Una tamaa ndio maana umeuliza. Ni kama binti mwenye mimba akimuuliza rafiki yake "niitoe?" hapo anakuwa ameishapanga aitoe ila anatafuta justification ili baadae mambo yakienda sivyo ajifariji na "lakini si hata fulani alishauri niitoe, bahati mbaya tu".Ningekua na tamaa nisingeuliza mzee
Okay.Una tamaa ndio maana umeuliza. Ni kama binti mwenye mimba akimuuliza rafiki yake "niitoe?" hapo anakuwa ameishapanga aitoe ila anatafuta justification ili baadae mambo yakienda sivyo ajifariji na "lakini si hata fulani alishauri niitoe, bahati mbaya tu".
Mtu ambaye hana tamaa na anatumia akili sawasawa hawezi nunua kina market value ya 6M yeye auziwe na duka linalofanya biashara kwa 2.6M. Duka sio la baba yako, huyo anayeuza hakujui wala hajawahi kukuona. Kwanini uhisi anakupenda sana?
Sio wewe wanaopigwa huwa wanapgwa sababu ya tamaa zaoNingekua na tamaa nisingeuliza mzee
Hv huwez kumjib mtu kitaarabu tuu… hiyo mifano y mimba kwny swali uliloulizwa n mwanaume mwenzako ww unaona imekaa poa.Una tamaa ndio maana umeuliza. Ni kama binti mwenye mimba akimuuliza rafiki yake "niitoe?" hapo anakuwa ameishapanga aitoe ila anatafuta justification ili baadae mambo yakienda sivyo ajifariji na "lakini si hata fulani alishauri niitoe, bahati mbaya tu".
Mtu ambaye hana tamaa na anatumia akili sawasawa hawezi nunua kina market value ya 6M yeye auziwe na duka linalofanya biashara kwa 2.6M. Duka sio la baba yako, huyo anayeuza hakujui wala hajawahi kukuona. Kwanini uhisi anakupenda sana?
Mshamba ni wewe hapo. Kitu market value ni 6M alafu mtu anatokea mtandaoni ambapo humjui na physical address hujui anakwambia 2.5M nawewe unakubali kama sio ufala ni nini?Hv huwez kumjib mtu kitaarabu tuu… hiyo mifano y mimba kwny swali uliloulizwa n mwanaume mwenzako ww unaona imekaa poa.
Zen unamlazimisha akubali kuwa anatamaa, nahc angekuwa n tamaa angefanya maamuz bila kupita hapa kwa ushauri…
Tusiwe wajuaji sn kunawakati inabid tubakishe ushamba kidogo.
Mm nazungumzia approch yako kwny attemp ya swali…Mshamba ni wewe hapo. Kitu market value ni 6M alafu mtu anatokea mtandaoni ambapo humjui na physical address hujui anakwambia 2.5M nawewe unakubali kama sio ufala ni nini?
Unataka udekezwe ili uibiwe. Basi wewe sio mshamba mwambie OP akupe details ulipie hiyo hela upate pikipiki maana kusikia kwa kenge mpaka damu zimtoke.