cyhper_kyrpton
Senior Member
- Jun 30, 2015
- 138
- 31
Kwahiyo mwanao akikuomba ruhusa amchinje mdogo wake unamruhusu tu kwavile kaomba? (utetezi wako hauna maana)
Swali ni kwanini hakuumba dunia isiyowezekana mabaya kufanyika? Mana angeumba dunia isiyowezekana kufanyika mabaya basi ni wazi kuwa hata shetani asingefikia hapo unaposema.
Narudia swali, Kwanini Mungu hakuumba ulimwengu ambao hayo mabaya hayawezekani kufanyika?
Mungu katuumba ni viumbe vyenye kutumia akili angetaka kutuumba tusitengeneze mabaya angetunyima akili km wanyama ana makusudio yake kufanya hivi
Humans are the only living things that have free will, use it wisely...and dont expect everything must make sense now...1+1 sasa hivi ni mbili lakin baadae unaweza ambiwa ni kumi na mmoja, busara inahitajika sana...katika kila system lazima kuna operator wa kuiendesha in case of the universe its infinity we are here the sun is there and everything its in place, earth haijawai kucollide na mwezi wala sayari yoyote...and the same iron that is in your bones its the same in every star in the universe...so who is control the universe? So let say every human is god and we dont know that, nani katufumba macho? Na nani katupa hii miwili (earthen vessel) ambayo lazima itakufa? Wanasayansi wamegundua kuna energy ambayo inacontrol everything in the universe but wameshindwa kuitambua kwa sababu our model dont work, mbona waliofunguka jicho la tatu wameshindwa saidia kutambua kama sisi kweli ni miungu!?
Your the image of the universe, but you can not be the universe
View attachment 300786
Mtu unaweza sema ilo ni jicho lakini hapana hiyo ni nebula in space inatokana na nyota kufikia mwisho wa maisha yake
Biblia na Quran zote zina ukweli ndani yake lakin umefumbwa...ukisoma kama gazeti lazima utaona ni kama hadithi
From my exprience, God and Satan exist no doubt but swali ambalo najiulizaga why we are here?
Kwahiyo hao watakaomkana ni kwa ushawishi wa nani? Huoni kama kumpa shetani nafasi ya kuwafanya watu watende uovu sio kitu kizuri? Mungu kama Mungu alishindwa kumuumba huyo shetani akiwa na tabia nzuri?
Mana mpaka hapo hujajibu swali la kwamba ni kwanini Mungu ameumba dunia ambayo mabaya ya kila aina yanawezekana kufanyika.
Kwani hakuwa na uwezo wa kutuumba na akili ila tukawa tunafanya mema tu?
dhumuni la akili ni kujitambua na hizi multichoices.ndomana hata hao wanasayansi wengine wamebuni silaha wengine wamebuni simu vinapotumiwa vibaya negative effects ni lazima.So suala la mabaya na mazuri linadepend na jinsi unavyotumia uwezo wa akili uliopewa na muumba.Mungu amempa akili za kutosha mwanadamu kiasi ambacho ana uwezo wa kupambana na vishawishi vya shetani.dah JIMENA
Free will ni gift tuliyopewa ambayo wengine wameshindwa itumia vizuri...amna kiumbe au mnyama yeyote ambao wanamapenz ya jinsia mmoja like output unaifanya input only human do that tena bora ingekuwa by default wengine by choice...God exist ahuitaji kusoma tu kuna vitu vingi vya kuona na kuelewa , sasa kusoma au kuelewa hupi ndo ukweli ni chaguo lako, kukaa nuetral ni chaguo lako, kusema wewe unaweza kuwa mungu ni chaguo lako na amekupa zawadi hiyo ambayo hata malaika hawana but haiwezi badilisha ukweli ukipotea shauri lako.....God is just!!
dhumuni la akili ni kujitambua na hizi multichoices.ndomana hata hao wanasayansi wengine wamebuni silaha wengine wamebuni simu vinapotumiwa vibaya negative effects ni lazima.So suala la mabaya na mazuri linadepend na jinsi unavyotumia uwezo wa akili uliopewa na muumba.Mungu amempa akili za kutosha mwanadamu kiasi ambacho ana uwezo wa kupambana na vishawishi vya shetani.dah JIMENA
Naomba nikujibu kwa kifupi tumalize. Wanaadam tupo duniani ktk mtihani tuliopewa na Mungu tumfuate yeye au shetani.
mi nahis ni mamlaka zinapigania watu, kumbuka huu ulimwengu ni wa shetani ambaye anataka mzunguko wetu wa maisha ubaki humuhumu(tufe na tuzaliwe, tufe na tuzaliwe tena, humuhumu) lakin Jesus anataka twende kwenye ulimwengu mwingine tena next»»»»
Hapo sioni mantiki. Mfano ukienda dukani unataka kununua nguo si ukifika ukachagua? Zote nzuri ila unachagua unazopenda.
