akilinene
JF-Expert Member
- Aug 2, 2021
- 514
- 433
- Thread starter
- #21
Ndiyo maana nasema hoja yao ya katiba mpya wananchi wanaipuuza. Wao wenyewe hawaheshimu demokrasia hata uhuru wa mahakama.Hoja iliyowapa umaarufu ni kupinga ufisadi,tangu Lowassa wampokee wamekuwa hawaeleweki wanasimamia Nini hasa.
Ukisema demokrasia wanapigania itakuwa utani,maana ndani ya chama Mbowe haguswi.
Walisema katiba! ya kwao ndo kichefuchefu Mwenyekiti ni Yule Yule mkwilima.
Ukimsikia Mnyika leo unaona kabisa ama uelewa wake ni mdogo sana au kutapataka kwa kiumbe kabla ya kukata roho .