Tanzania ya sasa imebadilika sana hivyo inahitaji siasa zenye mabadiliko na zenye tija. Mwenendo wa siasa za Lema anazozifanya Jijini Arusha ni ishara mbaya sana na itakuja kumpa wakati mgumu sana uchaguzi ujao
Lema amesahau kuyaubiri maendeleo kwaajili ya jimbo lake zaidi anashinda kupiga kiburi na kejeri dhidi ya mkulu na hii itamshusha sana Lema kwani kayasahau maendeleo na wananchi wanapata shida wanahitaji huduma yake huku yeye kawatelekeza akipambana na mkulu wa nchi!
Siasa za Arusha zimebadilika, CCM wamejiimarisha kumwangusha Lema na kwa hili watafanikiwa kwani lema ameshindwa kwenda na wakati sasa
2020 ndio utakuwa mwisho wa tambo kiburi na kejeri toka kwa mbunge huyu asiyekuwa na maendeleo kwa wananchi
Siasa safi ndio zipi? Hii nchi bado maskini sana na tuambie inaongozwa na chama kuanzia uhuru! Watanzania watapiga hatua kubwa siku wakiachana na hiki chama.hivo ndivo zilivo akili za Team Wema
hawachagui viongozi makini ,bali wanachagua ilimradi wakomeshe ccm...
na kuendeleza siasa zisizo na mpango!
huku kwetu kubenea hajaja hadi leo. na kampeni hakupiga
Umetumwa pole sanaMwisho wa Lema ni hadi ndoto itakapotimia.
Mwisho wa Lema ni hadi ndoto itakapotimia.
So what?hivo ndivo zilivo akili za Team Wema
hawachagui viongozi makini ,bali wanachagua ilimradi wakomeshe ccm...
na kuendeleza siasa zisizo na mpango!
huku kwetu kubenea hajaja hadi leo. na kampeni hakupiga
nenda kwa mkurupukaji ukachukue mshiko wako.ccm isubiri kupatwa kwa jua na ndio utakuwa mwisho wa ukuu wa ukijani.siku iliyonenwa na nabii i karibu.!Tanzania ya sasa imebadilika sana hivyo inahitaji siasa zenye mabadiliko na zenye tija. Mwenendo wa siasa za Lema anazozifanya Jijini Arusha ni ishara mbaya sana na itakuja kumpa wakati mgumu sana uchaguzi ujao
Lema amesahau kuyaubiri maendeleo kwaajili ya jimbo lake zaidi anashinda kupiga kiburi na kejeri dhidi ya mkulu na hii itamshusha sana Lema kwani kayasahau maendeleo na wananchi wanapata shida wanahitaji huduma yake huku yeye kawatelekeza akipambana na mkulu wa nchi!
Siasa za Arusha zimebadilika, CCM wamejiimarisha kumwangusha Lema na kwa hili watafanikiwa kwani lema ameshindwa kwenda na wakati sasa
2020 ndio utakuwa mwisho wa tambo kiburi na kejeri toka kwa mbunge huyu asiyekuwa na maendeleo kwa wananchi
kama ulivyokosa hamu siku ya harusi labda!!Ni kweli mkuu, binafsi nimeliona hilo Arusha wamemchoka kabisa Lema, hawana hamu naye.
Ndoto yako hii haina tofaut na ndoto ya Lema.............Tanzania ya sasa imebadilika sana hivyo inahitaji siasa zenye mabadiliko na zenye tija. Mwenendo wa siasa za Lema anazozifanya Jijini Arusha ni ishara mbaya sana na itakuja kumpa wakati mgumu sana uchaguzi ujao
Lema amesahau kuyaubiri maendeleo kwaajili ya jimbo lake zaidi anashinda kupiga kiburi na kejeri dhidi ya mkulu na hii itamshusha sana Lema kwani kayasahau maendeleo na wananchi wanapata shida wanahitaji huduma yake huku yeye kawatelekeza akipambana na mkulu wa nchi!
Siasa za Arusha zimebadilika, CCM wamejiimarisha kumwangusha Lema na kwa hili watafanikiwa kwani lema ameshindwa kwenda na wakati sasa
2020 ndio utakuwa mwisho wa tambo kiburi na kejeri toka kwa mbunge huyu asiyekuwa na maendeleo kwa wananchi
katafute maana ya siasa na upinzaniSo what?
Nafananisha uwezo wako wa kufikiri na NZI WA CHOONI mwenye rangi ya KIJANI.Tanzania ya sasa imebadilika sana hivyo inahitaji siasa zenye mabadiliko na zenye tija. Mwenendo wa siasa za Lema anazozifanya Jijini Arusha ni ishara mbaya sana na itakuja kumpa wakati mgumu sana uchaguzi ujao
Lema amesahau kuyaubiri maendeleo kwaajili ya jimbo lake zaidi anashinda kupiga kiburi na kejeri dhidi ya mkulu na hii itamshusha sana Lema kwani kayasahau maendeleo na wananchi wanapata shida wanahitaji huduma yake huku yeye kawatelekeza akipambana na mkulu wa nchi!
Siasa za Arusha zimebadilika, CCM wamejiimarisha kumwangusha Lema na kwa hili watafanikiwa kwani lema ameshindwa kwenda na wakati sasa
2020 ndio utakuwa mwisho wa tambo kiburi na kejeri toka kwa mbunge huyu asiyekuwa na maendeleo kwa wananchi
Na kweli haijui Arusha vizuri huyu, Ccm kwa Arusha bado sana ,Cdm itadumu sana kwa ArushaNadhani wewe unaishi Koromije au Bahi huwajui watu wa Arusha,mtu yoyote atakaepitishwa na Chadema awe Lema awe nani hata jiwe, ataishinda chama cha Magufuli
Suala lipo kwa uongozi wa CDM na si vinginevyo