Mbona mgombea wa CCM 2015 Yupo wazi tu,,, Mgombe ni BENARD MEMBE,,, Lowassa kiukweli kikwete kesha msaliti siku nyingi,,
In addition, swali dogo tu:
EL anapokiri kuchangiwa mabilioni na rafiki zake yeye atawapa nini akifanikiwa ingia Magogoni (??) Enzi zile yeye na JK (Prof. Dr) walishauriwa wachukuwe fomu pamoja. Ndo hapo EL alipojimaliza. Kibaya zaidi ni pale alipomtumia jamaa flani kigogo kwelikweli enzi hizo aende Msasani kumwomba Mwalimu (RIP) akamsafishe kwao Monduli (agombee Ubunge) baada ya kufunuliwa kuhusu mimali yake.
Yule Bwana aliyetumwa alichanganya na zake na hakuthubutu hilo. Badala yake akaenda kwa Rashid (RIP) ambaye alilifikisha Msasani na kuambulia kuambiwa hivi: RASHIDI, USIWE MJINGA KAMA EL.
Tafakari!
Hivi ni nani mmiliki wa lighorofa (naambiwa itakuwa HQ ya NMB) pale ilipokuwa plot waliopewa NYUMBA YA SANAA ambao inaelekea wame-relocate to Oyster Bay? Enzi za uwaziri wa nani pale ARDHI??
Tafakari!
Wapo vyuoni wanaojiita team Lowassa njaa zitawaua...mwisho wake aibu sana naliombea hili SAY NO LOWASSA
Lakini anaweza kuteuliwa kupiga wazee kama wewe
Lowasa hawezi kuteuliwa kugombea Urais kwa tiketi ya CCM labda huko UKAWA anakopanga kwenda
Ni vigumu sana kumzuia lowasa..tukumbuke kuwa mzee mkapa, Mangula, pamoja na sumaye hawakutaka kikwete achukue nchi lakini tunajua kilichotokea..lowasa aendelee kukaa kimya huko kutokujibu mashambulizi ndiko kuna muweka juu sana..
M nataka ukawa washinde lakini kama ikiwa tofauti basi lowasa ashinde..hakuna mjanja anayemchukia lowasa.
Endelea kuweka mashambulizi mzee wangu.
Ukiendelea Na Hizi Siasa Zako Za Maji Taka. Ntakuweka Hadharani. Jina Lako,Namba Zako Za Simu,Mtaa Unaoishi, Pamoja Na Namba Ya Nyumba Unayokaa. Umekuwa Ni Mchochezi,Mnafiki,Na Mtu Hatari Sana Kwa Amani Ya Nchi Hii. Jaribu Kujirekebisha Mara Moja,La Sivyo Ntakuumbua Humu Jf
story za redio mbao