Ukweli mchungu, Lema mwisho wake 2020

Kuwa Mtumwa wa Wema kubaya sana!
unajikuta una panic kwa manufaa ya Mbowe! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].....


My friend you need Jesus !!!!
alokwambia A,Be na Che nani?!!!!
Em fanya yako [emoji41] sipigizani kelele na TeamNyumbu
Wallah weye washangaza kweli. Umeanzisha malumbano ambayo huna hoja ya kuyatetea? Lema atatoka Arachuga halafu watu wawe wakiwa? Hebu sit down there and have a coke, please! Nani amekutuma kuandika senseless idea of all time, dear you? Usibishie kiuno mkuu wangu mpendwa. You have to be reasonable and to a very point! [emoji120] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
 
Pole Sana Arusha wanajielewa Sana lema ni mbunge wa maisha
Mwisho wa Lema ni hadi ndoto itakapotimia.
 
mimi & wewe nani kaanzisha malumbano?
 
Ccm haitaweza kumpata Nyerere mwingine.
 
Watu wa dizaini hii ndio wale wanaoamini kwamba maendeleo ni kupewa kofia, kanga, tisheti na wali
 
Acha u ccm humu ndani kwa kumsakama Lema Jimbo hilo Kama ni ccm walilikalia Sana kipi cha ajabu kililetwa. Haya ni maisha cyo kumuombea mabaya mwezio mda wote. Kagombee wewe basi wala usisingizíe ccm. Wabunge wangapi wapo mjengoni kwa miongo Sasa hawana mapya. Unachuki binafsi na Lema
 
Mkuu wangu, usitahayari. Nipo na weye bega kwa bega. Una point nzuri ila nilikuwa nakupa changamoto tu. Peace! [emoji120] [emoji13]
akhaa mimi sinaga hasira.
ya nini nijitese kwa mambo yapitayo, niukunje uso nishindwe kupika nikala nikawa na baby face kisa hasira.....[emoji4]
halafu tunaowagombea hawatujui....
hapana ,hapa nataka nile ugali niongeze nguvu!!
peace & love
 
akhaa mimi sinaga hasira.
ya nini nijitese kwa mambo yapitayo, niukunje uso nishindwe kupika nikala nikawa na baby face kisa hasira.....[emoji4]
halafu tunaowagombea hawatujui....
hapana ,hapa nataka nile ugali niongeze nguvu!!
peace & love
Owkay! Wakati ni huu mwanangu! Hebu tubadilike. Tanzania ni moja ila ina mchwa balaa. Badilika
 
chali angu sisi si mamurere jomba hata mbwa tutampa na si kuzinabo yeyote.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…