Ukweli kuhusu wewe na dunia

Wewe na Annael ni miungu sio?.huyo Mungu aliyewazaa kazalishwa na nani?
Ndhani ungefuatilia vizuri hii thread ungeelewa tunaongelea nini. Mambo ya kuzaa na kuzalishwa hayo ni mambo ya reproduction. Ni mambo ya kimwili zaidi sio ya kiroho.
 
Annael

Kama wazazi wako hawakukupa intro kuhusu Mungu aliye Hai. Na kama wewe mwenyewe katika kukua kwako hukuwahi kusikia kuhusu Mungu aliyehai then in a glimpse siwezi sema kitu. But the name fool still stands.
 
Annael

Kama wazazi wako hawakukupa intro kuhusu Mungu aliye Hai. Na kama wewe mwenyewe katika kukua kwako hukuwahi kusikia kuhusu Mungu aliyehai then in a glimpse siwezi sema kitu. But the name fool still stands.
Tatizo lako huenda unataka kulazimisha ulichoaminishwa na wazazi wako. Mambo ya kuhusu uwepo wa mungu ni ya kwako na sitataka kukuingilia ila ninaeleza ninachokijua. Kwahiyo the word fool sijui huwa unalitumia ukimaanisha nini. Samahani.
 
Annael

You are a fool. A very nice fool. Ask who made u r ass.

huyu unaemwambia fool kwa views zake ni kosa kubwa sana... unajua ni kwanini???
siku zote mtu mwenye hekima humtoka maneno ya hekima na hata vivyohivyo mkarimu, ingekuwa ni busara sana kama ungetoa hoja ambayo ingefanya aonekane fool, we unafikiri kwa kwenda bar na sehem za anasa na kuwaambia wahusika ni fool unadhani kutawakomboa?++.... .. . zaid zaid utakuwa unathibitisha kuwa we ndo fool mbele yao kama ulivyofanya hapa#
 
The only thing is to believe in Gog our Almight na kusimama ktk imani yako japo c mbaya kujua mambo mengine lkn ni mbaya kuyafuatilia maana shetani kabla ya kuangushwa alikuwa malaika wa ngazi ya juu hivyo ana mbinu nyingi za kumteka mwanadamu..shika sana ulicho nacho asije mwovu akakupokonya.
 

Una akili sana ukiacha pombe. Sasa amua kuwa kuanzia leo utaanza kutoa elimu ya bure kwa wote wenye tabia ya kuwavunjia wenzao heshima eti kwasababu wametofautiana kiimani. Kabla sijasahau, Kesho usisahau kwenda kumpa Lowasa kura yako ya ndio.
 

HV haya mambo ya mapenzi ya jinsia moja si ndo yanatokana na hii NWO Mkuu au?
 
Marry Christmas & Happy New Year..!!

 

Attachments

  • kiroba-dec12-2013.jpg
    13.7 KB · Views: 354

Ushetani tu huu
 
daah kumbe humu ndani kuna freemason new world order ni mpango wa kuiondoa dini ulimwenguni
 
NWO Nimpango Wa Freemason Ambao UtakaowezeshaDunia Yote Kuwa Nchi1 baada ya vita ya3 yaDUNIA kutokea Ambapo Kutakuwa Na Raisi1 na dini1 pia duniani kote kutakuwa na majimbo7. Dini itakayoabudiwa ni UKRISTO=(UBABELI +UPAGANI) ndo maana unaona POPE&UKRIRTO anapewa uzito mkubwa duniani.Na mkakati uliopo sasa ni kumtumia POPE kumkutanisha na viongozi wakubwa wa KIISLAM na kufanya ibada pamoja ili kutuandaa kisaikolojia na kuwa tayari kuupokea NWO.NWO Itakuja baada ya vita ya TATU(3) ya dunia.kuna vitu vingi vimeandaliwa tangu zamani na kivyovyote vile vitawezekana hamna wa kuvipinga ikiwemo kuuwa UISLAMU kwa kupandikiza\kutengeneza magaidi ili kuleta majanga dunia nzima mf.tukio lililotokea Paris Tegemea Kuona Matukio Kama Hayo Katika Nchi Ziloendelea Ambapo Dunia Nzima Tutaungana Kuwa Kitu Kimoja Kuupinga Ugaidi na uislamu utapata wakati mgumu sana na mwisho kufutika.iyo ni 0.01% ya plan zao kuelekea NWO baati nzuri nimefanikiwa kuwa na MSAAFU wao unaoitwa MORAL&DOGMA ulioandikwa NABII(wao) Albert Pike
 

Nitaupataje na mm huo msahafu wao
 
Singa Singa mpaka waje wakuelewe sijui , albert spike ana degree zote 33 kama miaka aliyekufa nayo yesu na miujiza 33 ya yesu, inshort nwo inahitaji watu billion moja tu ulimwenguni kuunda serikali moja yenye mikoa 7,jeshi moja na viongozi na watumishi tu,wameshaanza kukamilisha mipango yao na hata ufanyaje huwezi kukwamisha maana kwenye maandiko ipo,pope akitoka ambaye ni mtawala wa dunia nzima japo watu hawajui kwa ufalme wa sita atakuja dijal au antichrist ambaye ni mtawala wa ufalme wa saba ,ambayo 7 ni utimilifu wa mungu au mwisho hapo ndo atakuwa mkuu wa nwo au rais na utawala wake ,kwenye hiyo dunia ya mwisho kutakuwa hakuna dini bali sheria na amri tu,kununua na kuuza mpaka uwe na chipset au rfid chip ambayo ni 666 au mark of the beast hapo ndo dunia inapofika hatima baada ya vita ya watu wa mungu wataofufuliwa na hilo jeshi la dijal,wa mungu watashinda and go heaven na dijal na watu wake hell game over ,the bible shows kilakitu kinachoendelea ni kuisoma na kuelewa THE END IS NEAR Eiyer Ishmael
 
Last edited by a moderator:
Mafundisho mazuri mkuu ila umeniacha njiapanda kidogo ningependa unifahamishe vizuri... Binadamu ametokea wapi na nini hasa purpose ya binadamu kwenye maisha yake... You can't just live to die mkuu, hatuzaliwi ili tufe kuna purpose ya kuwa hapa duniani ambayo ningependa utufahamishe ni ipi kama si ile inayosemwa kwenye vitabu vya dini
 
Kumbe na Nyie mnajua kuwa mwisho umekaribia.
Nawasihi wateule tukae tayari tukeshe tukiomba ili akija tuvikwe mwili mpya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…