Ukweli kuhusu wewe na dunia

Annael unaulizwa swali dogo,ww unaenda kucopy maneno meengi toka google.Hivi unajua unachokifanya au ndio umekariri?
 
Last edited by a moderator:

For real that is exactly happening here,the kid is trying to confuse grown men
 

Kwanza eleza hilo jicho la tatu linapofuka vipi wakati mtu anakuwa. Na unajuwaje kama mtoto mdogo au mchanga anaona huo ulimwengu unao usema wakati mawasiliano ya umri huo na mtu mzima ni magumu mno kwa kuongea? Haya ndio mambo ya waganga wa kienyeji na type ya marehemu sheikh Yahaya.
 
Ndugu zangu msijaribu kabisa kumeditate, kuwa mchawi sio lazima ujaze form ya kujiunga, hivi hivi kumeyii meyiii mara unashtukia umeshakua mjenzi huru!
 
Kinachonisikitisha ni kwamba hata mleta mada inaonekana hana uelewa wa kutosha wa kitu anachoongea.Amekazania kucopy na kupaste vitu kutona google ilhali anashindwa kujibu maswali anayoulizwa

shetan ana nguvu kubwa ila hakuna haja ya kuichunguza iseje kuvutia pia hakuna haja ya kumuuliza maswal maana hata yeye mwenyewe hajielewi shetan amemfanya wakala kutokana na tamaa zake za kimwili
 

kwel kabisa pia kitabu cha ufunuo 12&13 kinaelezea zaidi juu ya huu mpango wa ibilisi kutaka kuifanya dunia yote na watu wa kila rika kumsujudu. Pia mathayo 24:4- inaeleza zaid
 
Mtoa mada nakuombea dua kwa Mwenyezi Mungu ili umauti ukukute ukiwa umeshatubia.Hao wanaojiita illuminati au Freemason na makundi mengine ya namna hiyo,yote hayo ni MAGENGE YA KISHETANI.Shetani alikwisha tangaza uadui na wanadamu mbele ya Mwenyezi Mungu kwamba nitawapoteza wengi katika waja wako,tena nitawatumainisha na kuwaamrisha ninavyotaka mimi.Lakini sisi tumemfanya rafiki kipenzi.Mwenyezi Mungu ameonya kwamba;"wala msifuate (msimuabudu) nyayo za shetani,hakika huyo kwenu ni adui wa wazi." Akatoa tens onyo kwetu,Quran 4:119; "Na atakayemfanya shetani ndiye Mungu wake/mlinzi wake/msaidizi wake/rafiki/tegemezi wake BADALA ya Mwenyezi Mungu,hakika amepata khasara zilizokua wazi." Nini matokeo yake? Quran 22:6; " Ameandikiwa huyo shetani kwamba atakayemfuata (shetani),kwa hakika atampoteza na kumuongoza kwenye adhabu ya moto mkali."Kwa hiyo yeyote mwenye kumfuata shetani;wale Freemason (illuminati) na makundi yote ya namna hii,washirikina na wale wote wanaodai hakuna Mungu ilhali alama za uwepo wake zimewazunguka,wote hawa watakuja kujuta siku ya kusimama mbele ya Mola wao.
 
kwahiyo wagiza naye anaweza kutupatia nuru? nikutaka kujua
Ili kuelewa hili somo vizuri. Unatakiwa uondoe mawazo ya kwamba kuna fulani huwa anatoa giza na kunamwingine huwa anatoa nuru.

Ni wewe mwenyewe kujielewa na kupanda hatua ya kiroho.
 
Aaah... sasa anael hapa cijaelewa unataka kufundisha nn? mada yako nzuri ila unaruka ruka sana... na upunguze kizungu si wengine unatuacha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…