Ukweli mchungu: Lowassa ameshatoswa na CCM

Ukweli mchungu: Lowassa ameshatoswa na CCM

ccm wamepanga kuwateua dr. Shein na mizengo peter pinda kuwania uteuzi wa urais kupitia chama cha mafisadi.

Wanaccm wapende wasipende hilo ndilo azimio la siri la nec-ccm.

na kuelewa a town cite,cc huwa hatukurupuki,kazi kwao magamba,ila ukweli ndio huo,watu kama ni mtonyo waendele kupiga ila mwishoni ni hola.
 
askofu kwenda kuonana na jakaya siyo nongwa na haimanishi anamwelekeza jakaya nani anafaa kuwa rais. lowasa ni mtz kama mtz mwingine kwanini mnamwandama hivyo lowasa? amewakosea nini? mnahofu gani? na hapo hajawa mgombea kupitia ccm bado mnaogipa nini au na nyie mna wagombea wenu hamtaki ku display? fungukeni tushirikishane
 
hawa maaskofu na wachungaji ndo wezi wa jasho la wananchi makanisani halafu wanajifanya kumponda lowasa mbona wachungaji waliopiga fedha za escrow hawawaxemi,huo ushoga mkileta huku zenji wallah mtafirwa

ndugu omba radhi.!usipigwe ban..!
 
Jana nilimsikia Katibu mkuu wa Ccm redio Clouds, nadhani alikuwa Tanga akisema kigezo cha kwanza kwa mgombea atakayeteuliwa na Ccm itakuwa ni uadilifu. Alisema pia wagombea wa Ccm wanaoutaka urais itabidi wajipime kwa kigezo hicho namba moja. Ni juzi tu Mzee Msuya alisema Lowassa kama anaenda upinzani aende lakini chama hakiwezi kumpitisha fisadi kugombea urais.

Kama ni mfuatiliaji wa mambo ya iasa za nchi hii utajua kwamba Lowassa alikuwa karibu sana na viongozi wa dini, lakini juzi tu walitoka hadharani na kumnanga kama 'fisadi msaka Ikulu'. Hawa ni watu wanaheshimika sana na mara nyingi wanakuwa taarifa nyeti toka hata Ikulu. Mtu kama Pengo ni figure kubwa nchi hii, anajua yaliyo uvunguni Ikulu.Kama angekuwa amedokezwa kwamba ndiye mgombea wa Ccm ajaye asingethubutu kumchana hadharani au maaskofu wenzake kumnanga!

Wale 'Team Lowassa' mjiandae kisaikolojia kutupwa kwa mgombea wenu maana tangu imeanza 2015, hali inazidi kuwa mbaya. Mashambulizi yanatoka kila pembe tena kwa watu wanaoheshimika. Baba Askofu Mokiwa, Baba Askofu Pengo, Nzigirwa, Mzee Msuya! Mlishajiuliza hivi karibuni Pengo alienda kufanya nini Ikulu?

Tafakari!
hakuna mwenye jeuri juu ya lowasa.Na hakuna aliye juu ya akili za watanzania milion 45.wewe na ndoto zako mtaishia kuchachawa
 
Jana nilimsikia Katibu mkuu wa Ccm redio Clouds, nadhani alikuwa Tanga akisema kigezo cha kwanza kwa mgombea atakayeteuliwa na Ccm itakuwa ni uadilifu. Alisema pia wagombea wa Ccm wanaoutaka urais itabidi wajipime kwa kigezo hicho namba moja. Ni juzi tu Mzee Msuya alisema Lowassa kama anaenda upinzani aende lakini chama hakiwezi kumpitisha fisadi kugombea urais.

Kama ni mfuatiliaji wa mambo ya iasa za nchi hii utajua kwamba Lowassa alikuwa karibu sana na viongozi wa dini, lakini juzi tu walitoka hadharani na kumnanga kama 'fisadi msaka Ikulu'. Hawa ni watu wanaheshimika sana na mara nyingi wanakuwa taarifa nyeti toka hata Ikulu. Mtu kama Pengo ni figure kubwa nchi hii, anajua yaliyo uvunguni Ikulu.Kama angekuwa amedokezwa kwamba ndiye mgombea wa Ccm ajaye asingethubutu kumchana hadharani au maaskofu wenzake kumnanga!

Wale 'Team Lowassa' mjiandae kisaikolojia kutupwa kwa mgombea wenu maana tangu imeanza 2015, hali inazidi kuwa mbaya. Mashambulizi yanatoka kila pembe tena kwa watu wanaoheshimika. Baba Askofu Mokiwa, Baba Askofu Pengo, Nzigirwa, Mzee Msuya! Mlishajiuliza hivi karibuni Pengo alienda kufanya nini Ikulu?

Tafakari!
Hata msuya Leo kawa wa maana?
 
