Ukweli kuhusu WANAWAKE

Kwani wewe utakua umempendea nn? Kama sio huo ubeberu wake?

we kimey unaongea nini?upende ubeberu wa mtu?
liharufu iloo mpk pua inataka kuchomoka ....
....wewe aujakutana nao uko tosamanga sjui maua seminar miaka iyo?azania ivi ,umbwe sjui old mosh..
...au ata ukiingia kwenye mabwenya kina kaka utapata habari yake..kuna harufu nzitoooooooo ...
...kipind kileee mabibo hostel km una mpango wa kumuazima desa mkaka basi uende mapema na si jion wakat weng wanakuwa wamerud lekcha yan usiingie blok E na D na C...
UKIKUTANA NA MWENYE KIBEBERU NAKWAMBIA UTAJUTA....lakin kuna demu nilisoma nae adv ahh sjui ananuka kigunia yule?demu anatema 24 7 ata km akitoka kuoga dk iyo io kitu utakiskilizia tu bt ahh men wake alikuwa anampenda uyooo kila visitng dei uyooooooo kaja na michezo ya apa na pale ming tu sa sjui alikuwa na PUA MBOVU... ahhh...
 
hahahahhaaaa!
hata nilikuwa sitaki kucheka!
 
mwee mwee.....duh....hii kali....hapo utakuwa umemmaliza kabisa.....japo wengine samtaim wananukaga kama beberu....unakoma mwenyewe halafu ndio la aziz

Tatizo lenu mnachukuliwa na wanaume washamba kwa sababu ya pesa. Tamaa itawaua nyinyi watoto wa kike.
 
hahahahhaaaa!
hata nilikuwa sitaki kucheka!

m so lucky to gt yu
cz u smelll z so sweeeeeeeetie n cul ..infact is ma nutrional!!
habar yake bgrta banaaaaaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!
watakatifu majangiri hawajaamka bado?
 
Tatizo lenu mnachukuliwa na wanaume washamba kwa sababu ya pesa. Tamaa itawaua nyinyi watoto wa kike.
mmh babu weee ebu wacha urongo weye..ati harufu inachagua mwenye ela au mshamba ?
harufu haina status...utakuta msukuma mkokoten hatemi na mvaa makoti kwenye kiyoyozi masaa 24 lakin ndo ananuka balaa...
...swala la harufu lingine na kuwakimbilia wenye pesa issue nyngne.
 
ngoja waamke wenyewe utaona moto wao,
Kwa hiyo unataka wachukuliwe na wanume wajanja lakini kisu nehi?!

sweeetie sasa vp?
ulinambia jana utanipeleka breaksfast hong kong na lunch paris juis ya madafu ukooo carribean sasa naona kimya mpk nw vp?
ule msafara mpk nw sjauona ukinifata getn jaman?tutachelewa ndeg au km kawa tutawaishwa na AMBULANCE?
makonga nayo yamefumuka kichwani vp utanidrop malaysia nkasuke kdg?
 
m so lucky to gt yu
cz u smelll z so sweeeeeeeetie n cul ..infact is ma nutrional!!
habar yake bgrta banaaaaaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!
watakatifu majangiri hawajaamka bado?
Hahahhaaa!
Bado wanagawana mapato ya ujangili wao wa jana.
Habari yake swty heart baaaanaaa!
 
sweeetie sasa vp?
ulinambia jana utanipeleka breaksfast hong kong na lunch paris juis ya madafu ukooo carribean sasa naona kimya mpk nw vp?
ule msafara mpk nw sjauona ukinifata getn jaman?tutachelewa ndeg au km kawa tutawaishwa na AMBULANCE?
makonga nayo yamefumuka kichwani vp utanidrop malaysia nkasuke kdg?
Ngoja nimtume rubani wangu aje, si unajua yule rubani mwingine **** aliyekuchelewesha saluni Hong Kong nimemtimua.
Ile master card yangu si upo nayo wewe? mpite Jomo Kenyata Intern airport kujaza mafuta kabisa basi.
 
Hahahhaaa!
Bado wanagawana mapato ya ujangili wao wa jana.
Habari yake swty heart baaaanaaa!

hahah hahah !!!!!!
akiamka apa atajinyonga nakwambiua...sweeetie jaman aujanijibu ya juu apo mpango wa kwenda kusuka mabutu vp?
 
Naweza kuhamishia watu wote mwezini ili tubaki wote hapa duniani unajua.
 
Ngoja nimtume rubani wangu aje, si unajua yule rubani mwingine **** aliyekuchelewesha saluni Hong Kong nimemtimua.
Ile master card yangu si upo nayo wewe? mpite Jomo Kenyata Intern airport kujaza mafuta kabisa basi.

thax beb i wl do dat
so ntangulie tu utanijoin?
ulinambia umefata mkanda wa suruali ujeruman vp umeupata au km vp press special oda basi...misssng u jaman basi natangulia mie kwa brkfast hong kong then makonga paris tutaenda wote!!!!!!
 
Naweza kuhamishia watu wote mwezini ili tubaki wote hapa duniani unajua.

ahhahaa haaa!
i knw ur capability,ability,
ur stronger ma dear boy ur ok in ever tone!
wahurumie usiwahamishe kwanza mpk washerehekee xmass!!!!!!
 
Orait, kwa ombi lako hili, nawaacha wale majogoo waliyonunua kwa Xmas. baada ya hapo tunawahamisha, unajua wanaleta usumbufu sana.
Sana sana tumuache eliza na wafanyakazi wachache wa Tanzania distilaries ili tuendelee kupata the needful supplies
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom