Mangwea1900
JF-Expert Member
- May 29, 2025
- 2,485
- 3,224
1. Kuwa mwangalifu na afya yako siku zote.
2. Jiwekeze kiuchumi kwani fedha itakuwa msaada wako umri ukienda.
3. Umri ukienda sana thamani inategemea hali yako ya kifedha.
4. Umri ukishaenda hakuna atakayekuajiri.
5. Watoto ulio nao wote wapi tayari kukaa na mama yao akiwa mzee kuliko wewe.
6. Ukimsamehe mwanamke uliyemfumania mwanamke huyo anakuona wewe fala.
7. Ukiwa na fedha hakuna mwanamke atakayekukimbia wala kukuvunjia heshima kiboya.
8. Ukiwa huna hela mke wako ataliwa chumbani na kitandani kwako.
9. Mali zako unazotafuta zitakuwa salama kwa watoto wako kuliko mke wako, waandae watoto wako.
10. Ukimwambia kila kitu mke wako ujue umejimaliza.