Sasa huyo Mungu hakuweza kuumba ulimwengu wa vyote vizuri kisha tukachagua kufanya tunayotaka?
Sasa upendo huko wapi hapo?...hapo amna choice....ni sawa na mtoto azaliwe halafu hasitoke mgongoni mwa mama yake si hatakuwa mjinga na ni utumwa, wazazi wanataka ue na maisha kama wao, lazima uwende kwenye enviroment ambayo utashika wembe utaambiwa huo unakata usishike, ukishika ukikatwa shauri yako, utakuta watu wanatukana utambiwa matusi sio mazur, ukituka kipigo lazima ukipate...hiyo ndio free will
Ndugu ninauhakika unachojibu hapa unajibu tu bora liende hata wewe mwenyewe unajisikia kabisa toka ndani kuwa unajibu tu ili mradi.Naomba nikujibu kwa kifupi tumalize. Wanaadam tupo duniani ktk mtihani tuliopewa na Mungu tumfuate yeye au shetani.
Thanks cyhper.kujifanya Mungu kunahitaji zaidi ya kujipumbaza na kujitoa akili,pengine hata ndoto haiwez kuwa na maono hayo.I wonder how simple tu mtu kama JIMENA kusema kila mtu ana natural power before and afterbirth so ajitukuze mwenyewe kwani nguvu hizo zinazoitwa za MUNGU ni za mtu.
Free will sio lazima iwe kwa mazuri na mabaya, unaweza kuchagua hata kati ya mazuri mazuri.
Kwahiyo swali linabaki palepale ni kwanini Mungu asiumbe ulimwengu ambao mabaya hayawezekani?
Free will is the ability to choose between different possible courses of action. It is closely linked to the
concepts of responsibility , praise, guilt , sin, and other judgments which apply only to actions that are freely
chosen. It is also connected with the concepts of advice, persuasion , deliberation, and prohibition. Traditionally, only actions that are freely willed are
seen as deserving credit or blame; if there is no free
will, there is no retributive justification for rewarding or punishing anybody for any action.
Kukiwa na mazuri mazuri no free will
Labda ulize different question like why God give you free will!?
The world was created perfectly with good in it
Labda hujanielewa au unafanya makusudi,
Mfano wa kwanza ni ulipoenda dukani kununua simu / laptop ulichagua brand uipendayo, ukifika dukani unakuta brand tofauti nzuri ila unachagua ile unayotaka
Huo ni uhuru wa kuchagua
Sio kweli kwamba kukiwa na vitu vizuri basi we unatakiwa ufanye vyote, hapana bali utakuwa na uwezo wa kuchagua kufanya yale upendayo.
Mfano wa pili nataka kukugharamia safari ukatembee EU nakupa visa na tiketi na kila kitu uende kutembea nchi unayopenda kwa siku 3 kati ya Sweden, France na Norway hapo utakuwa na uhuru wa kuchagua nchi upendayo kati ya nchi hizo
Hivyo point yako kuwa kukiwa na mazuri tu hakutakuwa na free will ni Invalid.
Sasa jibu swali acha siasa!
Kwanini Mungu hakukuumba ulimwengu ambao mabaya hayawezekani?
Wewe ndo ujanielewa halafu hiari (free will) na uchaguzi ( choices) vitu viwili tofauti usivichanganye na mantiki ya free will ni kutoa rewards, kujutia and judgement....hata kukiwa na mazuri mazuri unaweza kuwa na choices lakini sio freewill kwasababu ndani ya hivyo vizur unaweza chagua lakini mwisho wa maisha yetu yote yatakuwa na the same outcome...endless
Free will implies being able to do anything at any given
moment, whilst choice is an option of possibilities. Free
will would mean that if you wished to fly on your own,
just by thinking of it, you could. Choice is a viable
option. Free will is improbable at best, choice is a
regular occurrence...