Ukweli mchungu, Lema mwisho wake 2020

Yani kama ww umeweka avatar ya mwanaume unayempenda ili akukune vzr.et babel!!!
 
kwa siasa za arusha lema is the best, kama ni mbinu za kumng'oa sidhan kama ipo ambayo ccm hawajawahi tumia.
I do not belong to any party but i must admit that lema has has overcome ccm
 
Nahisi kama lema asingekuwa hivyo alivyo ccm wangeshachukua hilo jimbo kitambo, na kama mbinu ya ccm ni kumuweka ndan lema its a grave mistake since they are making him more popular,
 
Weeeeeeeeeeeeeeeee, inaeleka huwajui watu wa AR. uwaambii chochote kwa Lema. kwao wao ni kama vile uji na mgonjwa.
 
Asavali ya nyumbu sio waoga kuliko DAUDI BASHITE [emoji778] muoga mpaka amelikimbia[emoji125] jiji.
Vipi anarudi lini kutoka mafichoni[emoji196] [emoji216] [emoji107]

Sent from my SM-J110F using JamiiForums mobile app
Jamaa ameshindwa kutimiza ule usemi usemao mwanaume rijali hakimbii tatizo bali hulitatua
 
Subiri nijielekeze viwanja vya shule ya Msingi Ngarenaro nikampe support Kamanda Lema.
 

Nasikia Gambo amelazwa hoi baada ya kusikia Lema yupo A town.Kamsaidie kwanza.
 
hivo ndivo zilivo akili za Team Wema
hawachagui viongozi makini ,bali wanachagua ilimradi wakomeshe ccm...
na kuendeleza siasa zisizo na mpango!

huku kwetu kubenea hajaja hadi leo. na kampeni hakupiga
Unataka aje kukutekea maji? Ofisi yake huijui? Kwenye mikutano huwa unaenda? Hata mikutano ya mtaa tu huendi, halafu unataka umuone Kubenea. Unaipenda miwani yake? Hopeless material!
 
 

Attachments

  • tmp_4841-IMG-20170310-WA0068718563932.jpg
    130.4 KB · Views: 40


https://www.facebook.com/photo.php?fbid=746930222127674&set=pcb.746930258794337&type=3
 

Kwa maana hiyo mumejipanga kumnyofoa roho yake?
 
Ccm tumejiimarishaa kwelii kwakugawa piki pikii ilaa leoo nashangaa cjuii zilifata nini mahakaman na leoo naona zote zinaelekea ngarenaro
 
Team wema mna jazba...
mpaka unaonge vitu usivovifahamu..
nani kakwambia mikutanoni siendi, kwa taarifa yako naishi karibu na uwanja wa mikutano!

ukweli lazima muambiwe!!!!
stupid a s.s nigga[emoji41]
Nenda kwenye mikutano na utoe hoja zinazokutatiza. Hadithi za viingereza vya basketball peleka Sinza. Sijui umenisifia au umenikandia utajijua. A simple freak as twice as you can be! [emoji120] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
 

wana arusha hawaletewi maendeleo na mtu Bali wanajiletea wenyewe kwa kujituma,hawakuwahi kujengewa nyumba za kuishi wala kununulia magari,ni wachakarikaji,na usidhani kuna mtu anaweza kumtoa Lema pale arusha,Lema ni kati ya wabunge mashujaa na mwanaume wa kweli
 
Ingekua huko mtera, bahi, kongwa, lindi, wala nisingepoteza muda kuandika hapa, sehemu ambayo hamna hata diwani 1 mnahitaji miaka mingine 20 kupata mbunge.
 
get well soon!!!!!!!
Wema kakubomoa kichwa kabisa!!!!
Low ass puta"[emoji23][emoji23][emoji23]

waambie CDM walete hoja za msingi majimboni huku! sio kuacha wafuasi wake wanatupigia kelele Jf!
Aaaa bora kuwa a fine azz hole unayejitambua kuliko weye zubezube ambaye huna lila wala fila! [emoji120] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…