Ualimu ni zaidi ya content, ualimu unahusisha maisha kwa ujumla. Kazi rahisi ni ile usiyoifanya.Watu wengi ambao hawakusoma ualimu ndio wanaojua vizuri masomo ya hisabati, kemia na biolojia, Tatizo mfumo uliopo ndio uliwafanya wasome kozi zingine, Ukichukua watu waliosoma Engineering au Commerce wapo vizuri kwenye hesabu kuliko walimu waliosomea darasani.Hivyo hawa walimu tulionao wa Science wengi ni vilaza sana, Fuatilia masomo ya kidato cha tano wengi hufundishwa na watu ambao hawana mpango wa ualimu na wapo vizuri, Naunga mkono serikali ikague vyeti vyao walipata nini huko sekondari, utawezaje fundisha hesabu kidato cha sita wakati ulipata herufi za mwisho darasani
Sasa hao waliochukua engineering na commerce walifundishwa na nani?!Watu wengi ambao hawakusoma ualimu ndio wanaojua vizuri masomo ya hisabati, kemia na biolojia, Tatizo mfumo uliopo ndio uliwafanya wasome kozi zingine, Ukichukua watu waliosoma Engineering au Commerce wapo vizuri kwenye hesabu kuliko walimu waliosomea darasani.Hivyo hawa walimu tulionao wa Science wengi ni vilaza sana, Fuatilia masomo ya kidato cha tano wengi hufundishwa na watu ambao hawana mpango wa ualimu na wapo vizuri, Naunga mkono serikali ikague vyeti vyao walipata nini huko sekondari, utawezaje fundisha hesabu kidato cha sita wakati ulipata herufi za mwisho darasani
Ukweli mchungu walimu wengi ni vilaza sana, watoto wengi hufaulu masomo ya science wakifundishwa mitaani na watu ambao sio walimu, walimu wengi walipata madaraja ya mwisho hata masomo wanayofundisha wengi walifeliCjui hayo mawazo yametoka kwenye ubongo wa mnyama yupi anyway
Hii ishu ya kuajiri walimu wote ndio imetufikisha hapa, kuna wengine wengi hawajielewi mtu hesabu alipata E form Six eti aende akafundishe hesabu wakati yeye alifeli ni ujinga uliopitiliza, Bora mtume vyeti vilaza wachujweUnafikiria kwa kutumia kiungo gani?Ubongo upo likizo?