Ukweli mchungu , lazima usemwe

Ukweli mchungu , lazima usemwe

Jack Daniel

JF-Expert Member
Joined
Sep 23, 2021
Posts
4,042
Reaction score
16,872
Tuangalie mambo ambayo ni ya kweli ila yanapindishwa ili tu kupata faraja na huruma Kwa baadhi ya watu.

1.Dini ,manabii ,wachungaji na masheikh.

Hawa kuna namna wameushikilia ulimwengu,licha ya kuwepo watu wachache wenye uelewa wa huu utapeli lakini bado most of them huwaambii kitu kuhusu hizi dini wapo tayari kufa,kuua au kufanywa chochote lakini siyo uwaambie dini ni utapeli.

2.Waganga wa kienyeji.

Hawapo nyuma Sana,hawa watu,hata Mimi wamenilia pesa zangu nyingi,hadi nilipofunguliwa macho na wasomi kuwa , matatizo, shida,na misukosuko yote ni matokeo ya mtindo wa maisha huwezi kuepuka matatizo.

KUNA HII HAPA PIA

1.Wanawake wazuri.

Kuna dhana ipo ,eti uzuri wa mwanamke ni tabia,hii ni big No ,kama ambavyo ukiwa na pesa utataka ununue kitu kizuri chenye muonekano basi hivyo hivyo mwanamke mzuri mrembo ni ndoto ya kila mwanaume kwakuwa hatuwezi kuwapata tunaishia kujifariji kwamba ,kuna blackbeaty sijui nini. Kitu kizuri lazima ujidai nacho ,ukiwa na Gari zuri ,utatamba nalo barabarani,ukiwa na simu nzuri ni rahisi kuitoa hata ukiwa public bila wasiwasi. Vile vile mwanamke mzuri ni rahisi kutambulishika Kwa wana.
Kuna watu hawajawahi kuongozana na wake zao popote pale,

2.Wanaume wenye muonekano

Kuna mwanaume mzuri?
Kwa haraka wanaume watakwambia hakuna.(Utasikia labda shoga hilo)

Ila wanaume wazuri (handsome) wapo na mara nyingi kila kitu kwao ni kirahisi kukipata

Kuna watu wamepata kazi nzuri si Kwa taaluma zao bali muonekano wao.

Pamoja na kuandamwa kwamba kila mwanaume mzuri ni lazy lazy, bishoo ,hawezi show kitandani hizi ni mambo za kujifariji tu Kwa wenye Sura pasono.

Wanawake wenyewe wengi wanapenda wanaume wazuri, wanaamini watazaa watoto wazuri,
Lakini pia ma HB wengi ndiyo wanaopendwa na mashangazi,ni rahisi mwanaume kuhongwa kitu cha gharama kabisa .

Lakini wakati mwingine ni rahisi kujipatia pesa kirahisi kutokana na ushawishi

Kimbilio pekee la wenye Sura pasono ni kuwa na pesa,lakini pia hutopata mapenzi ya asili Sana Sana utaishia kununua tu kwanini hutopendwa wewe bali pesa zako,hebu fikiria mpo kwenye sherehe ,kongamano,au hafla fulani lakini mkeo kaketi upande wake na wewe upo mbaaali ,ni ngumu watu kujua wewe na yeye ni mke na mume.mnakwepana kama sumaku,muda wa chakula umefika mkeo anakutext badala ya kukuita.

Ikitokea mashoga zake washajua wewe ni mume wake ,basi atajishaua Kwa kukusifia kinafiki

Utasikia huyu ndiyo my king,yaani michango ya hii shughuli nisingefanikisha bila yeye,hata ile Gari ya rangi fulani kwenye parking ni yetu.

Hii ni tofauti Kwa Hb,huyu watagandana mno Kwanza mke hatumii nguvu kukutambulisha ,yeye ni kudeka tuu akiwa na wewe ,muda wote anahisi kuibiwa.

Tahadhari...,..............

Mwanaume Hb ni rahisi kufa,kupotezwa hata kufanywa vibaya kama atatumia uzuri wake vibaya ,Kwa wake za watu ,kutapeli n.k

copy and paste.
 
Hayo mambo ni huko kwenu nyie was wahi sisi wahadzabe wala hayatuhusu kabisa.
 
Mwamba yupo brainwashed na rangi nyeupe kinouma.
Napenda wanawake wazuri siyo warembo,

Mwanamke mwembamba ,mwenye macho makubwa,awe mrefu uzuri wa asili,asiwe na pua ya kibantu ,halafu awe msomi kiasi,basi anaweza kunifilisi muda mfupi tu
 
Ukiachana na mengine. Seriously unataka kusema wanawake weusi sio wazuri au hakuna wanawake weusi wazuri?
 
Back
Top Bottom