Prince Kunta
JF-Expert Member
- Mar 27, 2014
- 22,869
- 29,031
Wee jamaa watu wakubwa wanakuambia hujielewi wew bado unahisi unajielewa tu? Unadai mtu akifeli ndo anaenda somea ualimu kwa maana hiyo kuna chuo kinafundisha watu walofeli kuwa walimu? Chuo gani labda? mwalimu najua anajua zaidi ya dent kila level mpaka unamaliza PHD bado utafundishwa tu.inaelekea ulifeli ww so unawaonea gele walimu shame on yuhNi nani aliyepata À mathematics au À chemistry ni mwalimu, walimu wengi ni watu waliofeli darasani, Mtu akishindwa Maisha anakimbilia kusoma ualimu apate ajira mapema
Mwalimu gani hata uandishi hujui, ahaaa nyie ndio mnafundisha kiswahili kumbe nako ni Janga, Mwalimu hajui jinsi ya kutumia alama ya kuulizaWee jamaa watu wakubwa wanakuambia hujielewi wew bado unahisi unajielewa tu? Unadai mtu akifeli ndo anaenda somea ualimu kwa maana hiyo kuna chuo kinafundisha watu walofeli kuwa walimu? Chuo gani labda? mwalimu najua anajua zaidi ya dent kila level mpaka unamaliza PHD bado utafundishwa tu.inaelekea ulifeli ww so unawaonea gele walimu shame on yuh
Walitoka mbinguniSasa hao waliochukua engineering na commerce walifundishwa na nani?!
KabisaNi muhimu kupitia mifumo ya kupata hawa walimu wanazidi kutuharibia Taifa, Mwalimu anashindwa kutofautisha r na L, hao watoto mnaofundisha mnajenga taifa la vituko
Ualimu na walimu unaowabeza ni wapi? Walokufunza awamu, sing it, sekondari, chuoni au chuo Kikuu? Wote hawa ni walimu pamoja na kupewa majina yenye maana hiyohiyo kama vile profess, mhadhiri, mkufunzi na mwalimu moja kwa moja. Hao wote walifeli?Watu wengi ambao hawakusoma ualimu ndio wanaojua vizuri masomo ya hisabati, kemia na biolojia, Tatizo mfumo uliopo ndio uliwafanya wasome kozi zingine, Ukichukua watu waliosoma Engineering au Commerce wapo vizuri kwenye hesabu kuliko walimu waliosomea darasani.
Hivyo hawa walimu tulionao wa Science wengi ni vilaza sana, Fuatilia masomo ya kidato cha tano wengi hufundishwa na watu ambao hawana mpango wa ualimu na wapo vizuri, Naunga mkono serikali ikague vyeti vyao walipata nini huko sekondari, utawezaje fundisha hesabu kidato cha sita wakati ulipata herufi za mwisho darasani.
Mungu atakulipa hatimaeNimesoma huu Uzi hadi nafsini nimehuzunika sana hivi ninavo hangaika na watoto wa maskini wezangu niwape maarifa,hivi ni nilivo kubali kufanya kazi kwenye mazingira magumu, lakini bado kuna MTU ananituka na kunikejeli kweli duniani kuna wenye akili hao mungu amewapangia kazi za kuwahudumia wenye akili wenzao
Kwa kuwa mnaenda kufundisha hayo masomo ya science, Interview zenu serikali inabidi iwapime kwa mitihani ya masomo ya secondary mtakayofundisha, Zifanyike interview zaidi ya mbili kuchuja walimu wa Science ngano na makapi, mtaumia ila ndio ukweli, mlisomo kulenga ajira za fasta Lakini uwezo mdogo.hujielewi ww naisi uliugua kichaaa ,bdo hujapona vzr
Hizo dimension yakupasa uzionyeshe kwenye interview za masomo mtakayopewa, Naunga mkono hoja ya serikali ya kuwachuja kwa interview iwe ya mitihani ya secondary, Ukishindwa sasa ukatafakari hizo strategies Nyumbani kwakoUalimu na kufundisha sio shamba la mchicha unaamka asubuhi unanyweshea tu ualimu ni components nyingi kuna theory zake na strategies zake ndio maana kwa wanataaluma ualimu ni mfumo wa maisha wenye dimensions zake hao wa mitaani ndio huzaa half baked intellectuals be careful.
Inaelekea mtoto wa dawa ww maana huelewi inatakiwa ufanyiwe psychological councellingHizo dimension yakupasa uzionyeshe kwenye interview za masomo mtakayopewa, Naunga mkono hoja ya serikali ya kuwachuja kwa interview iwe ya mitihani ya secondary, Ukishindwa sasa ukatafakari hizo strategies Nyumbani kwako
Duh! Tuko vizuri jamani ama mnataka tuwaoneshe kwa namna gani kuwa tumepikwa tukaiva kuliko mnavyodhania? Tatizo watu wanadhani kujua kwa mfano Physics ni kusolve matango! Now days ni concepts hapo ndio ujuvi wa Physics upo!Tatizo kile chuo cha Teofil kisanji kilikuwa kinasajiri kila mwalimu shame on you science teachers
Hivyo vichwa vilifundishwa na nani? Au vilitokea tu kuwa vichwa havikupitia Shule?Sio siri kila mtu anajua vichwa wote waliosoma PCM wanaenda engineering na wale wa PCB wanaenda udaktari.