Yan Lowassa amewafanya watu wengi waugue magonjwa ya akili;hofu na kiwewe kimewajaa...he's a hard nut to crack take that from me;Msuya ana uadilifu gani wa kutusemea juu ya Rais tumtakaye ikiwa yeye anaishi na hatia ya kumwua Sokoine?Pengo ana uadilifu gani wakati benki ya kanisa lake ni taasisi ya utakatishaji fedha haramu?Kinana ana uadilifu gani wakati amemaliza tembo wetu?Kikwete aliye Rais wenu ana uadilifu gani wakati ameiba pesa za uma kupitia Escrow?Muwe mnafikiri kabla hamjaandika,otherwise kama hii inawasaidia kuondoa msongo wa mawazo kutokanana ugumu wa maisha basi go ahead and spread more lies
Kwani tuhuma ulizozitoa juu ya wazee hao ndio zinamfanya "MAMVI" awe msafi. Kosa halihalalishwi kwa Kosa. Simama ujenge hoja juu ya uaminifu wake.
 
In addition, swali dogo tu:
EL anapokiri kuchangiwa mabilioni na rafiki zake yeye atawapa nini akifanikiwa ingia Magogoni (??) Enzi zile yeye na JK (Prof. Dr) walishauriwa wachukuwe fomu pamoja. Ndo hapo EL alipojimaliza. Kibaya zaidi ni pale alipomtumia jamaa flani kigogo kwelikweli enzi hizo aende Msasani kumwomba Mwalimu (RIP) akamsafishe kwao Monduli (agombee Ubunge) baada ya kufunuliwa kuhusu mimali yake.
Yule Bwana aliyetumwa alichanganya na zake na hakuthubutu hilo. Badala yake akaenda kwa Rashid (RIP) ambaye alilifikisha Msasani na kuambulia kuambiwa hivi: RASHIDI, USIWE MJINGA KAMA EL.
Tafakari!

Hivi ni nani mmiliki wa lighorofa (naambiwa itakuwa HQ ya NMB) pale ilipokuwa plot waliopewa NYUMBA YA SANAA ambao inaelekea wame-relocate to Oyster Bay? Enzi za uwaziri wa nani pale ARDHI??
Tafakari!
 
Kijana CCM ina wenyewe na wenyewe ndio hao Kikwete, Lowasa, Rostam na Chenge. Wakati wanaccm wengine wakihangaika kujibinafsishia majengo na viwanda na mabenki yetu, Hawa walibinafsisha image na Goodwill ya chama. Angalia/wasikilize wasemaji wa sasa wa ccm ukimuondoa Mchemba aliyejitambua hivi karibuni utabaini ninachomaanisha. Hata Pengo amlete Pinda au Mokiwa amlete Membe WANNE hawa ni zaidi ya UTATU wanaoujua!!!
 
ccm si chama cha genge fulani hapana. acheni hila zenu lowasa ni mwanacha sawa na wanachama wengine . ana haki ya kugombekbea urais qkina chabruma wanasema nonono no wao ni nani kwanza nchi hii ni yao au? acheni kutubabaisha tuwaachie CC na NEC waamue wewe chabruma ni nani au kuna mgombea anakulipa? acha kuua ccm bwana avoid njaa zitakufikisha pabaya iko siku uta chutama bila kupenda. ccm ni ya wanachama wote bila kujali ukanda wala ukabila we vipi? unalipwa na genge fulani au?
 
Mbona lowassa yupo kimya sana? Hivi kina makonda aka chabruma hamuogopi ukimya wake?

Lowassa anajua mengi kuhusu ccm kuliko ww makonda wa juzi tu hp...

Muda ukifika lowassa tutamjua na mtakubali kwann anafaa kuwa rais wa hii nchi 2015..
 
Lowasa hawezi kuteuliwa kugombea Urais kwa tiketi ya CCM labda huko UKAWA anakopanga kwenda

ningeshanga kama ungeongea kinyume na ulivosema!
ANTI LOWASSA..
MZEE WARIOBA ANAKUITA.
 
Lowasa hawezi kuteuliwa kugombea Urais kwa tiketi ya CCM labda huko UKAWA anakopanga kwenda

Mbona mnahangaika sana mwaka huu,si mkae kimya tuone hapo dodoma patakavyokuwa?bila LOWASA ccm ni opposition tangu dec this year
 
Huo ni mtazamo wako. Ila Lowasa kuwa Rais no no no noooooooooo!

Huo ni mtazamo wako ila LOWASA ndo rais wa awamu ya tano ya tanzania,mtalia, mtaruka but mzee wa mvi ndo mambo yote,ningeshauri muanze kujiandaa kisaikologia nyie ambao mnamchukia jamaa mjilazimishe kumpenda kama tunavyofanya na sisi kwa profesa KILAZA
 
Tunamtaka Lowasa asipopitishwa kura yangu kwa UKAWA
 
mtauana bure jamani , rais 2015 atatokana na UKAWA tu na wala si kwingine , mmeshindwa miaka 60 mtaweza miaka mitano ?
 
Back
Top Bottom