kookolikoo
JF-Expert Member
- Mar 9, 2012
- 2,800
- 694
Kweli. Tunampandisha chati bure!
Aslam alykum wanajf,
*Tangu nimepangwa kufundisha shule moja iramba ktk kijiji alichozaliwa mbunge wa jimbo la iramba magharibi,kijiji cha makunda,nimeendelea kumlaumu mungu kwanini amenichagua kuwa mwalimu tena ktk wilaya hii ambayo hakuna maendeleo hata kidogo,
sasa kwa akili yako finyu ivi, kwanini watoto wetu wasipate zero??? na utamlaumu mungu sana kwa sababu hujui unachokifanya...mungu amekuchagua wewe kuwa binadamu mwenye akili lakini wewe mwenyewe kwa ujinga wako ndio umechagua ualimu, fani ambayo wengi tunaipenda kwani ndio ufunuo wa maisha.

*ktk kijiji hiki cha mwigulu hakuna umeme,hakuna maji safi na salama,hakuna hata zahanati,kuna barabara mbovu,exactly hakuna cha maendeleo hapa nyumbani kwa mwigulu,
*Zaidi ya yote ikanibidi nifatilie maisha binafsi ya mbunge wa huku kiukweli ni hatari,;mwigulu hana nyumba hapa makunda ila akija anapumzikia kwenye nyumba ya kaka yake,nyumba ya kaka yake ndio ina solar kijiji kizima hivyo tunachaji simu zetu hapa kwa shs 1000,
>MWIGURU ALIWAHI KUPATA KICHAA;Mhe mwigulu alisoma mpaka darasa la tano na kisha kuachishwa shule kutokana na tatizo la akili lilokuwa linamkabili,Baada ya kuacha masomo alipotea kijijini hapo kwa miaka kadhaa na akakamatiwa ktk pori la misigiri,pori ambalo linahistoria ya kuwa kambi za majambazi wateka magari.

Amshukuru Mungu kama siyo Mwigullu hata simu asingekuwa anachaji

kutumika kwingine bwana. na wewe unajiita mwalimu? au ndo unathibitisha kuwa chadema wana mkakati wa kuporomosha kiwango cha elimu kwa kuwaingiza vijana wao katika sekta ya elimu ambao badala ya kutekeleza majukumu yao wanafanya kazi za kichama zaidi. kimboka kwa post yako hii unajivua chupi
Hakuna haja ya kubishana na mleta maada huo ni uthibitisho tosha , kwani Mwigulu ana akili nzuri ? hajengi hoja hata siku moja kazi yake kuropoka tu
Uajua akina MBATIA wanapiga kelele za kuporomoka kwa kiwango cha elimu, lakini ukweli hawawaujui, hawa CADEMA wanajitahidi kuweka mamluki lakini wakishtukiwa watakuwa wanatimuliwa na wanafunzi na salama yao itakuwa ni kukimbilia vituo vya polisi.
Na wewe unaamini mleta mada ni mwalimu? asije akawa ni ndugu yake na mwenyekiti wa chama fulani cha siasa huko kaskazini nasikia anafanya biashara haramu ya kupigisha simu za tigo. Na anatumika sana.Kwao hamna umeme?
Ndo maana wanahamia mjini!
Sasa kuchaji simu buku mwezi si mshahara woote unaishia huko.... Pole sana ccm hoyee!
Aslam alykum wanajf,
*Tangu nimepangwa kufundisha shule moja iramba ktk kijiji alichozaliwa mbunge wa jimbo la iramba magharibi,kijiji cha makunda,nimeendelea kumlaumu mungu kwanini amenichagua kuwa mwalimu tena ktk wilaya hii ambayo hakuna maendeleo hata kidogo,
wewe ni mzushi, muongo na mpotoshaji mkubwa..mwigulu amezaliwa kijiji cha ulemo
MKUU MWIGURU MCHEMBA KAZALIWA HAPA MAKUNDA NA KAKULIA HAPA.
Aslam alykum wanajf,
*Tangu nimepangwa kufundisha shule moja iramba ktk kijiji alichozaliwa mbunge wa jimbo la iramba magharibi,kijiji cha makunda,nimeendelea kumlaumu mungu kwanini amenichagua kuwa mwalimu tena ktk wilaya hii ambayo hakuna maendeleo hata kidogo,
*ktk kijiji hiki cha mwigulu hakuna umeme,hakuna maji safi na salama,hakuna hata zahanati,kuna barabara mbovu,exactly hakuna cha maendeleo hapa nyumbani kwa mwigulu,
*Zaidi ya yote ikanibidi nifatilie maisha binafsi ya mbunge wa huku kiukweli ni hatari,;mwigulu hana nyumba hapa makunda ila akija anapumzikia kwenye nyumba ya kaka yake,nyumba ya kaka yake ndio ina solar kijiji kizima hivyo tunachaji simu zetu hapa kwa shs 1000,
>MWIGURU ALIWAHI KUPATA KICHAA;Mhe mwigulu alisoma mpaka darasa la tano na kisha kuachishwa shule kutokana na tatizo la akili lilokuwa linamkabili,Baada ya kuacha masomo alipotea kijijini hapo kwa miaka kadhaa na akakamatiwa ktk pori la misigiri,pori ambalo linahistoria ya kuwa kambi za majambazi wateka magari.
teh teh teh, kumbe imebidi watume watu kijijini kwake ili wamchafue? Kazi kweli kweli, sasa nimeanza kuamini kuwa mwigullu ni mwiba kwa cdm, awe , mwangalifu isijekuwa huyu jamaa ameongozana na kijana wa sumu a.k.a bws