninaipenda sana nchi yangu. Ninafanya shughuli zangu ndani ya TZ na Kenya. Naeleza kile nilichokishuhudia kwa macho yangu.
Kenya kiuchumi wametuzidi sana tu wa Tz.
Wana viwanda vya kutosha.
Bandari yao imechangamka kwelikweli ni meli kubwa zinapishana tu.
Airport yangu iko busy mno.
Kenya wana mzunguko wa pesa wa hali ya juu.
Huduma zao ziko faster uki compare na TZ.
Ila rushwa Kenya Rushwa ndo nyumbani.Suala la Rushwa liko juu kwa kweli.
Jiji la Nairobi. Ni jiji kubwa lina pilika pilika za kutosha. Nairobi kuna kila kitu. Hapa utaweza tengeneza chochote au kununua chochote kwa affordable price.mfano
Kenya wana spear za aina zote za magari duniani kwa gharama nafuu.Kwa maeneo yaa vijijini sijawahi fika. Naweza kukubali kuwa Kenya ni Capitalist aliyekomaa haswa.
Tukija kwa TANZANIA. Sisi pia siyo tupo nyuma ila na sisi kuna sehemu tumejipanga vyema ki social. Tuna mfumo unaogawanya keki ya taifa nchi nzima. Na hii ndo inatufanya tukue kiuchumi in slow motion na bado CCM inaendeleza utoaji services kijamaa.
Uchaguzi 2020 ndo rasmi tumerudishwa in monoparty system. Miradi yote ya maendeleo ya taifa hili yanaenda kuwa chini ya Central government kuanzia industries, public companies like TTCL,AIR TANZANIA.
TANZANITE sasa inaenda kumilikiwa na serikali under STAMICO.
Mfumo huu CCM imeamua iwe kama CCP ya China.
Kwa hiyo Usiiitumie TZ kupima maendeleo ya Ke.
Na usitumie KE kupima maendeleo ya TZ.
NOW KILA NCHI INAPITIA NJIA YAKE KUFIKIA UCHUMI WA JUU.
Peleka uzwazwa wko mbele...pimbi wwDeclaration of interest.

Peleka uzwazwa wko mbele...pimbi ww
Hv nyie ufipa kwnn mnakuwa wajinga hv yn mambo ya kinchi nyie mnayapeleka kibinafsi,mbn wenzenu wakenya humu hawapo km nyie na wkt serikali yao inawaumiza kinoma Ikn wapo humu kupigania nchi yao, hata km slums zimejaa kenya lkn kina onyango humu wapo radhi kuongopa kuwa zinaondolewa ila nyie ufipa siasa zimewajaa tu, ila cc hatujali tunazd kuwapiga spana mpk mtaelewa tu View attachment 1630640
Ona ulivyo fala unaongelea mambo ya tangia Uhuru yn unaongelea history hahahaha, ingekuwa hvyo leo hii uchumi wa China usingekuwa mkubwa kuliko wa Japan au British, FYI tz ishawahi kuwa juu kiuchumi zaidi ya Kenya Iicha ya hicho unachozungumza cjui settlers cjui nini, tz ina kila sababu ya kuwa juu kiuchumi zaidi ya nchi yoyote EA na ndicho tunachokifanya kwa ss na unaweza kuona reflection ya uchumi kwa mtu mmoja mmoja kati ya tz na kenya (inclusive economy) tz ndiyo inayoongoza hapa EA ss ww Baki na paper economy cc tunatoboa na nyie ufipa soon mtatii mtake msitake na mmeshaanza kutii mdogo mdogoKwanza ujasoma nilichokiandika na hata ungekisoma usingeelewa.Ndo sifa tuliyo nayo waTZ ubishi ubishi ubishi.
Mkuu tumefundishwa kuheshimu maoni ya mtu hata kama ni mabaya au mazuri kwa sababu tunatofautiana uwezo wa kufikiri pia hatujui unapotoa comment upo katika hali ya namna gani. Naweza kulaumu kumbe ni mtoto wako ndio kashika simu.
Pia,Usipanick ni takwimu zinawapa sifa hiyo ya kuwa juu kiuchumi kuliko Tanzania. Na kihistoria wakati wa ukoloni Kenya ilikuwa ni Settlers economy. Hii inamaana kuwa after independence walibakia na rasilimali nyingi za British kuliko nchi yoyote East Africa.
Pia Kenya hawakuathiriwa na collapse of USSR 1980'S ECONOMIC DEPRESSION.
Kenya ilifaidika pia na kuanguka kwa EAC (1967-77).. especially kwenye sector ya anga ambapo Jomo Kenyatta airport ndo ilikuwa makao makuu ya EAST AFRICA AIRWAY'S.
Kenya pia ana uhusiano mzuri za kidiplomasia na nchi za Western. Mashirika makubwa yote makao makuu ni hapo Nairobi. Hii imewasaidia sana katika kuvutia wawekezaji wakubwa mfn uniliver.
MIMI NAJADILI HUU MJADALA KAMA MFANYABIASHARA NA BIDHAA ZANGU NANUNULIA NAIROBI NA MOMBASA NAONGEA KILE NILICHOKIONA NA AMBACHO NIMEKISHUHUDIA.
Narudia tena uchumi wa Kenya uko juu kuliko wa Nchi yoyote ya East Africa.
Wewe unakejeli kwa sababu hiyo Kenya huijui na haujawahi kukanyaga.
Hii ni statement ya baba yetu wa Taifa J.K NYERERE kipindi cha ujamaa....
"Hakuna haja ya kwenda ulaya,ukitaka kwenda ulaya nenda Nairobi"